ha ha ha ... loooh.., hili sasa balaa; ulitaka usomee uprofessor?!!!..., sijui kama unajua ulichokiandikaLe rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefesa, nimeghairi kwanza
ha ha ha ... loooh.., hili sasa balaa; ulitaka usomee uprofessor?!!!..., sijui kama unajua ulichokiandikaLe rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefesa, nimeghairi kwanza
Maneno ya mkosaji!Huyu ndiye raia pekee wa Tanzania aliyefunguliwa milango ya ikulu ili kutoa pongezi , njaa inadhalilisha sana , angalia viatu vilivyojaa vumbi ! Alienda kwa miguu ?
Hufahamu lolote l.o.f.a we!Eti u-profesa wa kusomewa!Jamani,eti na huyu ni mwana-mageuzi!Mtasubiri sana enyi mliopo mamvi ya wakosaji!Le rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefesa, nimeghairi kwanza
Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof. Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.
Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.
chadema hamtafanikiwa mbinu zenuNilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof. Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.
Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.
Unayaona ya lipumba Red brigade anawalipa nanj na makoti yao ya mtumba?Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof. Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.
Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.
Hatuna imani nazo siku hiziPropesa ni mbwe mbwe tu, mahakama ipo imara. Mimi ninaiamini itasimamia haki na huko ndio pahala pazuri kwa matatizo ya Lipumba. Msiwe na wasiwasi Propesa ndio mwisho wake huko.
Uprofessor ni cheo cha kitaaluma hakuna dehemu wanayosomea uprofesorLe rpofesari ameshusha sana hadhi ya uprofesa, mwenyewe nilitaka ni somee uporefor, nimeghairi kwanza
Sijakuelewa mkuu, kwamba kuna mtu analipia mbwembwe za Lipumba mahakamani!?Unayaona ya lipumba Red brigade anawalipa nanj na makoti yao ya mtumba?
Hivi chadema wanahusika kesi ya Profesa Lipumba, fafanua mkuu!!chadema hamtafanikiwa mbinu zenu
Wapi huko Mbowe alilamba 10b, tuwe wazi wanduguhivi anamzidi mbowe kwa hela maana yeye alilamba 10b
Heh!, kumbe la Profeseri alikuwa na kikao na mkuu wa nchi!? Ana ngekewa sana huyu prof.
Kesi ikiwa na dalili za vurugu mimi huwa siingii huko mahakamani, hivyo sijui kilichoendelea court.Niliyegemea utueleze kilichojili mahakamani,na ndiyo muhimu siyo hao watu wanamuunga mkono Lipumba..
Kati ya JK na Kingunge nani anakijua chama cha mapinduzi!?wengi hamumpendi Lipumba kwa sababu ya chuki zenu binafsi. kati ya ninyi na profesa nani anakijua chama?
wakati mwingine tukae kimya tu kama vitu hatuvijui.