Mch. Gwajima amgomea Makonda

Mch. Gwajima amgomea Makonda

Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Haiwezi kufanya hayo kama atafuata nadharia yake ya uongozi ya STK
 
Tafuta mwingine wa kumlinganisha na Gwajima. Kama Gwajima ni jembe, basi Lisu ni Bulldozer!! Gwajima hana utii hata kwa injili anayoihubiri mwenyewe. Biblia inasema tuitii mamlaka iliyopo maana mamlaka halali (kama ya Makonda) hutoka kwa Bwana.

Kuna mamlaka zinazotoka kwa Bwana lakini ya Makondakta haijatoka huko kwa bwana, no no nakataa, hii itakuwa imetoka Diamond Jubilee
 
Lingekuwa mahakamani ndio marufuku kuongelea lakini likiwa mikononi mwa polisi ruksa kuliongelea na kumtaka Gwajima aende.Inaonyesha hujui sheria wewe.Sasa hivi ruksa.Makonda will not shut up.
Nafikiri Makonda pia alipaswa kutumia hekima kidogo tu kuacha polisi wamalize kazi yao - siyo yeye kwa kutumia vyombo vya habari kutaka kuonyesha ukuu wake. Kamati ya usalama ina vyombo vyake vya kufanya kazi ambavyo vinawasilisha ripoti kwenye vikao. Suala la jinai haliwezi kufanywa kwa vikao vya kisiasa...
 
Kuna masharti na mambo ambayo NGO ikiwemo hiyo ya Gwajima inabidi iyafanye au izingatie katika utendaji wake ikikiuka yaweza futiwa usajili mkuu wa wilaya akiita sio wito mdogo.Kuhojiwa na polisi hakuondoi yeye kwenda kwa mkuu wa wilaya.Mkuu wa wilaya ana kazi zake kuhusiana na NGO na polisi wana kazi zao kuhusiana na mambo ya kazi zao.

anayefuta usajili ni wizara ya mambo ya ndani
 
Nafikiri Makonda pia alipaswa kutumia hekima kidogo tu kuacha polisi wamalize kazi yao

Kwenye maswala ya gwajima kuna mambo ya kipolisi na yasiyo ya kipolisi.Ya kipolisi wanaweza sema upelelezi bado unaendele hata kwa mwaka mzima hata miwili.Wakati yale maswala yake yasiyo ya kipolisi yaweza malizwa ndani ya wiki moja.Akaitike kwa ajili ya hayo yasiyo ya kipolisi.Kwenda polisi sio kwamba kumebeba yote anayotakiwa kuyatolea maelezo au ufafanuzi.Polisi wana yao na mkuu wa wilaya ana yake.
 
anayefuta usajili ni wizara ya mambo ya ndani

Anafuta baada ya kupata mapendekezo toka wilayani ujue.Shauri yenu.Nyie komaeni tu kumshauri kuwa asiende kumwona mkuu wa wilaya akiitwa.Wizara ya mambo ya ndani ina ofisi kwa mkuu wa wilaya pia.Mkuu wa wilaya akikuita ni sawa na kuambiwa unaitwa wizara ya mambo ya ndani ila ile iliyoko wilayani.Kugoma kwake atajijua.
 
Nobody is loved or hated by anybody in this country because of religion.Gwajima is hated because of using abusive language!!! You want to twist things and declare Gwajima a saint while he is not.

It does not change the fact that you hate Gwajima. Your posts say it all.
 
Kwenye maswala ya gwajima kuna mambo ya kipolisi na yasiyo ya kipolisi.Ya kipolisi wanaweza sema upelelezi bado unaendele hata kwa mwaka mzima hata miwili.Wakati yale maswala yake yasiyo ya kipolisi yaweza malizwa ndani ya wiki moja.Akaitike kwa ajili ya hayo yasiyo ya kipolisi.Kwenda polisi sio kwamba kumebeba yote anayotakiwa kuyatolea maelezo au ufafanuzi.Polisi wana yao na mkuu wa wilaya ana yake.
Ni yapi yasiyo ya kipolisi wakati wote tuliona na kusikia akimkashifu Askofu Pengo ambayo ndiyo Makonda alisema anamwitia? Tusigeuzi hili kuwa suala la kisiasa. kama yasingekuwa ya kipolisi hasingetumia mgongo wa Kamati ya Usalama!
 
Akaitike ndio mtayajua.Huna haja ya kupiga ramli anaitiwa nini.Hilo la polisi na yeye kugongana ni just coincindence na hutokea.Si unajua hata yaweza tokea ukakutana na baba mzazi na baba mkwe siku moja sehemu moja huwa zinatokea coincidence kama hizo baba kaja na lake na baba mkwe kaja na lake huwezi sema hili limetokea baada ya baba mkwe kuja.
 
Ndugu zangu nilisikia kuwa Paul makonda anamtaka mch.Gwajima aende kwake hii wewe unaionaje? nisahihi?....
 
mi naona ameamua amuute kwa kipi atakacho kiongea kama ni kumwambia kuhusu makemeo makali yaliyo tolewa kwa pengo sasa....nawaza nayeye akimuuliza lugha za matusi anazo zitoa kwa wana siasa wenzie itakuaje... BROO..hapo ikoje?
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuna usemi usemao mjinga () hulia mbwata ndio huyo, maana mana spid ajabu
 
Makonda yeye ni mwenyeki wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kinondoni, pengine ana Ajenda zake lakini kubwa zaidi anajua Gwajima lazima angegoma kwenda Ofisini kwake hivyo iwe rahisi wao kupata sababu ya kumfukuza Wilaya ya Kinondoni, Gwajima uwe makini kwa hili.

Wow..utawala wa sheria utakuwa wapi? I guess hata mahakama zetu zinatakuwa na macho kama yule Kamanda wa Kanda maalum ya nanihii. Na kama mahakama nazo zitakuwa biased, kuna mahakama nyingine ya mwisho ya wananchi ndiyo wataamua aidha kukubali au kutaa kuamuriwa na kada fulani ni wapi wakapate huduma zao za kiroho. Bado tuko kwenye movie reviews na pop-corn bado zimejaa kedekede.
 
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE

duu mkuu wa wilaya akikuita usipoenda ngo inafutwa,hizi laana za kupiga watu wazima
 
Back
Top Bottom