Tatizo shule za jumuiya ya wazaziHufahamu lolote l.o.f.a we!Eti u-profesa wa kusomewa!Jamani,eti na huyu ni mwana-mageuzi!Mtasubiri sana enyi mliopo mamvi ya wakosaji!

Tatizo shule za jumuiya ya wazaziHufahamu lolote l.o.f.a we!Eti u-profesa wa kusomewa!Jamani,eti na huyu ni mwana-mageuzi!Mtasubiri sana enyi mliopo mamvi ya wakosaji!

Mkuu Uprofesa hausomewi mkuuLe rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefesa, nimeghairi kwanza
Kipindupindu kina uhusiano mkubwa sana na ujinga na umasikini .Unamaanisha nn kipndupindu.?
Bora umeghairi kwani ungepata tabu kupata chuo cha kozi ya u profesa, vyuo vya kufundisha uprofesa havipo labda serikali hii ivinzishe mwakani.Le rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefesa, nimeghairi kwanza
Prof huyu anatia aibu sana ma prof wenzie
simpendi
Sio kweli, ina Doctorate husomei ni cheo au?Uprofessor ni cheo cha kitaaluma hakuna dehemu wanayosomea uprofesor
Mmh! Wallah wee kiboko!unasomeshewa wapi?Le rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefesa, nimeghairi kwanza
Hicho ulichokisoma kinasemaje?ndo umeandika nini sasa .
..Na kabrifikesi HAKUPOKEWA? Kana NINI? Mbona yuko nakobeneti?Huyu ndiye raia pekee wa Tanzania aliyefunguliwa milango ya ikulu ili kutoa pongezi , njaa inadhalilisha sana , angalia viatu vilivyojaa vumbi ! Alienda kwa miguu ?
Kwamba taarifa za shari mahakamani siyo taarifa kwako. Hivi hujui mtu maarufu kila anachofanya ni habari regardless ni kwa ajili ya magezeti ya udaku au la. Na elewa magazeti ya udaku ni ajira kwa watu na utajiri piaMleta Thread hakika umedhihirisha wewe ni stomach thinkers and seekers a.k.a member wa divisheni zero au PhD hewa lepropesa maana hakuna mantiki au dhumuni la taarifa.
Mimi sikuona gari zingine zenye mabango zaidi ya zile zilizokuwa na mabango ya Lipumba. Sasa kama zilikuwepo za upande shindani na hazina mabango yoyote basi kwangu mimi ingekuwa vigumu kujua.Mm nilikuwepo na nilienda kwa nauli yangu.Lakini mbona hukuandika costa mbili zilizowabeba watu wa bibi yule na mabaunsa kutoka chadema.Na walizuiwa kutoka mpaka wamesaidiwa na polisi.Picha zipo fb.
Shilingi ina pande mbili
Asiyemjua labda mtoto aliyezaliwa Jana. Unstable professional person.wengi hamumpendi Lipumba kwa sababu ya chuki zenu binafsi. kati ya ninyi na profesa nani anakijua chama?
wakati mwingine tukae kimya tu kama vitu hatuvijui.