Mchaga wa Uru na wa Machame hawafungamani

Mchaga wa Uru na wa Machame hawafungamani

mmoja anaweza kukupoteza maisha hata uwe mme wake kisa pesa,mwingine kwako vyote poa

kwenye kuua wote wanafanana mchaga ni mchaga tu,,akishika kisu hakirudi...na ukioa mchaga ni kuweka uhai rehani.
 
Mambo ya kizamani hayo..

aya mambo ya wachaga yapo mpaka leo sio ya kizamani..uhoni ufoo na mamake? uhoni lulu alivomkill kanumba? wachaga uko kwao wanaendeleza mila mpaka leo,,wakija mjini wanajifanya yamepitwa na wakati ili watuingize mkenge...
 
mkuu usipotoshe, mimi ni mchaga, baba wa machame mama wa uru.
Wameoana takriban miaka 30 ilopita na bado wako pamoja.


Tatizo ndo za vijana wa leo haziendi bila uzinzi, mzini kwanza ndio muoane.
Hiyo baraka ya Mwenyezi Mungu itatoka wapi?
Unakuta watu ni wachumba lkn wana mtoto/watoto tayari. Hayo ni mafundisho ya wapi kama sio laana?

baba mmchame mama mhuru,,mkuu utakuwa mkatili sana..
 
Mkuu.......wewe ni mchagga........? niulize kwanza ili wakati tunakuelimisha tusije tukawa tunakuonea........

wewe mchaga utamuelimisha nani kuhusu wachaga,,sie tunawajua mwanzo mwisho..tunaishi na nyie kwa machale sana maana hamkawii.
 
Sasa km hawa eti uchumba wa miaka 10???? Na ukimcheki ufoo kashaanza kuzeeka..me nahisi mama yake ndo alikua kikwazo na hivi alikua mtoto pekee aliona akimwachia watafaiidiii..kumbe ptuuuh

mama wa kimachame sio mtu mkuu wangu,,,yani anataka akontrol kila kitu hadi wakwe zake...hapo mama alikuwa anajipanga jinsi ya kumdedisha mshikaji baada ya kupata alichotaka,mjengo.
 
Wanafungamana na wewe?acha uongo wachagga wote ni sawa na hatubaguani uwe mmachame,muuru,kibosho,old moshi,marangu,rombo,siha,etc wote tunaitwa wachagga na hakuna ugomvi kati yetu
Sasa sijui ulifanya research yako wapi na lini ya watu kuto fungamana

haikambe manka!!nyinyi wachaga mnashilikiana kwenye ujambazi tu zaidi ya hapo chui na paka.
 
Kiongozi nilichokiandika nimekipata kutoka kwa mchaga mtu mzima na nimefuatilia kwa wengine wawili watatu wote wanasema hivyo. Kuhusu hiyo ndoa ya wazazi wako, chunguza vizuri utasikia kuna tambiko walifanya kuzuia laana hiyo. Tena kama ni wa miaka 30 iliyopita lazima walifanya tambiko la ukweli haswa maana miaka hiyo imani hiyo ilikuwa na nguvu labda kuliko leo.

Amezaliwa Manzese Uru au Machame anakuja Krisimasi. Hajui ya undani huyo.
 
binafsi mimi ni mchaga wa machame,
Wachaga tuko hivi, hakuna ubaguzi dhidi yetu ila tu, kuna miiko ambayo iko na si kwa nia ya kutuondolea umoja wetu. Lugha zetu ni tofauti kwa kila aina ya mchaga muuru, ataongea tofauti na mmachame ama msiha ama mrombo lkn mmarangu, oldmoshi, na Mkirua wote wanaongea kichaga cha aina moja. Kidogo mkibosho na mmachame wanaweza kusikilizana lkn nayo pia sio sana.

tuje kwenye mada yako iko hivi wachaga wote huoana isipokuwa mkibosho na mmachame tu, laana hii iliwekwa toka enzi za mambabu wakati wa utawala wa mangi kwamba, enzi za mangi wa Kibosho, aliwah kutok ana kupigana vita na Mangi wa Machame kisa wanagombea maeneo na eneo hilo sikumbuki vyema lilikuwa sijui ni eneo la mto WERUWERU sina hakika sana.

sasa ikatokea kwamba vijana wa kibosho walikuwa wanawaua vijana wa machame kwa ukatili sana yaani wanawachoma visu na kuwacharanga kama nyama, ndipo ikawekwa amini Mmachame asiolewe KIBOSHO wala asijenge nyumba kuangalia Kibosho.

Kwa macho yangu nimeshuhudia baadhi ya ndoa za mkibosho na mmachame zikiteseka ama kwa kupata watoto walemavu, ama kuuana, ama ugonjwa nk kwasababu ya mwiko uliowekwa, lkn pia nimeshuhudia hata waliokaidi na kujenga nyumba ikaelekea kibosho wakipata shida sana kwenye hizo nyumba hii ni kweli na haipingiki.

Ukivuka kibosho kwenda maeneo mengine yote iwe old mosh uru, vUNJO, Kilema, marangu, mwika, rombo hawa wanaoana pasi tatizo lolote unless kama familia kama famili ama ukoo kama ukoo una miiko yake.

