Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

Narudia tena swali langu.Apart from hiyo ishu ya misukule,hakuna miujiza mingine inayotokea katika kanisa la huyo mama?

Ee Bwana usicheze na hawa wanaojiita wachungaji kama huyu mazaa. Wengine wlikamatwa na mashine za kutoa short ya umeme wa low voltage ili akimgusa mtu aanguke. Kwani kuna uhusiano gani kati ya kuanguka na kupona ukimwi , malaria ,ukoma , ugumba etal kama wachungaji hawa wanavyowadanganya watu?

Wanacheza tu na psychology za watu, wanaongea kwa hisia na sauti za ajabu ajabu na muziki mkubwa ili kuamsha hisia then wanapata hela. Wanawake unfortunatelly ndio wanakuwa victim zaidi.
 
Kila mtu anaamini kile ANACHOKIAMINI lakini kuna wale wanaoaminishwa kile walichokiona hata KAMA KILIKUA NI CHA KUTENGENEZA ni wajibu wetu sasa kuamini kile TUKIONACHO na tukijuacho.Mama Lwakatare anatuaminisha kwa kuona bila kujua tulichokiona kimetoka wapi!!
JE NANI WA KUTUSAIDIA TUONE KULE KILIPOTUKA ILI TUWE NA IMANI HALISI?
 
Kuna wakati fulani Yesu alimponya mtu mmoja mwenye ukoma; akamwambia "nenda kwa makuhani ukajioneshe". Lengo lilikuwa ni kuthibitisha kuwa ameponga kweli na haikuwa hoax.

Wakati mwingine alimponya mtu mmoja aliyezaliwa kipofu. Wakuu wa Makuhani waliposikia habari hiyo hawakuamini na wakawaita wazazi wa huyo jamaa na kuuliza habari zake. Wale wazazi wakasema "yeye ni mtu mzima muulizeni mwenyewe". Yule bwana alipoitwa akawaambia kuwa "mimi sijui kama huyo aliyeniponya ni mtakatifu au la, ninachojua ni kuwa nilikuwa kipofu na sasa naona".

Katika mifano hiyo miwili utaona kuwa kwenye mambo ya miujiza kufanya uchunguzi siyo kukana miujiza bali kuondoa uwezekano wa uongo.

Heshima mbele mkuu, huwa nakuaminia sana ila naona hapa masuala ya sir God (Bible) yamekupiga chenga. Unajua ni mara ngapi Bwana Yesu alifanya miujiza akwawaambia aliowafanyia miujiza wasitangaze? You should strike the balance sir!

Kulikuwa na sababu ya kuwaambia wakajionyeshe na kulikuwa na sababu za kuwaambia wanyamaze. Find that mkuu.
 
na ya matapeli yanapelekwa mahakamani!

Na shida yako kubwa iko hapa mkuu. Ndio maana unadiriki "kupindisha" maandiko ili yaku-support.
Kwa nini usisubiri uchunguzi (kama ulivyo-sugesti) ili kuona ni tapeli au la. Kwa nini kutumia speculations kumuhukumu ili uje uombe radhi? Itasaidiaje hiyo mkuu?! Au ndio mambo ya "si nilisema"
 
kwa mujibu wako inaonyesha wakatoliki tu wa zamani ndio walikuwa wanafanya miujiza , humjui mkatoliki yeyote kwa sasa anayefanya miujiza, inspite tha fact that we hanve milions of them now adays.

Ok, nadhani maada ni lwakatare tuache ya wakatoliki, maana hali ya hewa inaweza kuchafuka humu ndani.

We have been blindly following these denominations, hatujui wala hatufuatiliil history zake, vitu vingine ni sometime hata common sense zetu hazifanyi kazi sawa sawa.

1.mtu anasema tutumie sanamu ya fulani tunafuata hata hatuulizi mara mbili.

2.mtu anasema ukifa utaombwa uende peponi , tutakuombea utoke pagatori , tunakubali , we dont ask.

