Mch. Gwajima amgomea Makonda

Mch. Gwajima amgomea Makonda

Hivi kunakuwaga na maombi ya kisasi?!makonda huyu afundishwe misingi ya uongozi(rule of law) yeye sio polisi wala mahakama

Makonda yeye ni mwenyeki wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Kinondoni, pengine ana Ajenda zake lakini kubwa zaidi anajua Gwajima lazima angegoma kwenda Ofisini kwake hivyo iwe rahisi wao kupata sababu ya kumfukuza Wilaya ya Kinondoni, Gwajima uwe makini kwa hili.
 
Mimi binafsi namuona Paul Makonda kama mtu
aliyejiona kafika! Pia ulevi wa madaraka umeshamvaa! Anaanzaje kumpa amri Gwajima mtumishi wa Mungu mwenye wafuasi maelfu kwa maelfu aripoti kwake? watu wengine wawe wanajifunza kutumia akili! Jeshi la polisi limeshafanya kazi yake tayari! Huu ni ulevi tu wa madaraka na ujuha!

Stupid DC!

Mimi mwenyewe naishi Kinondoni!
 
Last edited by a moderator:
Kuna masharti na mambo ambayo NGO ikiwemo hiyo ya Gwajima inabidi iyafanye au izingatie katika utendaji wake ikikiuka yaweza futiwa usajili mkuu wa wilaya akiita sio wito mdogo.Kuhojiwa na polisi hakuondoi yeye kwenda kwa mkuu wa wilaya.Mkuu wa wilaya ana kazi zake kuhusiana na NGO na polisi wana kazi zao kuhusiana na mambo ya kazi zao.
Gwajima kategwa na Makonda asipokuwa makini kanisa lake pale kawe litafurumushwa kwa kasi ya Ajabu.
 
Hivi kunakuwaga na maombi ya kisasi?!makonda huyu afundishwe misingi ya uongozi(rule of law) yeye sio polisi wala mahakama
Sina uhakika kama wakristo wana maombi ya kisasi ninachojua waislamu wanaweza kukusomea albadri.
 
Akienda atapigwa kama alivyompiga warioba harafu atapewa ukuu wa mkoa
 
Mimi binafsi namuona Paul Makonda kama mtu
aliyejiona kafika! Pia ulevi wa madaraka umeshamvaa! Anaanzaje kumpa amri Gwajima mtumishi wa Mungu mwenye wafuasi maelfu kwa maelfu aripoti kwako watu wengine wawe wanajifunza kutumia akili!

Stupid DC!

Mimi mwenyewe naishi Kinondoni!

Tambua kuwa makonda anasaka Sababu ya kumfukuza Gwajima pale Kawe, sasa alitoa Amri ya kuripoti akiamini kuwa Gwajima lazima ataipuuza hivyo wao kupata Sababu ya kwenda kumtoa nduki.
 
Last edited by a moderator:
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE

Kwa hiyo unahalalisha uonevu kwa kigezo cha Mamlaka.? Siku zenu zinahesabika,ngoja ifike October.
 
Anaanzaje kumpa amri Gwajima mtumishi wa Mungu mwenye wafuasi maelfu kwa maelfu aripoti kwako watu wengine wawe wanajifunza kutumia akili!
Stupid DC!

Mbona kamanfda Kova hana muumini wala mfuasi wake hata mmoja mbona alipomwambia Gwajima aende kuripoti kwake mbona Gwajima alienda mbio tena kwa miguu baada ya kuona foleni ya magari inamchelewesha?
Kwenye mambo ya NGO mkuu wa wilaya ana nguvu kuliko Kamanda KOVA.

Gwajima anachezea moto.Hamjui mikuu wa wilaya ni nani anadhani naye ni mmoja wa hao misukule wake.Shauri yake wale mnaomuunga mkono asiende msije kuja kupiga yowe hapa tena kulalamika
 
Makonda alimwita Gwajima maksudi akijua kuwa Lazima Gwajima atakaidi Amri ili yeye apate Sababu ya kumtoa nduki kule kawe, Gwajima uwe makini na hilo.
 