Nasema ukoo kama ukoo kwasababu, Mushi ni ukoo mkubwa sana na kuna baadhi ya kaka zao wallizaa na dada zao lkn baada ya dada kuzaa walipatiwa maeneo mengine wakaish huko lkn koo zikabadilishwa kwasababu ilihesabika kwamba ni laana kukaa na mtoto wa dada nyumba moja. Mwiko uliowekwa kwenye watu kama hawa ni wasioane manake ni ndugu moja hivyo wakioana watapata laana. mfano hai tunaoweza kuuona ni kama vile Mushi hawaoi kwa Shoo, ama Massawe hawaoi kwa Shuma, ama kama vile mmachame hawezi kumuoa Msiha manake hawa ni dada na kaka kabisa walizaa na ukioa hapa umeoa dada yako mpaka ifanywe mila ya kuvunja undugu ndipo mnaweza labda kupata baraka za watoto.

Kuhusu case ya kwamba Mmchame na muuru hawaoani mimi binafsi naipinga kwani baba yangu mdogo kabisa ni mmachame wa hapa hapa Uduru ni loya mzuri na mkewe ni Muuru ni profesa wa watoto Prof Petronila Ngiloi, wanamaisha mazuri sana na watoto wanao tena waliosoma na maisha yao ni supa hivyo kwa maelezo haya wewe mtoa mada umepotoshwa na waliokuambia.

wewe mmeo utamtanguliza lini? au kibali chako kinatoka ukienda krismass ya mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
mi ujinga ujinga kama huu sinaga time nao

ukweli leo umekuwa ujinga?,,tupe maoni yako bana dada wa kimachame...naskia mlivokwenda krismass bibi kakwambia akishamaliza kujenga shemu wetu usimkawize.
 
Cc 2013 Nicholas Nyakageni.
Nyie wachaga hebu njooni mregebishe huku ati!

mkuu wapo bize kwenye kikao cha wanaKibosho waishio Dar es Salaam, uko zinatembezwa Cv tu za ndugu zao..wa Tra anapokea zake,wa crdb zake,wa wizarani anapokea zake ni mwendo wa "aisee kimei akikisha uyu ndugu yako anatoka mtaani" kupeana kazi,,alafu wanatuzuga wanajadili maendeleo ya kibosho..
 
Last edited by a moderator:
Hakika, matambiko na Ukristo ni mbali kama shetani na Msalaba.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mchaga na dini wapi na wapi mkuu,,wanazugia tu uko..dini yao PESA wenyewe wanajiita mafaita,wakiinua kisu hakirudi.
 
Dhambi ya ukabila na ukanda inawatafuna, kuweni wamoja jamani "cats and dogs forgive each other why not us?"
 
Ukabila bado unaabudiwa!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dhambi ya ukabila na ukanda inawatafuna, kuweni wamoja jamani "cats and dogs forgive each other why not us?"

dhambi ya ukabila kamuulize mama mkapa na kina mramba walichokifanya walipopewa vitengo,,,kwa maelezo zaidi nenda tra,ikulu,tanroads,crdb.
 
  • Thanks
Reactions: keh
mama wa kimachame sio mtu mkuu wangu,,,yani anataka akontrol kila kitu hadi wakwe zake...hapo mama alikuwa anajipanga jinsi ya kumdedisha mshikaji baada ya kupata alichotaka,mjengo.

Kwakweli aisee uchumba 10yrs.???? Halafu mama ni mjane so ufoo ndo alikua mume na mtoto pia....haya ss hatima yake ndo hiyo
 
naomba kuuliza ndugu zangu wana JF,asilimia kubwa ya wachaga ni wakristo sasa naomba kuuliza hivi hayo mambo ya mila za kutambikia mizimu kidini wanayachukuliaje? kwanini TB Joshua au wainjilist wasiwaombee ili kufuta hizo laana znazosababishwa na mashetan? au kwao dini na tambiko ni kitu kimoja. asanteni

Kwa experience yangu ya kuolewa uchagani aisee hawa watu na matambiko ni damu damu .sidhani kama wataacha.wanaenda church then wanarudi kutambika
 
Kumbe wachaga ndivyo mlivyo dada yenu sioe tena , wengine mlizaa na dada zenu, wengine mna laana duh! japo mmebalikiwa kuzaa watoto warembo hasa kizazi hiki maana zamani walipigwa pasi!!!!!!!!!!!!!
Linapokuja swala la kuondoleana uhai siafiki! kaeni na urembo wenu kama vipi owaeni wenyewe! na nyie wenyewe mnabaguana duh!!
 
aya mambo ya wachaga yapo mpaka leo sio ya kizamani..uhoni ufoo na mamake? uhoni lulu alivomkill kanumba? wachaga uko kwao wanaendeleza mila mpaka leo,,wakija mjini wanajifanya yamepitwa na wakati ili watuingize mkenge...

Unaye ongea naye ni mchaga kindaki ndaki haswaa...Sasa mimi ninamifano halisi Wachagga wa sehemu zingine waliooana na Wamachame na maisha yanaenda vizuri tuu wala hamna tatizo......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom