Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

JF members,
Mimi naona wote waliotoa maoni yao wako sahihi. Mungu anatenda miujiza, hilo halina shaka wote twalijua. Shetani pia ana uwezo wake, kumbukeni (Biblia) wachawi waliogeuza fimbo kuwa nyoka (sikumbuki kitabu gani na mstari upi). Sasa hili la mama Lwakatare hususani Makanisa haya ya uamsho, kweli yameficha mambo mengi. We're not sure if they are doing business of God or they're serving satan. Naogopa kuhukumu, lakini ushahidi uliopo unapelekea watu kuamini kuwa kuna kitu kimejificha ndani ya haya makanisa. Tunaongelea mada juu ya Lwakatare, sitaki kuwatoa kwenye line hiyo, lakini lioneni na hili ili lituongezee ufahamu juu ya makanisa hayo. Hili limetokea Uganda. Sasa soma hapa chini.

ENTEBBE: It's as strange as it's true. A man of God of Ghanaian extraction was arrested and interrogated at Entebbe Airport after he attempted to clear a machine which, police say, he has been using to deliver electric current on unsuspecting worshippers during church service.

"Pastor' Obiri Korji Yeboah on July 5 failed to convince Aviation Police officers why he needed this machine to do God's work. He is now facing serious charges including fraud and false pretence," Police Spokesman Asan Kasingye told Sunday Monitor.

Police said the machine could be worn like a corset on the body. It also can generate up to 12 volts.

"When (he) touches his flock, they fall down (thinking) he is using super natural powers," Asan Kasingye said. The machine is placed on any part of the body and gives a pleasant electric shock to whoever touches you.

The waterproof electric machine is activated within 10 seconds and can emit sparks of static electricity between the user's fingers while in darkness. The American company manufactures the machine known for freaking people's minds.

Kasingye said the machine using the body as a conductor of electricity, transfers the current to the person in contact but the one using the device remains unaffected. Other "Born Again" pastors including the head of the National Council of Born Again Churches (NCBC), a body that regulate Pentecostal churches, are calling for prosecution of Yeboah.

"Police should interrogate him properly, know where he stays and the people he works with so that we get a clear picture of it all," said Pastor Alex Mitala who heads NCBC. Yeboah is a pastor in We Are One Ministry Church on Sir Apollo Kaggwa Road, Makerere. His father, other pastors say, is Obiri Yeboah, the controversial pioneer of miracle healing in Uganda. His followers include several local pastors who include John Kakande.

Pastor Solomon Male said: "It's a pity they have arrested Yeboah but police should not allow him to use a machine to deceive he has supernatural powers," Male said. "Yeboah's father was a witch, magician and I am not surprised that he was caught with that machine," Male added.

Yeboah has denied charges he tried to import an electric shock machine to make people believe he could pass on the Holy Spirit.

"This is a toy. It was sent for my daughters' birthday," said Yeboah. The pastor told the BBC that during his prayers, members of the congregation "act as the spirit comes in them".

There has been a massive growth in churches set up by charismatic preachers in Africa in recent years, amid fears some could be fraudsters.

The website of the company which makes the "Electric Touch" machine, among other magic tricks, says: "Charge a spoon, keys or coins and watch as it shocks a volunteer!
"They will believe you have supernatural powers!"

(Uganda Monitor)

The Other Side

Interpol Probes Pastor's Gadget

Interpol has joined the Ugandan Police in investigating the origin of an electric shock device which was imported by a pastor.

The gadget, which belonged Obiri Yeboah Korji of ‘We are One Ministry’, was impounded when the Customs officials became suspicious on reading its manual.

The CID acting commissioner of crime, Elly Womanya, yesterday explained that they had requested their counterparts in the UK to contact Korji’s mother over the matter.

“We are trying to get in touch with those who sent it,” Womanya said by phone yesterday.

Korji’s lawyer, Augustus Ssewankambo, last week told journalists that his mother, who lives in the UK, sent the ‘Electric Touch’ device to her 17-year-old-granddaughter.

Made by Yigal Mesika, the device electrifies any person who puts it on.