3.bible tells clearly that we should ask and pray by the name of jesus, leo mtu anasema tutumie jina la maria , with no bibilical evidence, tunakubali

4.mtu anasema tufungishe au tufunge ndoa ya jinsia moja, tunasema sawa.

5.watu wanasema twende tukaubiri injili ulaya, bila passport, viza wala nauli, still people say yes

6.kuwa tukamsubiri yesu porini anarusi tarehe 30/4 /2008 watu wanasema ndiyo..

7.kuwa kuna watu wanachukiliwa msukule, na kurudishwa still people say yes...

8.kuwa yesu alibatizwa maji mengi, let us by our reasoning with no biblical proof tubatizane kwa maji machache, we say yes.

9.kuwa fanyeni kazi wee, sisi wachungaji tunataka fungu la kumi inspite the fact that, hakuna uthibitisho wa kutoa fungu la kumi kwa wakristo wa agano jipya still people say yes.

10.wengine wanaambiwa dini yao ndiyo ya kweli, na ukijiua unaenda peponi , huko unakutana na wanawake bikra 7, bila kuwaza kuwa vitabu vinigine vyote vya dini tofauti na ya kikristo vilikuja 600 years latar! Bado watu wanasema yes!

comment

wachungaji waongo, walikuwapo even before jesus was born refer balaam! Watakuwapo tu.swala ni kwa kiasi gani tunasoma biblia na kuweza kuchambua maandiko sisi wenyewe na kujua zipi pumba na zipi mahindi thats is our task. Mfano wengi wanamsema mama lwakatare vibaya still we can not stand for our faiths! Be honest most of us hatuja question kuhusu dini zetu, tunakuwa wakali zinapoguswa hata kama kuna ukweli, kwa sababu ndiko tuliko zaliwa, kulia ,olea n.k

watu wasome biblia, waamue wenyewe based on the fact of bible....no compromise, no meander.


This was just ana alert:

1corinthians 4:14 :i do not write these things to shame you, but to admonish you as my beloved children.

Waberoya

mkuu mbona "umepiga" kote, sasa tukimbilie wapi? Kazi kweli kweli!
 
CHANZO KINGINE CHA MIUJIZA KILICHOBAINIKA KWA WENZETU HUKO UGANDA

MARTIN SSEBUYIRA &
ZURAH NAKABUGO


Attachment 1994
Pastor Obiri Korji Yeboah

ENTEBBE: It's as strange as it's true. A man of God of Ghanaian extraction was arrested and interrogated at Entebbe Airport after he attempted to clear a machine which, police say, he has been using to deliver electric current on unsuspecting worshippers during church service.

"Pastor' Obiri Korji Yeboah on July 5 failed to convince Aviation Police officers why he needed this machine to do God's work. He is now facing serious charges including fraud and false pretence," Police Spokesman Asan Kasingye told Sunday Monitor.

Police said the machine could be worn like a corset on the body. It also can generate up to 12 volts.

"When (he) touches his flock, they fall down (thinking) he is using super natural powers," Asan Kasingye said. The machine is placed on any part of the body and gives a pleasant electric shock to whoever touches you.

The waterproof electric machine is activated within 10 seconds and can emit sparks of static electricity between the user's fingers while in darkness. The American company manufactures the machine known for freaking people's minds.

Kasingye said the machine using the body as a conductor of electricity, transfers the current to the person in contact but the one using the device remains unaffected. Other "Born Again" pastors including the head of the National Council of Born Again Churches (NCBC), a body that regulate Pentecostal churches, are calling for prosecution of Yeboah.

"Police should interrogate him properly, know where he stays and the people he works with so that we get a clear picture of it all," said Pastor Alex Mitala who heads NCBC. Yeboah is a pastor in We Are One Ministry Church on Sir Apollo Kaggwa Road, Makerere. His father, other pastors say, is Obiri Yeboah, the controversial pioneer of miracle healing in Uganda. His followers include several local pastors who include John Kakande.

