Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Mwanamke wa kiafrika aliyeolewa haruhusiwi kudumisha Mila!me nachukia ...kwanini mwanamke? wote wana makosa, 2sihukumu hapa wacha marehemu apumzike.
Mwanamke wa kiafrika aliyeolewa haruhusiwi kudumisha Mila!me nachukia ...kwanini mwanamke? wote wana makosa, 2sihukumu hapa wacha marehemu apumzike.
uwiii i knew it, mana huko machame wana mcmamo yao ki kweli kweli/migumu......inanikumbusha mcba mmoja nilienda huko nao aligomewa kuzikwa na church kisa alifariki kwenye ujambazi....eeh kweli majonzi!....
Tena mauti yenyewe at ze begining of nyuu yaa, hapa tunajifunza kuwa wanawake ni masailensi killer
me nachukia ...kwanini mwanamke? wote wana makosa, 2sihukumu hapa wacha marehemu apumzike.
achana na Xpin he i stryn our peshensi tu anaelewa sana!!!
festiledi umeadimika kama maringi ya meli? how aa yuu. natafta mtu wa kusmamia garama za uchapishaji ,hii kesi nitaitungia kitabu fo fyucha referens.mmmmh! we klorokwini!
We bht una jeuri ya kudumisha mila ukishaolewa?
HEEEE tena kama ni pale Mudio yule mchungaji anamikwara kumzidi askofu mwenye jimbo lol!!!!
lakini Nyamayao kwa utaratinu na sheria za kanisa huyu mtu hatazikwa kwa heshima hiyo!!! anaenda 'kutupwa' wenyewe wanasemaga....
PUMZIKA MC-LEMA!
WE ARE MISSING YOU BROTHER
TUNAKULILIA SANA SISI VIJANA WAKO WAZEE WA MILA!
huyo mwanamke hukumu inamkabili!vijana wenzangu wazee wa mila tuwe makini na hawa wanawake.mkakati-mbinu waliokuja nao ''unanipa presha''!
PUMZIKA KWA AMANI MC-LEMA
see you there!
HUNA MAKOSA KABISA
....😀😀AMEN! Haleluya!
Tangulia kamanda! Tutaziba pengo lako! Ratio inaongezeka toka 1:5 mpaka 1:6 kuziba pengo la kamanda!
MILA na IDUMU!
uwiii i knew it, mana huko machame wana mcmamo yao ki kweli kweli/migumu......inanikumbusha mcba mmoja nilienda huko nao aligomewa kuzikwa na church kisa alifariki kwenye ujambazi....eeh kweli majonzi!....
unajua bht inackitisha sana, m2 na ndoa yake takatifu ya kanisani leo unakuja kuzikwa kimya kimya tunasemaga "unatupwa kama mbwa"...kweli kweli inaumiza sana tena sana....kifo kickilizie kwa mwenzio.
....😀😀
raha ya milele apewe MC-LEMAAAAA-NAMWANGA WA MILELE UMUANGAZIE
APUMZIKE KWA AMANI-AMINA
x-pin tunaomba pambio tafadhali........
....😀😀
raha ya milele apewe MC-LEMAAAAA-NAMWANGA WA MILELE UMUANGAZIE
APUMZIKE KWA AMANI-AMINA
x-pin tunaomba pambio tafadhali........
ahsante sana kamanda WIMBO MZURI NA KWAKWELI UMEKULA SENKSIMC LEMAAA mapenzi sisi tunayoooooo
Yakulala sisi na wewe kaburini
Lakini kaburi lako dogo sana sanduku lako dogo saaaana,
Kamanda latoshaaa..... Latosha peke yakoooooo!
hahahaha nipo hujanitafuta ..ila hii ndo mitihani ya maisha mie nimekosa hata la kuongea kwenye hii Topicfestiledi umeadimika kama maringi ya meli? how aa yuu. natafta mtu wa kusmamia garama za uchapishaji ,hii kesi nitaitungia kitabu fo fyucha referens.
makongo-seminary schoolnyie sijui mmesoma seminari gani aaaaaaaaah!!!!
ahsante sana kamanda WIMBO MZURI NA KWAKWELI UMEKULA SENKSI
naomba nianzishe pambio:
TUMPELEKE TUMPELEKEEE *3
TUMPELEKE TUMPELEKEEE *3
TUMPELEKE TUMPELEKEEE *3
KWNYE NYUMBA YA MILELEEEE
nilituma pm kwako lakini naona akawa anazijibu invizibo, ndo nikajua kumbe hata jf kuna c/o aka impitie fulani.hahahaha nipo hujanitafuta ..ila hii ndo mitihani ya maisha mie nimekosa hata la kuongea kwenye hii Topic