MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

MC afariki akifanya mapenzi na mke wa mtu

Parapanda italia parapandaaa*4
MC Lemaa atakuwa amekwisha nyakuliwa (Kweeenda)
Kumlaki Bwana Yesu Mawinguniiii!
HAHAHAHAHAHAHAHAHHAHA!

niagieni niagieni niagieni niagieni *3

niagieni niagieni niagieni niagieni *3

niagieni niagieni niagieni niagieni *3

NAKWENDA MBINGUNI KWA BABAAAAAAAAAA
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHHAHA!

niagieni niagieni niagieni niagieni *3

niagieni niagieni niagieni niagieni *3

niagieni niagieni niagieni niagieni *3

NAKWENDA MBINGUNI KWA BABAAAAAAAAAA

Tuonaneee paradisooo*3
Kwenye Mji wa Raha
Na Lema tutamwona*3
Kwenye mji wa Raha
 
wakuu kuna mada huku inahusika kinoma, inatakiwa niifuatilie kwa makini, Geoff nitainua mkonga baadae kukutresi uko wapi.
mchana mwema wapwazzzzzzzz!
 

Nyamayao nitakuwa nakufahamu nini ?.Nadhani unamzungumzia mtoto wa Mzee kileo mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha kanisa liligoma kumzika kwasababu aliuwawa kwenye tukio la ujambazi.


Unajua KKKT kanda ya kaskazini wanamisimamo ya kilokole hata kinywaji [mbege] kinywaji cha kimila cha wachagga hawatakikiwepo kwenye misiba siwezi kushangaa wakimtenga MC Lema.


exactly love, ndio huyo huyo "babu"...mcba ulinickitisha balaa huu! labda tunafahamiana kaka.
 
Tuonaneee paradisooo*3
Kwenye Mji wa Raha
Na Lema tutamwona*3
Kwenye mji wa Raha
hahahahahahah!
WE MISS YOU BROTHER-MDUMISHA MILA!..huna kosa kabisa mzee


NINATAAKAA KUINGIIA MJIIINI KWAA MUUUNGUUU
NITAASHIINDA NIKIKAAZA MWEENDOO NIFIIKE
NIIIKIIICHOOOKA NJIIAAANIIIII
NIIKIPAAATWA NAA SHIIDAA
NIOKOOE YESUU NIFIKIISHE
MBIINGUU NIZIONEEEE
 
nyie wazee hapo juu hebuni huko na nyimbo zenu, unajua zinachomaga sana hizo.
 
hahahahahahah!
WE MISS YOU BROTHER-MDUMISHA MILA!..huna kosa kabisa mzee


NINATAAKAA KUINGIIA MJIIINI KWAA MUUUNGUUU
NITAASHIINDA NIKIKAAZA MWEENDOO NIFIIKE
NIIIKIIICHOOOKA NJIIAAANIIIII
NIIKIPAAATWA NAA SHIIDAA
NIOKOOE YESUU NIFIKIISHE
MBIINGUU NIZIONEEEE

MBINGUUUNiii KUNA MAKAO MAZURI SANA
MBINGUNI JAMA
KUNA MAKAO MAZURI SANAAAA

R.I.P MDUMISHA MILA
Ngoja nikapate valeur kwa heshima ya kamanda!
 
nilituma pm kwako lakini naona akawa anazijibu invizibo, ndo nikajua kumbe hata jf kuna c/o aka impitie fulani.

beki to ze topik : tuhuzurieni mazikoni kwa wingi!

he invisible tena du ...sasa nipo mlio karibu na familia ya marehemu jitahidini mwende mkawape suport na kuifariji familia
 
MBINGUUUNiii KUNA MAKAO MAZURI SANA
MBINGUNI JAMA
KUNA MAKAO MAZURI SANAAAA

R.I.P MDUMISHA MILA
Ngoja nikapate valeur kwa heshima ya kamanda!
HALELUYAAA TUTAONANANAAAA

HALELUYAAA TUTAONANANAAAA

TUNAONANA MBINGUNI KWA BAABAAAA

HALELUYAAA TUTAONANANAAAA

NAE LEMA TUTAMUONAAAAAAAA

NAE LEMA TUTAMUONAAAAAAAA

TUTAMUONA MBINGUNI KWA BAABAAA

NAE LEMA TUTAMUONAAAAAAAA


pumzika kamanda!....HUNA KOSA KABISA WEWE!MWANAMKE AMEKUONEA BURE.KWANINI AMEKUKATIKIA HADI UKAPOTEZA NETWEKI?...lol
tupo pamoja mzee

najipindua chawote onetime
 
HALELUYAAA TUTAONANANAAAA

HALELUYAAA TUTAONANANAAAA

TUNAONANA MBINGUNI KWA BAABAAAA

HALELUYAAA TUTAONANANAAAA

NAE LEMA TUTAMUONAAAAAAAA

NAE LEMA TUTAMUONAAAAAAAA

TUTAMUONA MBINGUNI KWA BAABAAA

NAE LEMA TUTAMUONAAAAAAAA


pumzika kamanda!....HUNA KOSA KABISA WEWE!MWANAMKE AMEKUONEA BURE.KWANINI AMEKUKATIKIA HADI UKAPOTEZA NETWEKI?...lol
tupo pamoja mzee

najipindua chawote onetime

Sure. Ngoja nami niwahi Zero pub nikapunguze mawazo!
 
zinalizaga hizi nyimbo hata kama huna uhusiano na marehemu wallah!!!


wacha wacha usiombee, ukute ni wale dizaini wanakwaya wanaimba kwa hisia..looo utajihic kuchanganyikiwa, niliendaga kwenye mcba 1 walikuwa wanaimba wanakwaya hayo mapambio, nilikoma ubishi, machozi yalikuwa yanitiririka kama bomba la maji lililolkatika koki....jamani wacheni kabisa.
 
Back
Top Bottom