Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,795
- 182,965
Ikawaje?Zamani nilikua nammudu min me
Ikawaje?Zamani nilikua nammudu min me
Siku hizi simuoni sijui kapotelea wapi😂Ikawaje?
Kwani uzi unahusu nini we mzee wa hovyo?Vipi Wazee tunaruhusiwa kujibebea wa mwaka 2000
Au tukienda safari ya sekunde 29 tutakuja kutangazwa humu kwamba tumepewa kazi lakini tumeishia kuwachafua tu 🤭
Koh koh koh 🏃🏃🏃
Mchonganishi ndio.
Mpare muongo huyuuu🤣🤣🤣🤣Kiranga chao kimenishinda.. Mimi ni wa kulala siku 2 hoi Mimi 🙌🏿🙌🏿 kweli mganga alipatikana😎😀
Sitakiiii, naenda mwambia.Kausha basi shee takupa hela
Soma maelezo ya Mshana amesema Kila kitu MjukuuKwani uzi unahusu nini we mzee wa hovyo?
Thubutu yako🤣🤣Wee nakumudu maana ni shemela😂
Yuko kwa mashirimaa analewa🤣🤣Siku hizi simuoni sijui kapotelea wapi😂
Hakika Mzee mwenzanguItungwe sheria wasitupeleke speed 180.. Mwisho iwe 80🤣
Ndioooooo! Sijui haka kapepo umekatoa wapi🙆♂️🙆♂️Sio kweli😎
Yeye kakushinda ndio utawaweza wawili!!🤣🤣Muulize atakuambia😀
Hapanaaaaaa, wewe unawaza uzinzi tu. Uzi hauhusu uzinzi🤣🤣Soma maelezo ya Mshana amesema Kila kitu Mjukuu
Sisi Wazee tunatia chumvi tu 😅
Nipe kibunda💵Njoo tuyajenge shee..! Yanazungumzika mbona?😎