Pastor Solomon Male said: "It's a pity they have arrested Yeboah but police should not allow him to use a machine to deceive he has supernatural powers," Male said. "Yeboah's father was a witch, magician and I am not surprised that he was caught with that machine," Male added.

Yeboah has denied charges he tried to import an electric shock machine to make people believe he could pass on the Holy Spirit.

"This is a toy. It was sent for my daughters' birthday," said Yeboah. The pastor told the BBC that during his prayers, members of the congregation "act as the spirit comes in them".

There has been a massive growth in churches set up by charismatic preachers in Africa in recent years, amid fears some could be fraudsters.

The website of the company which makes the "Electric Touch" machine, among other magic tricks, says: "Charge a spoon, keys or coins and watch as it shocks a volunteer!
"They will believe you have supernatural powers!"

(Uganda Monitor)

The Other Side

Interpol Probes Pastor's Gadget

Interpol has joined the Ugandan Police in investigating the origin of an electric shock device which was imported by a pastor.

The gadget, which belonged Obiri Yeboah Korji of ‘We are One Ministry’, was impounded when the Customs officials became suspicious on reading its manual.

The CID acting commissioner of crime, Elly Womanya, yesterday explained that they had requested their counterparts in the UK to contact Korji’s mother over the matter.

“We are trying to get in touch with those who sent it,” Womanya said by phone yesterday.

Korji’s lawyer, Augustus Ssewankambo, last week told journalists that his mother, who lives in the UK, sent the ‘Electric Touch’ device to her 17-year-old-granddaughter.

Made by Yigal Mesika, the device electrifies any person who puts it on.

The electrified person transfers the power to any other person they touch.

According to the Police, Korji wanted to dupe his followers into thinking that he has supernatural powers by using the machine.

The Police last week announced that experts of explosives would examine the device.

Meanwhile, Korji was expected to reappear at the CID headquarters in Kampala yesterday. Ssewankambo could not be reached for a comment yesterday.
 
great ideas, na isiishie kwa mama lwakatare tu.. Wako wengi twende katoliki( sio north america--(maana wengi wanabaka watoto)..),wasabato( sio masalia....), ....mashahidi wa yehova....anglican(sio wale wa mashoga)..

kwa kifupi hakuna andiko lolote kwenye biblia linalohusisha swala la wafu kuwa wanazungumza au wanarudishwa...hamna....hamna....

Waberoya


wapo mkuu, kasome vizuri biblia "yako"
 
Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana (Waebrania 13).Kwa Imani ile ambayo ilimfanya Henoko akatwaliwa ndivyo hivyo hivyo Mchungaji Dkt, Getrude aweza kufanya anayoyafanya (labda...)

Lakini kwa upande mwingine karne hii tunayoishi sasa ambayo kila leo tunasikia Mchungaji huyu kakamatwa na kifaa cha Umeme Airport kinachoweza kumpa shock muumini aonekane ana pepo, Mara accusations za watu kulipwa ili waonekane wametendewa muujiza, Vinachochochea kuongeza maswali hata kwa Huduma ya huyu mama.

Imefikia mahali ambapo watu wandhani labda Mchungaji huyu anatumia Naigerian Vodoo,Lakini mimi naamini wale walio wa kweli tutawatambua kwa matendo/matunda yao! Na watu basi wapime yale ayafanyayo mama huyu na ikiwezekana yalinganishwe na yale wafanyao Miujiza iliyo ya kweli sehemu mbalimbali duniani ili kuona kama kuna uwiano wa kuweza kudhibitisha haya yafanyikayo.
Je sio ile Imani ndogo kama ya chembe ya Haradali atumiayo Mchungaji Huyu,pamoja na zile ahadi zilzoachwa na Yesu kwa wale wenye hii imani ndogo tu anayotumia kuyafanya haya ayafanyayo? (swali)
 
Ubishi mwingine hata hauna maana; Nani amekuambia siamini miujiza? Hujui imani yangu so usianze kunizungumzia kile ninachoamini kama vile mimi sitozungumzia kile unachoamini.

