Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

Jamani hiyo tiketi ya ndege $590.00 si kutoka Dar hadi Mwanza? Hebu niambie zinapatikana wapi hizo tiketi za bei ya kutupa. Labda kama ni tiketi kwa ndege ya Rais!!!!
 
Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mweeeeeeeeeeeeeeee jeikei utatuua, hii ndo serikali sikivu inayojali watu wake? Ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi katika kufuja Mali ya umma.jeikei muda si mrefu tutaingia msituni wewe ni mtu wa ajabu sana ccm ni wezi ndo maana mnaogopana hata kwenye kuadabishana maana hakuna msafi hata mmoja kati yenu.ni bora chadema nao washike hii nji!!!!!!.umefuata nini huko? Kila siku safari safari na tunazid kuwa maskini wa kutupwa ina maana kuwa safari zako hazina faida kwetu kaa kwako acho mtindo wa kutambeza bakuil kwa maximo huoni aibu wewe? Amaaa kweli tz ina rais.
 
huwa anakubali kubeba mamizigo ya watu wengine hata na ile isiyo bebeka, ila kitaeleweka ifikapo 2015,
 
.
Source hii hapa

url
 
jamani hiyo tiketi ya ndege $590.00 si kutoka dar hadi mwanza? Hebu niambie zinapatikana wapi hizo tiketi za bei ya kutupa. Labda kama ni tiketi kwa ndege ya rais!!!!
hiyo ni predda trans under the tz gvt na siyo hizi za kawaida,huwezi kumudu cost zake mpiga zeze!!!
 
Msururu wa watu wote hao haya Salma Kikwete anapata fedha sawa na za Jakaya kwa kazi gani anayofanya yeye,embu atulie akae chini sasa hizo fedha zinunue mbolea kule minjingu wanasema mbolea haitoki na zaida inunuwe vitabu vya walimu vya kufundishia na maabara ziwekewee vifaa

mwanaume ataachana na wazazi wake na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja... So cha jk ni cha Salma na cha Salma ni cha jk
 
Kwa muonekano mzuri zaidi
MCHANGANUO WA GHARAMA ZA SAFARI YA RAIS KIKWETE HUKO BRAZIL
NoNAMEDAYSPERDIEM RATEON TRANSITTOTAL PERDIEMOUTFIT ALLOWANCEAIR TICKETTOTAL
(a)(b)(c )(d)(e)(f)(d) + (e) + (f)
1/2 x (b)(a) x (b) + (c )30 % X (d)
US$US$US$US$US$US$
1Afisa Usalama wa Taifa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
2Aloyce Masanja10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
3Anna Nkinda10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
4Body guard 110420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
5Body guard 210420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
6Daktari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
7Gerson Msigwa10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
8Jakaya Mrisho Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
9Katibu / Msaidizi wa First Lady10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
10Katibu / Msaidizi wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
11Katibu / Msaidizi wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
12Katibu / Msaidizi wa Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
13Mpiga Pasi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
14Mpiga picha10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
15Mpishi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
16Mulamula10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
17Mwandishi wa Habari wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
18Mwandishi wa Hotuba wa Rais10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
19Naibu Waziri Mambo ya Nje10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
20Protocal Officer10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
21Salma Kikwete10520260 5,460.00 1,638.00 590.00 7,688.00
22Susan Mlawi10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
23Waziri wa Zanzibar10420210 4,410.00 1,323.00 590.00 6,323.00
TOTAL IN US$ 148,159.00
Exchange rate (TZS/US$) 1,700.00
TOTAL IN TZS 251,870,300.00
 
Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mweeeeeeeeeeeeeeee jeikei utatuua, hii ndo serikali sikivu inayojali watu wake? Ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi katika kufuja Mali ya umma.jeikei muda si mrefu tutaingia msituni wewe ni mtu wa ajabu sana ccm ni wezi ndo maana mnaogopana hata kwenye kuadabishana maana hakuna msafi hata mmoja kati yenu.ni bora chadema nao washike hii nji!!!!!!.umefuata nini huko? Kila siku safari safari na tunazid kuwa maskini wa kutupwa ina maana kuwa safari zako hazina faida kwetu kaa kwako acho mtindo wa kutambeza bakuil kwa maximo huoni aibu wewe? Amaaa kweli tz ina rais.

