Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mmmmmh kusema kweli hii habari inaogofya sana na hapa ndo nimepata picha kwanini chadema walisema nchi haitotawalika.
 
CDM ndo waasisi wa hizi siasa chafu na ndo zitawamaliza.
Chadema kilianzishwa kwenye misingi ya kilghai so haya yote ni matokeo ya misingi yao.
wapo watu wengi walioumizwa CDM na walikua wanachama watiifu CDM.
Haiwezekani kabisa Slaa akatae hapa JF kua CDM haikuwahi kua na ukomo wa Mwenyeki na ni Mtendaji mkuu wa CDM.
wewe uliponzwa na homeboy wako Zitto kwani ameshiriki sana kuwaharibia vijana wengi sana future zao za kisiasa, kwani alitaka muwe wafuasi wake na sio wafuasi wa Chadema , najua inakuumiza sana , ila sio wewe tu wapo vijana wengi ambao future zao zimeharibika kutokana na ubinafsi wa Zitto
 
tanzania hatuna dola. yote hayo yametendeka pasipo dola kujua. yote ni porojo lakini kilicho kizuri ni kwamba yeye na zitto walishiriki kuchota pesa nssf na tanapa. zitto ni mtu hatari sana. kamwe stamuunga mkono tena. ni bora mchange hasingesema chochote kuhusu lekatutigite. ona sasa kajiweka wazi.
 
Nimesitika sana kusikia kuwa John Mnyika alishiriki mauaji ya Chacha Wangwe.
 
Last edited by a moderator:
wewe uliponzwa na homeboy wako Zitto kwani ameshiriki sana kuwaharibia vijana wengi sana future zao za kisiasa, kwani alitaka muwe wafuasi wake na sio wafuasi wa Chadema , najua inakuumiza sana , ila sio wewe tu wapo vijana wengi ambao future zao zimeharibika kutokana na ubinafsi wa Zitto
Ukiishi kwa Upanga utakufa kwa upanga.
 
Nitashangaa kama serikali haitamjamata huyu jamaa. Inaonekana alificha anaouita ukweli kuhusu vifo na kumwagiwa watu tindikali hii kusheria yeye anakosa baada yakujuwa waalifu akaficha Leo anawataja

Huyu nimtu muhimu kuhojiwa ili nchi ijuwe ukweli kama hata kuwa hivyo basi hakuna serikali
 
Nimesitika sana kusikuwa kuwa John Mnyika alishiriki mauaji ya Chacha Wangwe.
Kwani Hukumsikia Mtikila mwaka 2008 alisema hayo? A kapigwa mawe akiwa Tarime ? Mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha Wangwe kwa wabunge wa Chadema mnajua alikuwa nani ? Kuna siku yatajitokeza tu....
 
Kamanda Chacha Wangwe.

Kimsingi mambo tunayotofautiana na Mhe. MBOWE ni haya yafuatayo:-

MATUMIZI YA RUZUKU
CHADEMA hupata ruzuku ya Tshs. 66,000,000 kwa mwezi (Milioni sitini na sita). Mimi nasema si haba hasa tukizingatia chama kilikotoka. Naamini kuwa kiasi hiki cha fedha kikisimamiwa vizuri kinaweza kukirahisishia chama kujieneza katika ngazi zote toka Tawi, Wilaya, Mkoa na Taifa.

Si kweli kwamba matatizo yote yatamalizwa na fedha hizi lakini basi hata ofisi za chama zinaweza kuwa hai nchi nzima kitu ambacho kwa sasa hakipo. Mahesabu yanaonesha kuwa mtaji wa laki moja (Tshs.100,000/=) kwa wilaya moja nchini inatosha, hivyo kwa Wilaya 126 kwa mwezi jumla yake ni Tshs. milioni 12 (Tshs. 12,600,000/= ) zinahitajika ( Wilaya 126 x 100,000 kila wilaya = 12,000,000/=)Hata tukisema tupeleke kiasi hicho kwa kila jimbo la uchaguzi jumla yake ni Tshs. Milioni 23 (Tshs. 23,000,000/=) kwa maana ya majimbo 213 x 100,000 = 23,000,000/=.
Mhe. MBOWE anasema hizo ni pesa nyingi sana kwa uimarishaji wa chama. Mimi nasema hapana, kiwango hiki kwa kila Wilaya au Jimbo la uchaguzi ni muafaka kwani haba na haba hujaza kibaba.Chini ya uongozi wa Mhe. MBOWE na wafuasi wake hawastaajabu kuwa kati ya Tshs. 374,144,000.40 zilizopatikana kama ruzuku katika ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama.Mimi naona mgao huu unayatukuza Makao Makuu ya
CHADEMA isivyostahili wakati huo huo ukidhalilisha chama nchi nzima.

MADENI YA UCHAGUZI
Kufuatia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, Mhe. MBOWE alitufahamisha wanachama kuwa alikuwa anakidai chama US $ 181,949.00 sawa na Tshs. 218,338,546. Mpaka sasa chama kimekwisha mlipa Tshs. 175,000,000/=Baada ya kupata wadhifa wa Makamu Mwenyekiti, na kwa kuzingatia takwimu zionekanazo hapo juu katika kulinganisha matumizi ya fedha Wilayani na Makao Makuu niliamua kumshauri MBOWE asitishe kujilipa deni kutokana na fedha za ruzuku kwani siamini kuwa kulipa madeni yaliyopita kunaendana na utaratibu wa usimamizi wa fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa toka serikalini.