Hii ni habari ya Mchungaji mwingine mashuhuri ambaye sehemu yake ya kukaa ni jela kwani wanalidhalilisha na kulitukanisha jina la Bwana. Na maandiko yanasema wazi kuwa "siyo wote waniitao Bwana Bwana", na kama unajua Biblia yako utakumbuka kuwa hata waganga waliweza kufanya miujiza mbele ya Pharao, na katika Agano Jipya kuna jamaa mmoja alikuwa anawafuata kina Paulo akisema maneno mazuri ya Mungu lakini Paulo akagundua ni Pepo; so don't tell me what I believe or not believe!

The Gilbert Deya Ministries claim that Deya's powers allow him to be able to cause infertile women to become pregnant. Mr Deya claims that "through the power of prayer and the Lord Jesus" he has helped sterile women give birth. In the UK, one woman is claimed to have had three children in less than a year. Deya admits the women travel to Kenya, in order to "give birth".

Deya's wife, Eddah, was arrested during November 2004 in Nairobi and charged with stealing children. Ten children, none of whom had any genetic connection to the Deya family, were found at Mr Deya's House. Twenty babies have been placed in foster care in Kenya after DNA tests showed they had no connection to their alleged mothers.

Deya has a warrant out for his arrest in Kenya for the trafficking of babies out of the country. The Kenyan police have alleged that the ministry is a baby-snatching ring, and they have petitioned for his extradition from the UK. Mr Deya is currently seeking political asylum from his base in Glasgow. According to a BBC report on 16 June 2006, he has now been arrested by police at Edinburgh Sheriff Court.

In November 2004 the High Court in the UK ruled that a 'miracle baby' in London was the victim of child trafficking, and that the supposed miracle displayed was a ruse in order to generate funds from a "deceived congregation". Mr Justice Ryder ruled that in order to maintain the illusion of a genuine birth, the child's 'mother' was seriously assaulted "and a live child who had been born to another family was presented to her as her child." He also ruled that "[the baby's] birth as described was a falsehood not a miracle."

On 13th December 2006, Mr Deya was arrested in London by the Metropolitan Police. A police spokesman said Gilbert Deya was detained under an arrest warrant issued by Kenyan authorities, who had charged him with child trafficking. He was ordered by a court on 8th November 2007, to be extradited from the UK to Kenya to face five counts of child stealing.

Mkuu huwezi kujua kila kitu. Kubali tu uelewa wako katika masuala ya imani ni mdogo! La sivyo utajaza mambo ya kina Mr Deya humu badala ya kuongelea miujiza ya Rwakatare (Misukule?). Huoni uko "biased?" kumuhukumu Rwakatare kwa makosa/reference ya Mr Deya?
Hii kazi kweli kweli.
 
Kuna maswali mengi tu ya kujiuliza.....haya magazeti ya global publishers yanaingiaje hapa kwenye kuchapisha 'miujiza' ya mama? Just thinking loudly...a kind of promotion?
Tumwache Mungu aitwe Mungu, lakini tutumie akili alizotupa Mungu kutambua yaliyo ya Mungu!
 
Nahisi hapa tunataka kuchanganya dini na sayansi,imani na facts.Hivi kwa Wakristo tunaposoma kwamba Yesu aliponya wagonjwa,do we need any proof?Au resurrection yake,tuna ushahidi wowote?As I Christian myself,I dont even have time to question that kwa vile kufanya hivyo,kwa mujibu wa imani yangu,ni sawa na kutenda dhambi.Naelewa kwa mtizamo usio wa kidini hiyo ni sawa na blind followship,lakini hiyo ndio dini.

Iwe Lwakatware,Kakobe au yeyote yule anayetangaza miujiza kama ya Yesu,kuamini au kutoamini inategemea mtizamo wako kuhusu masuala ya imani.Je kwa wanaoamini miujiza ya Yesu haiwezekani kwa mtumishi wake kuwaibua misukule?Jibu ni NDIO INAWEZEKANA.I am in no way whatsoever suggesting kuwa kila mtu amiini kwani nafahamu kila mtu ana uhuru wa kuamini au kutoamini kutegemea na mtazamo wake.