Kwa taarifa makadirio ya gharama za ticket si sawa, Rais na baadhi ya viongozi waandamizi hupanda daraja la kwanza ambalo gharama yake ni zaidi ya $ 12,000, na wengine hupanda business class ticket ni karibu $10,000 au zaidi. Makadirio uliyoleta na pungufu kidogo.

Licha ya gharama hizo fikiria posho za kujikimu kikaoni, safarini na night, hizo hazijajumlishwa. Utakuwa makadirio hayo huenda ikawa na theluthi moja tu.
 
Ngoja kwanza nitarejea baadae ngoja nikasafishe macho kwanza nahisi kama hayaoni vizuri haya maandishi??
Mweeee mwee mwee ama upofu unaninyemelea??
 
Ivi hii kozi ya kupiga pasi ipo chuo gani???nisaidie wadau,,, ivi kwa nini mshua nae hakuiba zamani aaaahhhhh
 
Mshrnzi&$@;$$$$$$$ mpumbavu inamaana hujui rate za serikali !!$$$&&!!? Zako

1. Consider reading JF rules on your kind of language.
2. The question wasn't meant for you.
3. All I needed was an explanation. From a great-thinker's mind. You are not one of them.
 
mmmh.....mulamula shughuli yake ni nini....?

Hahaaa huyu liberata mulamula ni msaidizi wa rais mambo ya diplomasia...hahaaa jk bwana mmhata mpiga pasi unaenda naye safari we hujui kupiga pasi??
 
Mpishi na mpiga pasi ni wa nini Jamani???? duh

Simba Waende Aljeria na mpishi kikwete naye anabeba mpishi.

This is too much sasa na hawa watu wote ina maana hawajui kulima nyanya????
 
Source as in chanzo cha taarifa! Stop being narrow-minded!
.
Wewe ndio unakuwa narrow-minded! - mtoa habari amesema ameleta "mchanganuo wa Gharama" za posho ambayo imezingatia viwango vya posho kama zinavyoelekeza kwenye waraka wa serikali wa Malipo ya posho Safari kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali.

Hata bila source si unapima habari yake kama ina mashiko au haina - kwa kutumia common sense!

Sasa yeye kaleta na majina ya walio kwenye msafara - kwani wewe hao waliokuwa kwenye huo msafara hujawajua kutoka vyanzo vingine vya habari?! ... na kwa taarifa yako hizi ni minimum calculations!

Haya sasa wewe tuletee list yako ya walioenda kutalii huko Brazili + fuata waraka wa posho unasemaje - kokotoa alafu utupe jibu! kama jumla yake haijaja mara mbili ya hii!

Kwanza kwenye hii list wengine hawapo! ... halafu kama hujaridhika na habari si unaruka tu unakwenda kwenye habari zenye source!

Sasa nyie huwa mnaudhi kweli, hamtumii common sense! kila siku mnasema source! .. source! source! .. kila siku! ... hiyo source (sauce) as in chanzo cha taarifa! unataka kulia kwenye chakula gani?

.
 
naomba kazi ya malumalu,,,,,ila,,,muache wivu mbona sion wa kumpunguza hapo,,,,yet,,wewe unayesoma hapa kweli moyon mwako hutaman mapato haya,,,,,,,sema kweli mungu anaujua moyo wako,,,,,sasa unaguna nini,,,,,,yakitolewa matangazo ya kazi hizo,,,usaili pale uwanja wa soka patatosha,,,,,,hata shart iwe umesilim mashekh siwatakua bze kusilimisha watu,,,,,cheza na bongo wewe,,,,,,,acha wale,,kwani wakiondoka madarakan wataibomoa kisutu,,,,cheza na nguvu ya umma wewe,,,,tz bwana,..........natangaza nia same magharibi,,,,,hariiiiika,,nresari....tuvamwe,,,,,,:peace:
 
Mpishi na mpiga pasi ni wa nini Jamani???? duh

Simba Waende Aljeria na mpishi kikwete naye anabeba mpishi.

This is too much sasa na hawa watu wote ina maana hawajui kulima nyanya????



Inamaana wanasafiri na nguo chafu na zilizojikunja nini????ha ha ha haaaaaa
 
Back
Top Bottom