Kwanza futa kabisa kauli yako ndug kuwa gwajima ni mchungaji wa makanisa ya kipentecoster. Si kweli kwani mim mwenyewe ni mpentecoste na wala gwajima sio mchungaji wetu wapentecoste. Mchungaji wetu na kiongoz wetu tunamjua. Hatuwez kuongozwa na gwajima anayetukana matusi hovyo kama mhun wa manzes. Hatuwez kuongozwa na gwajima anayeandikwa kwenye magazt kila siku kwa.tuhuma za usinz na uasherat. Yeye tunavyojua ni mchungaji wa kanisa la kufufua misukule na ndivyo weng wanavyojua. Hivyo kauli yako ya kumwita mchungaji wa wapentecost iishie hapohapo.
Mimi siyo mshirika wa Gwajima ila ninataka tu nikuambie hujui maana ya Pentekoste. Mwulize mxhungaji wako ili usizidi kuonesha ujinga wako hadharanim