Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 202
.
Wewe ndio unakuwa narrow-minded! - mtoa habari amesema ameleta "mchanganuo wa Gharama" za posho ambayo imezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali.
Hata bila source si unapima habari yake kama ina mashiko au haina - kwa kutumia common sense!
Sasa yeye kaleta na majina ya walio kwenye msafara - kwani wewe hao waliokuwa kwenye huo msafara hujawajua kutoka vyanzo vingine vya habari?! ... na kwa taarifa yako hizi ni minimum calculations!
Haya sasa wewe tuletee list yako ya walioenda kutalii huko Brazili + fuata waraka wa posho unasemaje - kokotoa alafu utupe jibu! kama jumla yake haijaja mara mbili ya hii!
Kwanza kwenye hii list wengine hawapo! ... halafu kama hujaridhika na habari si unaruka tu unakwenda kwenye habari zenye source!
Sasa nyie kila siku mnasema source! .. source! kila siku! ... hiyo source (sauce) unataka kulia na chakula gani?
.
Thanks for the explanation.