Mch. Gwajima amgomea Makonda

Mch. Gwajima amgomea Makonda

Hiyo ndio shida ya ccm na vibaraka wake. Wanaona viongozi ni miungu watu wanasahau katiba ya nchi. Police wanafanya kazi chini ya Makonda. Kama huyo pimbi anataka maelezo yoyote awaulize wasaidizi wake na sio kutishia wananchi. Akijifanya mjuaji watakutana mahakamani.
 
Mbona kamanfda Kova hana muumini wala mfuasi wake hata mmoja mbona alipomwambia Gwajima aende kuripoti kwake mbona Gwajima alienda mbio tena kwa miguu baada ya kuona foleni ya magari inamchelewesha?
Kwenye mambo ya NGO mkuu wa wilaya ana nguvu kuliko Kamanda KOVA.

Gwajima anachezea moto.Hamjui mikuu wa wilaya ni nani anadhani naye ni mmoja wa hao misukule wake.Shauri yake wale mnaomuunga mkono asiende msije kuja kupiga yowe hapa tena kulalamika

acha mikwala dogo unaongea na watu wazima,a.k.a mtu mzima hatishiwi nyau
 
Makonda yeye ni mwenyeki wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kinondoni, pengine ana Ajenda zake lakini kubwa zaidi anajua Gwajima lazima angegoma kwenda Ofisini kwake hivyo iwe rahisi wao kupata sababu ya kumfukuza Wilaya ya Kinondoni, Gwajima uwe makini kwa hili.

Umempa Gwajima na wapambe wake ushauri mzuri na wa bure kabisa. Kwa sheria za nchi anaweza kufukuzwa kwa kisingizio cha kushababisha uvunjifu wa amani wilaya ya kinondoni , hata kama sio kweli
 
safi sana baba askofu mwenyewe nilikuwa najiuliza huyu mkuu wa wilaya vipi? kama kuwapatanisha si awaite wote? kwa nini asubiri mpaka mzee kova amwite ndipo naye anataka kupatia ujiko hovyo.
 
Binafsi sidhani kama Mch. Gwajima amekurupuka katika kauli yake. Nadhani kuna jambo na ndo maana amegoma kwenda kwa Kamati inayoongozwa na Makonda. Ikumbukwe kuwa Makonda Mwenyewe hana nidhamu kwani kipindi fulani aliwahi kuporomosha mvua ya matusi kwa viongozi wetu lakin hakuna Jeshi la Police wala Kamati ya ulinzi na usalama iliyomwita kumuhoji.
Sheria za nchii zina macho kama ya Kova.
Hivi unatakiwa kwenda kuhojiwa polisi ama kwa mkuu wa wilaya? huyu makonda analewa madaraka ,ila kujifunzia mamlaka aliyonayo kwa mtumishi wa Mungu ni hatari sana kwake hata kama anatumiwa na wataka uraisi.... Mtumishi gwajima maombi yaendelee....
 
Anafuta baada ya kupata mapendekezo toka wilayani ujue.Shauri yenu.Nyie komaeni tu kumshauri kuwa asiende kumwona mkuu wa wilaya akiitwa.Wizara ya mambo ya ndani ina ofisi kwa mkuu wa wilaya pia.Mkuu wa wilaya akikuita ni sawa na kuambiwa unaitwa wizara ya mambo ya ndani ila ile iliyoko wilayani.Kugoma kwake atajijua.

Ukifuta kanisa utakuwa unasababisha hisia za kidini ambayo haitaketa afya ndani ya taifa yetu. Kuna walewaliojidai kusimamisha makongamano ya kidini wakijificha kwa kivuli cha usalama. Leo hii wako wapi? Maombi ya mnyororo yamewadondosha kama operation tokomeza walioiasisi. Na ile huwa inaangamiza mpaka kizazi cha nne. Namshauri Makonda haya ayapuuze ataonekana mwenye hekima na busara nyingi.
 
Nobody is loved or hated by anybody in this country because of religion.Gwajima is hated because of using abusive language!!! You want to twist things and declare Gwajima a saint while he is not.


One thing that I have to realise about my fellow citezen, we have a very strong affinity towards discussing people lives
 
Ukifuta kanisa utakuwa unasababisha hisia za kidini ambayo haitaketa afya ndani ya taifa yetu.

Hata kutukana Pengo kunaleta hisia za kidini kuwa Gwajima alimtukana kwa kuwa Pengo ni mkatoliki sio mpentekoste na hakuleti afya katika taifa.

Kukomesha vitu kama hivi kinachotakiwa mara ingine ni kufutilia mbali vidini ambavyo havileti afya kwa taifa.Hakuna ubaya .Ni heri kadini kamoja kakorofi kafutwe kuliko taifa liangamie kwa kukosa amani.
 
Akihamia hiyo wilaya ingine Makonda hatakuwa na uwezo juu yake LAKINI AKIWA NDANI YA WILAYA YAKE YUKO CHINI YAKE

Kesi ya kukashifu ni kesi ya madai na DC has nothing to do with it

Hakuna sehemu kwenye mwongozo wa DC inayompa mandate kuingulia kesi yyt ile inayokusudiwa kufunguliwa!Gwajima anapaswa kuhojiwa na polisi

Utendaji wa hovyo hovyo wa hawa ma DC vijana ndiyo unaonifanya niamini afadhali wazee waendelee kutuongoza

Unakumbuka kijana DC Gambo na utawala wake wa hovyo hovyo kuitwa kila siku Baraza la Maadili?
 
Yoote hii ni michezo ya kisiasa ukifanya tafakuri ya kina. sema wengi wetu bado tunabung'aabung'aa.
 
Kesi ya kukashifu ni kesi ya madai na DC has nothing to do with it

Hebu fikiria GWAJIMA angetukana sheikh mahema yake pale kawe yangeshapigwa moto na waumini wake kupigwa nondo na angekuwa wa kwanza kukimbilia kwa makonda kuomba msaada wa ulinzi.Sasa hivi tungekuwa tunaongelea marehemu Gwajima.Sheikh wala asingeebda polisi wala mahakamani.Maneno yake yanaletea uvunjifu wa amani na kukosesha utengamano wa kidini kinondoni.

Shukuruni wakatoliki wakimya na wako kwenye mfungo lakini ngoja wafungue
 
Hebu fikiria GWAJIMA angetukana sheikh mahema yake pale kawe yangeshapigwa moto na waumini wake kupigwa nondo na angekuwa wa kwanza kukimbilia kwa makonda kuomba msaada wa ulinzi.Sasa hii tungekuwa tunaongelea marehemu Gwajima.Sheikh wala asingeebda polisi wala mahakamani.Maneno yake yanaletea uvunjifu wa amani na kukosesha utengamano wa kidini kinondoni.

Shukuruni wakatoliki wakimya na wako kwenye mfungo lakini ngoja wafungue

Kauli ikiyorudiwa juzi na Askofu Tarcisius Ngalelekumtwa wa Iringa Kuwa wakristo tupige kura ya NO katiba hii ndiyo kauli ya wakristo

Kauli ya Kadinali Pengo ni yake pekee yake na ipuuzwe na sioni kama kuna mkatoliki nikiwepo mm atakayekuwa nyuma ya Pengo aliyegeuka kibaraka wa CCM

Kadinali Pengo apuuzwe
 
Makonda anachrza na moto wa waumini wa kanisa la ufufuo. Ajaribu kulifuta hilo kanisa aone moto wake. Kwanza mamlaka hata ya kufuta ngo dc hana. Soma sheria husika sawasawa
 
Back
Top Bottom