Mbwembwe za Prof. Lipumba mahakamani

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof.

Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.

Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.
 
Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof. Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.

Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.


Nilienda kumsalimia tu jamani....

IMG_1481029921.221754.jpg
 
Propesa ni mbwe mbwe tu, mahakama ipo imara. Mimi ninaiamini itasimamia haki na huko ndio pahala pazuri kwa matatizo ya Lipumba. Msiwe na wasiwasi Propesa ndio mwisho wake huko.
 
wengi hamumpendi Lipumba kwa sababu ya chuki zenu binafsi. kati ya ninyi na profesa nani anakijua chama?

wakati mwingine tukae kimya tu kama vitu hatuvijui.
 
Kwenye mgogoro wa zitto na chadema zipo taarifa kwamba zitto alikuwa analetwa mahakamani na walinzi wa Riziwani , lakini mwisho wa siku aliangukia pua .

Siku ukisikia Lipumba kapigwa chini na mahakama ndio mwisho wa hao wapambe ambao gharama yao ni Azam cola mojamoja , wengi wanatokea Temeke mikoroshini na Buguruni kwa Mnyamani , hayo ndio maeneo ya mwanzo kabisa kupata kipindu pindu kila mlipuko unapotokea Dsm .
 
Hizo Mbwembwe kwa Prof ni kawaida yake sana, Mwaka 2000 wakat wa Kampeni nikiwa hi kushuhudia Mtwara gari ya RPC ikipalazwa kwa Mapanga na Mashabiki wake eti akae Pembeni Msafara wa 'Rais' unaelekea Tandahimba .

Miongoni mwa Mambo yanayonichekeshaga shaga sana kwa Prof ni hizo Mbwembwe za Mapanga shaa na Misemo ya Lipumba Mwenyewe
 
Back
Top Bottom