Kama hayo ya Lwakatware kutoa misukule ni incomprehensible vipi kuhusu alofanya Mwakasege in his recent US tour?

Well said mkuu. Hakuna kitu cha ajabu hapo ambacho Rwakatare kafanya (according to the bible) "mkiniamini mimi ... mtafanya miujiza mikuu zaidi ya niliyofanya mimi ..." - Yesu. Labda suala hapa hiyo zaidi ni ipi? Je misukure ni zaidi? (or unbiblical?).
Yesu alifanya vitu vya ajabu sana; kulikuwa na haja gani yeye kutembea juu ya maji na asipande mtumbwi? Kulikuwa na haja gani kumponya mtu kwa kutema mate chini, kutengeneza tope la mate kisha kumpaka machoni?, kwa nini asingetamka neno tu? Kulikuwa na haja gani kusubiri Lazaro afe kwanza ili akamfufue? (ujiko?) Ndo maana wele "jamaa" (mafarisayo) hawakumuelewa kabisa.
Nafikiri cha muhimu tuache kuwa "mafarisayo" tunahukumu wakati hatufanyi wala hatuwezi fanya kitu chochote katika ufalme wa Mungu. Suala la maana hapa ni uchunguzi ufanyike (hii ni rahisi sana) ili kujua je Rwakatare ni "nabii wa uongo" au sisi ni "mafarisayo" Suala la kuhukumu ili nije kusema samahani ni kuishiwa busara.
 
Nahisi hapa tunataka kuchanganya dini na sayansi,imani na facts.Hivi kwa Wakristo tunaposoma kwamba Yesu aliponya wagonjwa,do we need any proof?Au resurrection yake,tuna ushahidi wowote?As I Christian myself,I dont even have time to question that kwa vile kufanya hivyo,kwa mujibu wa imani yangu,ni sawa na kutenda dhambi.Naelewa kwa mtizamo usio wa kidini hiyo ni sawa na blind followship,lakini hiyo ndio dini.

Iwe Lwakatware,Kakobe au yeyote yule anayetangaza miujiza kama ya Yesu,kuamini au kutoamini inategemea mtizamo wako kuhusu masuala ya imani.Je kwa wanaoamini miujiza ya Yesu haiwezekani kwa mtumishi wake kuwaibua misukule?Jibu ni NDIO INAWEZEKANA.I am in no way whatsoever suggesting kuwa kila mtu amiini kwani nafahamu kila mtu ana uhuru wa kuamini au kutoamini kutegemea na mtazamo wake.

Kama hayo ya Lwakatware kutoa misukule ni incomprehensible vipi kuhusu alofanya Mwakasege in his recent US tour?
Mlalahoi kumbuka kuwa Biblia kwenye Yoh. 4:1 inasema msiziamini kila roho bali mzijalibu kama zinatokana na Mungu maana manabii wengi wametokea duniani sasa unaposema watu waamini bila kuzijaribu hizo roho unawapotosha, harafu kumbuka kuwa Yesu alisema, ponyeni watu fufueni wafu, maana umesema tuamini yanapotendeka aliyo fanya yesu, sasa Yesu alifufua wafu walio kuwa wamekufa hawajazikwa hakufufua wafu waliochukuliwa misukule, kumbuka hata mitume walifufua wafu si misukule, na wafu wanao fufuliwa ni wale ambao kifo kinatokea kwaajili ya utukufu wa Mungu, wakati Razaro alipokufa wakina mathar walipo muita Yesu alisema kifo hiki ni kwaajili ya utukufu wa Mungu. Halafu tambua kuwa mtu anapochukuliwa msukule anageuzwa kuwa pepo na shetani anakuwa amesha muweka kwenye himaya yake, sasa wewe unaye waambia watu kuwa umefufua misukule, lazima watu washituke yawezekana upo katika ulimwengu huo. Biblia inasema sisi hatulichanganyi neno la Mungu na uwongo, ndiyo maana watu ambao Mungu amewajalia ufahamu wake wanahoji, wanaijaribu hiyo roho inayofufua misukule ili wapate jibu kama inatokana na Mungu, Mtu wa Mungu mwenye uwezo wa mungu ataonekana tu bila hatakujitangaza, mtamtambua kwa matunda yake (matendo) hatafuti utukufu wa wanadamu wala hatafuti kusifiwa na wanadamu, sifa yake inatoka kwa mungu, sijawahi ona wala kusikia mtu wa mungu anafufua misukule, labda kwa mungu wa mikochenikama wanavyo muuta wao, si mungu huyu muumba mbingu na nchi. Rwakatale amejichanganya mno ndiyo maana watu wengi wanakuwa na mashaka naye.
 
