bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,884
hiyo ndo faida ya uzinzi, sasa mbinguni atafikaje?
sheria za Mungu zipo kutulinda sisi lakini ndo hivo tena ibilisi nae anatuzidi nguvu at times!!! tutamuombea misa za wafu
hiyo ndo faida ya uzinzi, sasa mbinguni atafikaje?
Date::1/5/2010 Mume afa akiwa na mke wa mtu Kilimanjaro
Daniel Mjema,Moshi
MSHEREHESHAJI maarufu katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, Willy Lema alifariki akiwa anafanya mapenzi na mwanamke ambaye ni mke wa mkazi mmoja wa Nzega mkoani Tabora, Mwananchi imebaini.
Lema, ambaye alifariki akiwa kwenye chumba cha Hoteli ya Newcastle mjini Moshi, ana mke mwenye watoto na familia yao inaishi jijini Arusha.
Uchunguzi wa Mwananchi wa tukio hilo ambalo limekuwa gumzo katika miji hii miwili, umebaini kuwa mwanamke huyo anashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya tukio hilo.
eeh mami jamani upo? ni nini hivyo kuadimika...i hope u mzima wa afya.
Kumbe you know them? LOL! Leo tena mbanie access kuwatakia marehemu wa resti in piis!
mama hii kitu kwa thiori tu ningumu!unless YOU APPROVE PRACTIKO!......😀
am waiting
familia ya huo ukoo mmoja unakaa arusha, mwanae nimesoma nae, watajiita watoto wa baba mdogo/mkubwa....huyo frnd wangu ndio alinical kunieleza na wakati ho wewe ulishasema huo lakini ckujua kama ndio huo...bad luck ckufanikiwa kuja kwenye mazishi lakini nilikuja kumpa frnd pole baada ya mazishi, sema niliongozana na mr sasa ningekutafuta icngenoga, mana nilitaka tukakeshe malindi...ucje niambia ulitoka moshi bila kula nyama choma hapo.....hapo kwenye red huo ni uharibifu wa ndoa ya mwenzio sasa...lol
Amekufa akizini
familia ya huo ukoo mmoja unakaa arusha, nimesoma na mwanae ambae ni frnd wangu watajiita watoto wa baba mdogo/mkubwa....huyo frnd wangu ndio alinical kunieleza na wakati ho wewe ulishasema huo lakini ckujua kama ndio huo...bad luck ckufanikiwa kuja kwenye mazishi lakini nilikuja kumpa frnd pole baada ya mazishi, sema niliongozana na mr sasa ningekutafuta icngenoga, mana nilitaka tukakeshe malindi...ucje niambia ulitoka moshi bila kula nyama choma hapo.....hapo kwenye red huo ni uharibifu wa ndoa ya mwenzio sasa...lol
Nimetoka msibani muda mfupi hali ni ya simanzi sana kila muombolezaji anasema lake,ndugu wa karibu wako katika hali ya mtafaruku/taharuki kwani kuna taarifa kutoka kijijini kwamba MC Lema hatazikwa na kanisa [KKKT].
Wanajamvi tulioko Arusha naomba tushiriki kwa hali na mali kuifariji familia ya MC Lema wakati huu mgumu badala ya kukejeli.MC Lema ameshatangulia mbele ya haki mwenyezi mungu mwenye wingi wa rehma anajua alichomwandalia sisi siku yetu nayo itakuja hatujui tutakavyoondoka tumwombe mungu atujalie tuondoke vizuri.
sasa ile kwa thiori pekee ni ngu sana mpwa wangu!jamani jamani!!!!!!!!!
we Goeff hebu anza na theory kwanza niifahamu then nikafanye practiko na muhusika mwenyewe!!! (bt naogopa kumuua my love wangu)
shukrani mkuu!Nimetoka msibani muda mfupi hali ni ya simanzi sana kila muombolezaji anasema lake,ndugu wa karibu wako katika hali ya mtafaruku/taharuki kwani kuna taarifa kutoka kijijini kwamba MC Lema hatazikwa na kanisa [KKKT].
Wanajamvi tulioko Arusha naomba tushiriki kwa hali na mali kuifariji familia ya MC Lema wakati huu mgumu badala ya kukejeli.MC Lema ameshatangulia mbele ya haki mwenyezi mungu mwenye wingi wa rehma anajua alichomwandalia sisi siku yetu nayo itakuja hatujui tutakavyoondoka tumwombe mungu atujalie tuondoke vizuri.
shukrani mkuu!
TUPO PAMOJA
alichokifanya mc lema mimi sioni kama ni kosa KWA DUME LENYE UHAKIKA!
mimi nalia na huyo mke wa mtu.kwanin amemsababishia jamaa wa watu MAUTI?
shukrani mkuu!
TUPO PAMOJA
alichokifanya mc lema mimi sioni kama ni kosa KWA DUME LENYE UHAKIKA!
mimi nalia na huyo mke wa mtu.kwanin amemsababishia jamaa wa watu MAUTI?
Tena mauti yenyewe at ze begining of nyuu yaa, hapa tunajifunza kuwa wanawake ni masailensi killershukrani mkuu!
TUPO PAMOJA
alichokifanya mc lema mimi sioni kama ni kosa KWA DUME LENYE UHAKIKA!
mimi nalia na huyo mke wa mtu.kwanin amemsababishia jamaa wa watu MAUTI?
Nimetoka msibani muda mfupi hali ni ya simanzi sana kila muombolezaji anasema lake,ndugu wa karibu wako katika hali ya mtafaruku/taharuki kwani kuna taarifa kutoka kijijini kwamba MC Lema hatazikwa na kanisa [KKKT].
Wanajamvi tulioko Arusha naomba tushiriki kwa hali na mali kuifariji familia ya MC Lema wakati huu mgumu badala ya kukejeli.MC Lema ameshatangulia mbele ya haki mwenyezi mungu mwenye wingi wa rehma anajua alichomwandalia sisi siku yetu nayo itakuja hatujui tutakavyoondoka tumwombe mungu atujalie tuondoke vizuri.
Tuko pamoja. Mwenye makosa hapo ni huyo mama! Mke wa mtu hana ruhusa ya kudumisha Mila! Rest In Peace MC. Tutakutana huko mbinguni!