Tambua kuwa makonda anasaka Sababu ya kumfukuza Gwajima pale Kawe, sasa alitoa Amri ya kuripoti akiamini kuwa Gwajima lazima ataipuuza hivyo wao kupata Sababu ya kwenda kumtoa nduki.

Hili kutokea kwa Makonda wala sitashangaa! Ana akili za hovyo sana! Kumvamia Warioba lazima alikuwa kavuta bange!
 
Tambua kuwa makonda anasaka Sababu ya kumfukuza Gwajima pale Kawe, sasa alitoa Amri ya kuripoti akiamini kuwa Gwajima lazima ataipuuza hivyo wao kupata Sababu ya kwenda kumtoa nduki.

sema kwasababu hivi vyeo vya ukuu wa wilaya ni vyakupewa na si lazima watazame uwezo. hebu jiulize hata wewe akikuita makonda utaenda kwasababu kula lamaana unalotegemea? au utaenda tu basi ufanyeje ni mkuu wa wilaya WAKUTEULIWA?
 
Mbona kamanfda Kova hana muumini wala mfuasi wake hata mmoja mbona alipomwambia Gwajima aende kuripoti kwake mbona Gwajima alienda mbio tena kwa miguu baada ya kuona foleni ya magari inamchelewesha?
Kwenye mambo ya NGO mkuu wa wilaya ana nguvu kuliko Kamanda KOVA.

Gwajima anachezea moto.Hamjui mikuu wa wilaya ni nani anadhani naye ni mmoja wa hao misukule wake.Shauri yake wale mnaomuunga mkono asiende msije kuja kupiga yowe hapa tena kulalamika
Makonda kamtega Gwajima na sasa Gwajima kaingia kwenye mtego kirahisi tena wafuasi wake badala ya kushauri vizuri wanamchochea azidi kujiharibia zaidi.
 
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE

hiyo sheria ilishafanyiwa marekebisho ya mamlaka hayo kuoneolewa kwa kuogopa abuse of power ,haiko hivyo ,unabidi uzame uisome vizuri.mkuu wa wilaya hana hayo mamlaka usimoe kichwa cha kuingikia mamlaka nyingine.
hata kama ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama hana mamlaka ya kumoeleka mtu mahakamani isipokuwa mwendesha mashitaka wa serikali
 
Mbona kamanfda Kova hana muumini wala mfuasi wake hata mmoja mbona alipomwambia Gwajima aende kuripoti kwake mbona Gwajima alienda mbio tena kwa miguu baada ya kuona foleni ya magari inamchelewesha?
Kwenye mambo ya NGO mkuu wa wilaya ana nguvu kuliko Kamanda KOVA.

Gwajima anachezea moto.Hamjui mikuu wa wilaya ni nani anadhani naye ni mmoja wa hao misukule wake.Shauri yake wale mnaomuunga mkono asiende msije kuja kupiga yowe hapa tena kulalamika
Kova sawa! Lile ni jeshi la polisi ambalo linafanya kazi chini ya sheria inayoliongoza! Huyu D.C. ana mamlaka gani ya kufanya hivyo? Huo ni ulevi wa madaraka na kutokutumia akili!
 
Mchungaji na muhuni mpiga wazee wakubwa wapi na wapi ?
 
Kama serikali ina uwezo wa kutoa adhabu si zaidi kwa Mungu...?

Hivi kunakuwaga na maombi ya kisasi?!makonda huyu afundishwe misingi ya uongozi(rule of law) yeye sio polisi wala mahakama
 
sema kwasababu hivi vyeo vya ukuu wa wilaya ni vyakupewa na si lazima watazame uwezo. hebu jiulize hata wewe akikuita makonda utaenda kwasababu kula lamaana unalotegemea? au utaenda tu basi ufanyeje ni mkuu wa wilaya WAKUTEULIWA?

Gwajima awe makini kwa hilo kwani kinachotafutwa hapo ni Sababu ya kumfukuza kule kawe tu.
 
Back
Top Bottom