Ya kaisari mpeni kaisari na ya MUNGU muachieni MUNGU!miujiza haijaanza leo toka kabla ya YESU ilikuwepo na Enzi za YESU ikawepo na itaendelea kuwepo!MKJJ hulazimishwi kuamini!Kwanza YESU mwenyewe alisema watu watafanya miujiza kuliko hata aliyofanya yeye!hapa ni IMANI tu!hakuna jipya alilofanya mtumishi wa MUNGU kwanza yeye hajafufua!ila hao misukule hawakufa kifo cha kawaida!kama YESU aliweza kumfufua Lazaro tena aliyekufa kiukweli!leo watumishi wake washindwe kuibua misukule!Kwa MUNGU yote yewezekana!

Unataka kumlinganisha Rwakatare na YESU? Imani ya Wakristo iko kwa YESU. Sio kwa Rwakatare. Mambo ya misukule ni ya hisia tu. Hata huko kwa Wasukuma ilipoibukia huwa ni hisia kuwa mtu akiwa na bidii ya kilimo anaambiwa anatumia misukule kumlimia. Ni mambo ya imani za kichawi kichawi. Huyu anayaleta kwenye dini akiamini yatamjengea heshima katika jamii anajiharibia kwa kuwa mwisho itakuja kuonekana ni HOAX.
 
Unataka kumlinganisha Rwakatare na YESU? Imani ya Wakristo iko kwa YESU. Sio kwa Rwakatare. Mambo ya misukule ni ya hisia tu. Hata huko kwa Wasukuma ilipoibukia huwa ni hisia kuwa mtu akiwa na bidii ya kilimo anaambiwa anatumia misukule kumlimia. Ni mambo ya imani za kichawi kichawi. Huyu anayaleta kwenye dini akiamini yatamjengea heshima katika jamii anajiharibia kwa kuwa mwisho itakuja kuonekana ni HOAX.

Sijamlinganisha na YESU!elewa!haya endeleeni kusema tu mwenzenu anasonga mbele ndani ya YESU!ni MUNGU ndiye kamuinua na atabaki kuwa juu tu!nyie mtabaki na maswali huku mwenzenu anasonga mbele!
 
Heshima mbele mkuu, huwa nakuaminia sana ila naona hapa masuala ya sir God (Bible) yamekupiga chenga. Unajua ni mara ngapi Bwana Yesu alifanya miujiza akwawaambia aliowafanyia miujiza wasitangaze? You should strike the balance sir!

Kulikuwa na sababu ya kuwaambia wakajionyeshe na kulikuwa na sababu za kuwaambia wanyamaze. Find that mkuu.


Mzee Piripiri kukazia hapo, mfano ni pale alipowaambia "Nendeni mkamweleze Yohana Mbatizaji hayo mliyoyaona na kuyasikia" Vipofu wanaona viziwi wanasikia n.k.... Maana kubwa hapa ni kuwa kulikua na sababu katika kila tukio
 
HIVI hili suala la mtu kuwa Mchungaji, Mwanasiasa, Mmiliki wa Mashule, Mfanyabiashara na mpiga vita dini nyingine tunalichukuliaje jamani?