The electrified person transfers the power to any other person they touch.

According to the Police, Korji wanted to dupe his followers into thinking that he has supernatural powers by using the machine.

The Police last week announced that experts of explosives would examine the device.

Meanwhile, Korji was expected to reappear at the CID headquarters in Kampala yesterday. Ssewankambo could not
 
Kuna sheria yoyote inayokataza mchungaji kumiliki shule au kuwa mwanasiasa?Unamfahamu Mwakasege?Unajua licha ya kuwa mhubiri anafanya kazi gani?Tuache hilo.Pengine utufungue macho kuhusu hiyo ya kupiga vita dini nyingine,lakini kimsingi maandiko matakatifu ya kila dini yako ESSENTIALLY OPPOSED to one another.In the name of peace and co-existence,tuna-pretend kuwa Mungu wa Wakatoliki ni sawa na Allah wa Waislam,japo tunafahamu fika kuwa Wakatoliki wanaamini kwenye The Holy Trinity kitu ambacho Waislam hawakikubali.So,unapozungumzia "kupiga vita dini nyingine" utambue kuwa kimsingi kila dini iko bize na kujiimarisha yenyewe na sio kuiimarisha nyingine.


You see now!hivi kafiri ni nani kwa mtazamo wako?


Kama ni hivyo kwanini tusimwachie Mungu amhukumu kabla ya sie kuhukumu kitu tusichokuwa na ushahidi nacho?


Ni vigumu tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu kama isivyowezekana ngamia kupemya katika tundu la sindano
 
Kwa jina la Yesu watakuja na watadanganya wengi!!Kwa jina la gadgets wata -make huge amounts of money!
 
Mheshimiwa Dr Mch Lwakatare afanya kweli, arudisha ma yatima wote kwao kesho kutwa. anatarajia kufungua University pale Tabata alikowaweka nakuwahidi atawasomesha mpaka chuo ki kuu. Kinasikitisha kwasababu hata watoto ambao wako darasa la saba wanarudishwa vijijini sijui mitihani watafanyaje kwenye mashule ya kawaida.
 
Mkuu, hii habari inashtusha; nini hasa sababu ya kuwarudisha ni kujenga chuo kikuu? au? na je kweli anajenga hicho chuo au rumors,

mwenye taarifa tuambiane jamani, maana wengine tusijekushusha mabomu ya nuclear in wrong target

please find out bro.

thanks anyway.,
 
Huyo mama ni mfanyabiashara. Alipata mradi wa yatima (1000) kama miaka 4/5 ago akaahidi atawasomesha mpaka chuo ki kuu.Aliomba waheshimiwa wabunge watafute watoto vulnerable sasa yamemshinda anawarudisha hata kuwambia waliyowaleta.Mwaka jana alirudisha badhi yao na walipata shida kutafuta ma shule na kuanza kujifunza kwa kiswahili.
 
Wengi wa hawa wachungaji ni mbwa mwitu walijifunga ngozi za kondoo. Huyu Lwakatare ni mmoja wa matapeli wakubwa sana wanaotumia jina la Mungu kwa manufaa yao. Ana mshiriki wake aliyempa huo "udaktari" yuko hapo North Carolina
 
Mheshimiwa Dr Mch Lwakatare afanya kweli, arudisha ma yatima wote kwao kesho kutwa. anatarajia kufungua University pale Tabata alikowaweka nakuwahidi atawasomesha mpaka chuo ki kuu. Kinasikitisha kwasababu hata watoto ambao wako darasa la saba wanarudishwa vijijini sijui mitihani watafanyaje kwenye mashule ya kawaida.
Source p/se?, la sivyo itakuwa majungu. Kufungua Univ. haiwezi kuwa ndio sababu, akitaka anaweza kujenga vituka. Analo eneo kubwa kuliko lile la Tbt, ingawa kwa kujenga chuo kikuu bado ni dogo.
 
Nakumbuka Tujisenti alisema kitu fulani kuhusu huyu mama kwenye thread hii.. is this something personal?
 
