matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Last edited by a moderator:
hahaha!! aya mama nikimaliza nitafanya ivyo...
kumbe nilimsahau uyo ila mpo wengi sana nikianza kuwalusha hapa hapatatosha...mnajuana vipi sijui umu.
Kule pasua kichwa wakati mwingine unapita huku kujiliwaza na majanga ya duniaKule siasani umekimbia kama mie?
Kule pasua kichwa wakati mwingine unapita huku kujiliwaza na majanga ya dunia
.
Eid bado ipo inabidi nikutafute twende tukale sekela Upanga then twende movie.ni kweli...ukija that will be my Pleasure...
salaam za Iddi safari hii sikupata kabisaa
Kuna wauza sura huwa wanamaind kweli hata nikikusalimia...lol.kweli kabisa..ujage huku sometimes upige stori na watoto wazuri kina Heaven on earth
Kuna wauza sura huwa wanamaind kweli hata nikikusalimia...lol.
Eid bado ipo inabidi nikutafute twende tukale sekela Upanga then twende movie.
Mambo yote uliyoongea ni ya kutunga haswa hiyo habari ya kutambuana kwa shape ya meno!!! wachagga hatuna uadui mkubwa kiasi hicho licha ya tofauti zetu ndogondogo za kilafudhi. Nakubaliana kitu kimoja tu kuwa superiority kutokana na geographical location ipo ingawaje kwa mbali sana na inapofika wakati wa msiba wote huwa kitu kimoja kabisa. Hapa Arusha wakifa wachaga popote pale na ikawa wanaishi mtaa mmoja bila kujali origin huwa majirani woote including wachaga hupanda coaster kwenda kuzika Moshi
Kwa ufupi uongo wako ni wa kiwango cha juu cha UPOTOSHAJI!!!!!!. nINAPOISHI TUMEJENGA VERY CLOSE mCHAGA WA MARANGU, KIBOSHO,MACHAME, URU NA ROMBO na we are very close friends
Wapelestina ndiyo kina nani huwa namsikia rafiki yangu mmoja Mkibosho akimponda dada mmoja ananiambia achana naye Mpalestina.
Shariff Ritz kama huyo jamaa wa kibosho basi anadhani wapalestina wametokea URRU mlimani!
Teh teh teh teh !
Manake wa kibosho picha haziendi na wa himo na urru!
Lkn cha ajabu Mbege yao ina harufu ile ile!
Teh teh teh teh!
Chuki binafsi Zitakuua
haikambe manka!!nyinyi wachaga mnashilikiana kwenye ujambazi tu zaidi ya hapo chui na paka.
Wewe inaelekea hujawahi kufika hata Moshi mjini. Hebu wachagga mlioko humu kuweni wakweli. Kuna wachagga wanaoonekana wachagga kuliko wachagga. Huku mjini tunawaona wanavyopuuzana na kudharauliana. Hapa Arusha kuna vyama vya kikabila vya kusaidiana katika matatizo, vya wachagga vimegawanyika kama ulivyotaja hapo juu, na hawakubali kwa mfano marangu kukaribishwa kwenye chama cha Kibosho. Na ukisikia yanayozungumzwa na wachagga wa sehemu fulani dhidi ya wachagga wa sehemu nyingine huwezi kuaamini wote ni wachagga. Dhambi ya ubaguzi inawatafuna. Mmachame na muuru, kwa mujibu wa makabila haya mawili yanavyochukuliana, hawawezi kamwe kuishi nyumba moja kama mke na mume. Hilo uliza popote uchaggani utapata jibu hilo.