nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,692
- 14,079
Labda amuulize Joseph Sinde.hamjui Paul Makonda.
Labda amuulize Joseph Sinde.hamjui Paul Makonda.
Binafsi sidhani kama Mch. Gwajima amekurupuka katika kauli yake. Nadhani kuna jambo na ndo maana amegoma kwenda kwa Kamati inayoongozwa na Makonda. Ikumbukwe kuwa Makonda Mwenyewe hana nidhamu kwani kipindi fulani aliwahi kuporomosha mvua ya matusi kwa viongozi wetu lakin hakuna Jeshi la Police wala Kamati ya ulinzi na usalama iliyomwita kumuhoji.
Sheria za nchii zina macho kama ya Kova.
Akihamia hiyo wilaya ingine Makonda hatakuwa na uwezo juu yake LAKINI AKIWA NDANI YA WILAYA YAKE YUKO CHINI YAKE
Makonda aache unafiki tena unafiki hasa mlokole wa enzi zile mbona ye mwenyewe akiwaga na shida anaendaga kusali kwa Gwajima?
Unajua hii ni aibu sana.....RAIA MWEMA limeandika kuwa hero wako anadai kufufua wafu,lakini halijawahi kumuona hata mtu mmoja aliyefufuliwa. Pitia web site yake-www.ufufuonauzima.blogspot,halafu uje hapa tena.
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Naona unapenda ligi Gwajima ameshasema haendi na barua hajibu kama unauwezo kamkumbushe Makonda atumie madaraka yake.Sheria haingalii mtu wala watu mwambie akimaliza hapo Osterbay aende kuitika wito kwa mkuu wa wilaya mheshimiwa Makonda ofisini kwake kule magomeni
Mbona Sinema Hii Ni Rahisi Sana Kuing'amua! ( Bernard membe = Paul Makonda Na Edward Lowassa = Gwajima ) Mwisho Wa Sinema Yangu.
We unafkri anajifutia tu kisa kaamua!!!... Lazima awe ana sababu za msingi na afuate utaratibu
Kaka umenena ndio ukweli huo bt rais wetu ni Lowassa mwsho wa sinema part two
Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.
Chanzo: Kutoka magazetini.
Si kila wanaofurika kwa Gwajima huenda kusali na si waumini na viongozi wote kanisa la Gwajima ni misukule ya Gwajima kuna maaskari,mashushu na watu wa kila aina wa serikali ambako wako pale kama kituo chao cha kazi kama ambavyo wengine hupangiwa kituo cha Kazi OSYERBAY POLICE N.K
Kwani hujasoma Biblia si inasema si kila anayesema Bwana,Bwana ni mkristo.Si kila aliye kanisa la ufufuo ni mtu wa kanisa la Ufufuo.Ukilitibua ndio utajua.Unadhani Gwajima alizimia polisi bure usijekuta alikuta mzee wake wa Kanisa ndie mtu anayemhoji!!!!!! na kummwagia siri zake zote.
Amani ya nchi iliyopo kuisimamia iendelee kuwepo si lelemama
Dogo anavimbisha kweli. Anaendesha mambo ki Uvi Vi VU!Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.
Chanzo: Kutoka magazetini.