Hao wanaoitwa misukule wamechukuliwa nchi jirani DRC na ni maandalizi ya muda mrefu ya kujenga kanisa lake na kuficha pesa anazopewa na wapambe wake waliomo ndani ya serikali/CCM. Katika matapeli wakubwa wa nchi hii huyu mama ni miongoni mwao, na pia niliwahi kuandika humu jinsi huyu mama anavyo tunza pesa za mafisadi walioiibia nchi yetu na hiyo pesa imewekezwa kwenye miradi ya huyu mama.

huyu mama ana account CITIBANK marekani ambayo mwaka 2007 mwishoni ilikuwa na US$118m.
 
Kwa kuongezea tu mama rwakatare hana tofauti na sheihk yahya
 
Complicated? Sidhani. Hapa ni ujuha wa waumini; na utapeli wa mchungaji. Hakuna la ziada.
tatizo ni nini? kuwatoa misukule? kumbuka waumini siyo maamumahivyo they know everything,... anajua hatetewi na mwanadamu tena hapokei wala kutoa, ikiwa Mungu anadhihakiwa na Mch Lwakatare, atajidhihirisha yeye mwenyewe because of his glory Mungu hafanyi kwa kumwogopa mwanadamu you know that, Mungu through Yesu kristo ni tofauti na Mungu through allah + muhammad, huyu hawezi kusimama, ili afanye kazi anategemea nguvu ya maimam + maamuma = tawile
 
Hao wanaoitwa misukule wamechukuliwa nchi jirani DRC na ni maandalizi ya muda mrefu ya kujenga kanisa lake na kuficha pesa anazopewa na wapambe wake waliomo ndani ya serikali/CCM. Katika matapeli wakubwa wa nchi hii huyu mama ni miongoni mwao, na pia niliwahi kuandika humu jinsi huyu mama anavyo tunza pesa za mafisadi walioiibia nchi yetu na hiyo pesa imewekezwa kwenye miradi ya huyu mama.

huyu mama ana account CITIBANK marekani ambayo mwaka 2007 mwishoni ilikuwa na US$118m.

Duuuh. kazi kweli.
binafsi siamini ktk miujiza ya huyu mama. Nadhani yuko kibiashara zaidi kuliko kikanisa. Lakini huku anakotupeleka sasa kama nchi si kuzuri. Tunakoelekea ni kule kwa kina Kibwetele wa Uganda walioishia kuwaua waamini wao kanisani. Kwa maendeleo ya technolojia tuliyonayo (e.g DNA) nategemea serikali kufanya uchunguzi na kusibitisha hii miujiza inayotokea kwa huyu mama. Lakini kwa kuwa vigogo inasemekana vigogo ni wafaidika wa kazi mbali mbali za huyu mama ndo maana serikali inajiweka pembeni. Binafsi naona huyu mama anapotosha watu walio wengi ambao ni nguvu kazi ya nchi.
 
sIJAFDUATILIA sana suala hili ila lime kaa kitapeli zaidi, je kama hawa watu walikufa na kuzikwa , basi kuna death certificate je wame prove kuwa wan record ya hawa marehemu kufariki, na je wapi ndugu zako ku prove jambo kubw akama hilo?
Ms Rwakatare jaribu kutudhihirishia habari hizi , maana wengi tunakuon akama tapeli wakati labda kuna ukweli halisi.
 
SIMPLE LOGIC: Inasemwa kuwa hao "misukule" walichukuliwa na watu ambao wamejisalimisha kanisani (ndipo "siri" ya kuwepo kwa hao misukule msituni ikfahamika, nadhani walishuhudia au kuungama kwa mchungaji)

Sasa kwanini hao hao "waliookoka" wasiwajibike kuwarudisha misukule hao kwa ndugu zao? Yaani kweli hata waandishi wa habari wanashindwa kuunganisha hizi doti na kuishia kukuza vitu na kujengea watu hofu? Kanisa lilikuwa na haja gani ya kutangazia ndugu "kuja kuwatambua" kama waliofanya tukio hilo wapo?
 
Back
Top Bottom