Ninavyoona mimi ndugu huyu ana malengo binafsi ya kusababisha mtafaruku kati ya Waislamu na walokole nchini. Maana watu wote 'anawaokoa' yeye ni Waislamu na hajawahi kutuletea kafiri au Baniani au Mbudda au Mbahai kuwa katolewa mashetani hayo ya kughushi kila anapofanya hadharani vitu vyake.

Na aangalie sana maana Mungu Mkubwa na anaweza kumuumbua vibaya sana kabla ya siku zake!


Asante Mzee Mwanakijiji kwa taarifa safi! Inayofungua macho na masikio na pua pia!
 
Kwa vile tumezowea kudanganywa,kama ambavyo mafisadi wanavyotudangany kwenye media (mfano gazeti moja liliandika selo zinaandaliwa kwa ajili ya "mahabusu" wa EPA only for JK kutoa days of grace),basi tunakuwa wagumu kuamini kile ambacho wenzetu wanaona ni ukweli.So far,hakuna yeyote kati ya ninyi mao-doubt kuhusu miujiza ya misukule ameonyesha kuwa mama huyo hajawahi kufanya miujiza kanisani mwake.Na hilo linahitaji uwe na imani ya kiroho kuwa katika dini miujiza inawezekana,na uwe umeshuhudia kwa macho au masikio kuhusu miujiza hiyo.

Nadhani tatizo hapa ni tofauti za kimtizamo na kiimani kati ya makundi mawili.Moja ni lile lisiloamini katika miujiza ya kiroho na sie tunaoamini miujiza ya aina hiyo.Sasa as long as nyie msoamini mmeshindwa kututhibitishia kuwa hakuna miujiza mingine,apart from misukule,inayotokea kanisani hapo,habari hiyo itaendelea kuwa sehemu ya ushuhuda kwamba katika Yesu yote yanawezekana.

By the way,hakuna anayelazimishwa kuamini kuwa miujiza hiyo imetokea.Anayetaka uchunguzi ufanyike aziandikie mamlaka husika akieleza kwanini yeye anadhani huo ni utapeli.Na kama serikali haina muda kuchunguza ishu za EPA,Richmond,Kiwira,etc itakuwa ndoto ya mchana kwake kujiingiza katika mgogoro wa kiimani na kiroho kama huo.

Tunaoamini katika miujiza ya kiroho tutaendelea kuamini,msioamini endeleeni kutoamini na ikibidi muitishe uchunguzi,na sio huo tu bali hata kwa wale waliokuwa vilema ambao sasa wanatembea,vipofu sasa wanaona,tasa sasa wana watoto,nk...na msiishie kwa Lwakatware tu bali nendeni kwa Kakobe,Mwakasege,nk.Mkimaliza hapo rudini kwenye kuchunguza Biblia kama kweli Yesu aliponyesha wagonjwa.
 
ngoja nikuchekesheni, hule mchezo wa jumba la dhahabu, yule mdada anayegeuka nyoka, watu wengi tz wamekuwa wanafikiri ni kweli huwa anajigeuza nyoka, wengi sana. ama mchezo wa wrestling hile mijibaba inayopindana na kuangusha kugongana,lakini hauoni nundu wa tone ya damu, ni wengi sana wanaoamini ni kweli wale wanadundana.kwahiyo tatizo ni kuelimika, ni watanzania wachache walioelimika na hao wachache wakijaribu kuwaelimisha wenzao inakuwa shughuli mno.
Hivi kweli mtu ukifa utawezaje kufufuka, halafu itakuwaje mkazike gogo badala ya mtu.

unguja kulikuwa na story sijui mzee yule mwnga anafuga chui na wanyama wakali wakali kuwatumia kwenye uchawi wake, kuna mzungu akaja sikia akatoa offer ya 50,000USD mtu yeyote atakayeweza kumlta chui mpaka nje ya nyumba yake na kumuonyesha tu, basi atampa hizo pesa,mpaka leo si chui wala paka aliyefika hapo kwake.

huyo mama ni mtu hatari anatumia nafasi ya watu kutoelimika kujitajirishahamna kitu kinaitwa msukule na haijawai kutokea mtu kafa akafufuka,never haijawai!
 
