FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Zegere huyo anayeuliza swali amri za mungu..je kama marehemu kabla ya kifo chake alikumbuka kuomba Toba hasamehewi??swali gani unauliza wewe? apate wapi muda wa kutubu na unaambiwa kazimikia kiuoni? ebo?
na ndo maana hatuijui siri ya kifo