Mhe. MBOWE alichachamaa na ndipo nilipomshauri kuwa kama ni hivyo basi atuthibishie pesa hizo anazodai alikikopesha chama ziliingia kwenye akaunti gani ya CHADEMA, kupitia hundi ipi, na lini? Nilimuomba pia kutaja ni kikao gani cha chama kiliidhinisha matumizi ya fedha hizo kwani kama hakuna ushahidi wa maidhinisho, ni dhahiri kuwa matumizi hayo hayakudhibitiwa na chama na kwa mantiki hiyo kuyafanya kuwa matumizi binafsi ya Mhe. MBOWE.Vilevile, nilimueleza kuwa matumizi ya fedha hizo alizodai alikikopesha chama yalikuwa yakinuka harufu ya UFISADI.

Stakabadhi zote kuhusiana na matumizi hayo zilionesha kuwa gharama za aidha ununuzi na / au ukodishaji wa vifaa hivyo, hazikutofautiana na viwango wanavyolipishwa watalii kwa huduma kama hizo, kwa maana ya gharama ya juu sana.Na kwa kuwa hata baada ya kuwa Mhe. MBOWE amekwisha lipwa zaidi ya nusu ya deni alilodai kuikopehsa CHADEMA, vifaa vyote yakiwemo magari, vipaza sauti na kadhalika vimebakia kuwa mali yake binafsi, basi bila kumficha nilimueleza kuwa huko ni kukinyonya chama kwa kukigeuza kitega uchumi cha watu binafsi.Kuhusu suala la kulipa madeni kupitia ruzuku ya serikali, nilimuomba Mhe. MBOWE afuatilie kwa Msajili wa Vyama vya siasa ili tupate ufafanuzi kama kweli fedha za ruzuku ya serikali kwa vyama vya siasa, inaweza kutumika kulipia madeni ya viongozi wa vyama hivyo yatokanayo na uchaguzi ili CHADEMA isiathirike kisheria.

Niseme kweli hapa kwamba, kwa vile wanaCHADEMA wengi walinichagua kuwa Makamu Mwenyekiti, na hata mimi mwenyewe tulikuwa wagombea wa nafasi za ubunge, udiwani n.k katika uchaguzi wa mwaka 2005 ningefarijika sana iwapo na sisi tungerejeshewa angalau chochote cha kufidia gharama zetu, kwa maana kwamba kama chama kimeamua kurudisha gharama hizo kiwalipe wote badala ya kulipa madeni kwa wateule wachache.
 
Kumekucha tena Ayayeyaaa!!! kuchochea kuni tu.

Dada yake Tundu Lissu kapewa ubunge kabla ya kuwa mwanachama wa Chadema kadi kapewa Dodowa bungeni siku ya kuapishwa.

Teh teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Kwani Hukumsikia Mtikila mwaka 2008 alisema hayo? A kapigwa mawe akiwa Tarime ? Mtu wa kwanza kutoa taarifa za kifo cha Wangwe kwa wabunge wa Chadema mnajua alikuwa nani ? Kuna siku yatajitokeza tu....
Sikumsikia, Mtikila siyo Chadema wala hakuwa Chadema.
 
Kumekucha tena Ayayeyaaa!!! kuchochea kuni tu.

Dada yake Tundu Lissu kapewa ubunge kabla ya kuwa mwanachama wa Chadema kadi kapewa Dodowa bungeni siku ya kuapishwa.

Teh teh teh teh
Kuhusu dada yake Lissu aulizwe Kitila Mkumbo si ndio alikuwa mkuu wa kugawa viti maalum na alishakiri mara kibao hapa? Huenda aliweka ukabila ndio maana anampa huyo kama ni kweli maana Mchange huaminiki hata kidogo .....leo kaulizia maswali na waandishi kuishia kutukana tu......
 
Sikumsikia, Mtikila siyo Chadema wala hakuwa Chadema.
Mchange mwaka 2008 hakuwa Chadema , alijiunga mwaka 2009 wakati Chacha alifariki mwaka 2008...., akiwa mkweli at akili na hata KDC aka Tumbili anaweza thibitisha maana alikuwa jikoni mwa Chadema wakati huo ?
 
Kamanda Chacha Wangwe.

Kimsingi mambo tunayotofautiana na Mhe. MBOWE ni haya yafuatayo:-

MATUMIZI YA RUZUKU
CHADEMA hupata ruzuku ya Tshs. 66,000,000 kwa mwezi (Milioni sitini na sita). Mimi nasema si haba hasa tukizingatia chama kilikotoka. Naamini kuwa kiasi hiki cha fedha kikisimamiwa vizuri kinaweza kukirahisishia chama kujieneza katika ngazi zote toka Tawi, Wilaya, Mkoa na Taifa.

