Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,023
- 61,233
Makinika tu Mzee mwenzangu kwenye hiyo rematch, hawa mabinti wa 2000 hawana kazi ndogoNajipanga kwa rematch mzee wee subiri matokeo yatatangazwa hapahapa
Wanaweza kukupandisha kisukari na Presha katikati ya safari hawa 🤭