HIVI hili suala la mtu kuwa Mchungaji, Mwanasiasa, [QUOTE]Mmiliki wa Mashule, Mfanyabiashara na mpiga vita dini nyingine tunalichukuliaje jamani?

Kuna sheria yoyote inayokataza mchungaji kumiliki shule au kuwa mwanasiasa?Unamfahamu Mwakasege?Unajua licha ya kuwa mhubiri anafanya kazi gani?Tuache hilo.Pengine utufungue macho kuhusu hiyo ya kupiga vita dini nyingine,lakini kimsingi maandiko matakatifu ya kila dini yako ESSENTIALLY OPPOSED to one another.In the name of peace and co-existence,tuna-pretend kuwa Mungu wa Wakatoliki ni sawa na Allah wa Waislam,japo tunafahamu fika kuwa Wakatoliki wanaamini kwenye The Holy Trinity kitu ambacho Waislam hawakikubali.So,unapozungumzia "kupiga vita dini nyingine" utambue kuwa kimsingi kila dini iko bize na kujiimarisha yenyewe na sio kuiimarisha nyingine.
Ninavyoona mimi ndugu huyu ana malengo binafsi ya kusababisha mtafaruku kati ya Waislamu na walokole nchini. Maana watu wote 'anawaokoa' yeye ni Waislamu na hajawahi kutuletea kafiri au Baniani au Mbudda au Mbahai kuwa katolewa mashetani hayo ya kughushi kila anapofanya hadharani vitu vyake.

You see now!hivi kafiri ni nani kwa mtazamo wako?

Na aangalie sana maana Mungu Mkubwa na anaweza kumuumbua vibaya sana kabla ya siku zake!
Kama ni hivyo kwanini tusimwachie Mungu amhukumu kabla ya sie kuhukumu kitu tusichokuwa na ushahidi nacho?
 
ngoja nikuchekesheni, hule mchezo wa jumba la dhahabu, yule mdada anayegeuka nyoka, watu wengi tz wamekuwa wanafikiri ni kweli huwa anajigeuza nyoka, wengi sana. ama mchezo wa wrestling hile mijibaba inayopindana na kuangusha kugongana,lakini hauoni nundu wa tone ya damu, ni wengi sana wanaoamini ni kweli wale wanadundana.kwahiyo tatizo ni kuelimika, ni watanzania wachache walioelimika na hao wachache wakijaribu kuwaelimisha wenzao inakuwa shughuli mno.
Hivi kweli mtu ukifa utawezaje kufufuka, halafu itakuwaje mkazike gogo badala ya mtu.

unguja kulikuwa na story sijui mzee yule mwnga anafuga chui na wanyama wakali wakali kuwatumia kwenye uchawi wake, kuna mzungu akaja sikia akatoa offer ya 50,000USD mtu yeyote atakayeweza kumlta chui mpaka nje ya nyumba yake na kumuonyesha tu, basi atampa hizo pesa,mpaka leo si chui wala paka aliyefika hapo kwake.

huyo mama ni mtu hatari anatumia nafasi ya watu kutoelimika kujitajirishahamna kitu kinaitwa msukule na haijawai kutokea mtu kafa akafufuka,never haijawai!

Inakuwa hawajafa....Ila wanakuwa wamekufa msukule...Sasa hapo ndio utata ulipo...Kwamba wanakuwa wamekufa msukule lakini bado hawajafa(kisayansi?) Kwasababu inasemekana hata huko walipo bado wanakuja kufa kikweli kweli?!
Hapo ndio shida...Labda waseme tu kuwa wamewatoa huko porini baada ya kuhamishwa kichawi/kishirikina....Hapo ita make sense...Lakini madai kuwa wamekufa....Hapo kuna shida.
 
Back
Top Bottom