Si kweli kwamba matatizo yote yatamalizwa na fedha hizi lakini basi hata ofisi za chama zinaweza kuwa hai nchi nzima kitu ambacho kwa sasa hakipo. Mahesabu yanaonesha kuwa mtaji wa laki moja (Tshs.100,000/=) kwa wilaya moja nchini inatosha, hivyo kwa Wilaya 126 kwa mwezi jumla yake ni Tshs. milioni 12 (Tshs. 12,600,000/= ) zinahitajika ( Wilaya 126 x 100,000 kila wilaya = 12,000,000/=)Hata tukisema tupeleke kiasi hicho kwa kila jimbo la uchaguzi jumla yake ni Tshs. Milioni 23 (Tshs. 23,000,000/=) kwa maana ya majimbo 213 x 100,000 = 23,000,000/=.
Mhe. MBOWE anasema hizo ni pesa nyingi sana kwa uimarishaji wa chama. Mimi nasema hapana, kiwango hiki kwa kila Wilaya au Jimbo la uchaguzi ni muafaka kwani haba na haba hujaza kibaba.Chini ya uongozi wa Mhe. MBOWE na wafuasi wake hawastaajabu kuwa kati ya Tshs. 374,144,000.40 zilizopatikana kama ruzuku katika ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya CHADEMA na Tshs. 25,000,000/= tu ndizo zilikwenda Wilayani kuimarisha chama.Mimi naona mgao huu unayatukuza Makao Makuu ya
CHADEMA isivyostahili wakati huo huo ukidhalilisha chama nchi nzima.

MADENI YA UCHAGUZI
Kufuatia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, Mhe. MBOWE alitufahamisha wanachama kuwa alikuwa anakidai chama US $ 181,949.00 sawa na Tshs. 218,338,546. Mpaka sasa chama kimekwisha mlipa Tshs. 175,000,000/=Baada ya kupata wadhifa wa Makamu Mwenyekiti, na kwa kuzingatia takwimu zionekanazo hapo juu katika kulinganisha matumizi ya fedha Wilayani na Makao Makuu niliamua kumshauri MBOWE asitishe kujilipa deni kutokana na fedha za ruzuku kwani siamini kuwa kulipa madeni yaliyopita kunaendana na utaratibu wa usimamizi wa fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa toka serikalini.

Mhe. MBOWE alichachamaa na ndipo nilipomshauri kuwa kama ni hivyo basi atuthibishie pesa hizo anazodai alikikopesha chama ziliingia kwenye akaunti gani ya CHADEMA, kupitia hundi ipi, na lini? Nilimuomba pia kutaja ni kikao gani cha chama kiliidhinisha matumizi ya fedha hizo kwani kama hakuna ushahidi wa maidhinisho, ni dhahiri kuwa matumizi hayo hayakudhibitiwa na chama na kwa mantiki hiyo kuyafanya kuwa matumizi binafsi ya Mhe. MBOWE.Vilevile, nilimueleza kuwa matumizi ya fedha hizo alizodai alikikopesha chama yalikuwa yakinuka harufu ya UFISADI.

Stakabadhi zote kuhusiana na matumizi hayo zilionesha kuwa gharama za aidha ununuzi na / au ukodishaji wa vifaa hivyo, hazikutofautiana na viwango wanavyolipishwa watalii kwa huduma kama hizo, kwa maana ya gharama ya juu sana.Na kwa kuwa hata baada ya kuwa Mhe. MBOWE amekwisha lipwa zaidi ya nusu ya deni alilodai kuikopehsa CHADEMA, vifaa vyote yakiwemo magari, vipaza sauti na kadhalika vimebakia kuwa mali yake binafsi, basi bila kumficha nilimueleza kuwa huko ni kukinyonya chama kwa kukigeuza kitega uchumi cha watu binafsi.Kuhusu suala la kulipa madeni kupitia ruzuku ya serikali, nilimuomba Mhe. MBOWE afuatilie kwa Msajili wa Vyama vya siasa ili tupate ufafanuzi kama kweli fedha za ruzuku ya serikali kwa vyama vya siasa, inaweza kutumika kulipia madeni ya viongozi wa vyama hivyo yatokanayo na uchaguzi ili CHADEMA isiathirike kisheria.

Niseme kweli hapa kwamba, kwa vile wanaCHADEMA wengi walinichagua kuwa Makamu Mwenyekiti, na hata mimi mwenyewe tulikuwa wagombea wa nafasi za ubunge, udiwani n.k katika uchaguzi wa mwaka 2005 ningefarijika sana iwapo na sisi tungerejeshewa angalau chochote cha kufidia gharama zetu, kwa maana kwamba kama chama kimeamua kurudisha gharama hizo kiwalipe wote badala ya kulipa madeni kwa wateule wachache.
KDC , Muulize ZITTO nani alikuwa wa kwanza kutoa taarifa za Msiba wa Chacha Wangwe kwa wabunge wa Chadema Dodoma? Au Muulize Hamd Rashid alikuwa KUB wakati huo nani alikuwa wa kwanza kumpa taarifa za msiba wa ajali ya Hacha Wangwe?
 
Back
Top Bottom