chichemi lolote
Mwanakijiji,
Mimi naamini kwa YESU YOTE yanawezekana!
Isimuhukumu huyu mama. Ina maana waumini wote hapo kanisani hawayaoni hayo yote?
FP
With all due respect, mapema sana nilishasema kuwa huyu mama mimi ninamshitukia sana kwa sababu ninajua according to the dataz, kuwa anajirusha na Mkulu mmoja wa CCM,
Kwa hiyo haya mengine yote ni tisa, kumi Mungu hawezi chezewa na bina-adam hata siku moja, ndio maana yanaanza kujitokeza, ni aibu sana kwa wale tunaomuamini Mungu.
Uko sahihiBongo ishaokota makopo hii! Mwenzako mama Lwakatare anafanya yake, wewe huna ya kufanya? Dunia ya sasa wewe pambana na magumu ya maisha kivyako,, ukianza kuangalia wanaofanikiwa wamepataje utajiri utapatwa na stress bure! Wajinga ndo waliwao, na wewe tafuta wajinga wako uwale usonge mbele na si kujifanya mkaguzi eti watu wanatoboa vp kimaisha.
Kwa nini mkuu?Hii nchi very unique...
Kwa nini mkuu?