Mbwembwe za Prof. Lipumba mahakamani

Mbwembwe za Prof. Lipumba mahakamani

Halafu mabango kwenye magari yana picha ya prof na kuandikwa chagua CUF, nikajiuliza wapi uchaguzi mida hii!!?
 
Kwenye mgogoro wa zitto na chadema zipo taarifa kwamba zitto alikuwa analetwa mahakamani na walinzi wa Riziwani , lakini mwisho wa siku aliangukia pua .

Siku ukisikia Lipumba kapigwa chini na mahakama ndio mwisho wa hao wapambe ambao gharama yao ni Azam cola mojamoja , wengi wanatokea Temeke mikoroshini na Buguruni kwa Mnyamani , hayo ndio maeneo ya mwanzo kabisa kupata kipindu pindu kila mlipuko unapotokea Dsm .
Utadhani wewe unaishi Masaki vile!!!
 
ukiona umezaa mtoto ukaanza kumuita majina yasioeleweka ni mbsya sana

majina yanayofanana na hard drinks??? majina mengine kama aina ya mfano wa vyakula ni shida sana .
 
Mleta Thread hakika umedhihirisha wewe ni stomach thinkers and seekers a.k.a member wa divisheni zero au PhD hewa lepropesa maana hakuna mantiki au dhumuni la taarifa.
 
Namhurumia sana Ibrahim, , mbona twafanyiana dhulma wenyewe kwa wenyewe mchana? Ibrahim anaifanyia dhulma nafsi yake mwenyewe. Nikuulize tu Ibrahim, weye umeona wapi mtu uondoke nyumbani kwako kwa kiapo kuwa sirudi ukae mwaka urudi na kutaka kukilalia kile kitanda chako?? Tena kwa msaada wa mpinzani wako?? Nafsi inakusuta
 
Wanachama waCUF ambao hawajapewa mgao wa Lowassa wameamua kukomaa na Lipumba mpaka kieleweke.
 
Itakua miaka ya 98-2005 hukufuatilia siasa za CUF,ya kawaida sana hayo,sawa tu na kuvaa gwanda kwenye jua na joto kali la dar bila kujali makalio yataloa kiasi gani kwa jasho
Ha ha ha ha ha ha nimecheka sana aisee!
 
Ukiona anakomalia hapo jua kuna aliposhindwa.
Poor prof.
 
wengi hamumpendi Lipumba kwa sababu ya chuki zenu binafsi. kati ya ninyi na profesa nani anakijua chama?

wakati mwingine tukae kimya tu kama vitu hatuvijui.
Anakijua chama yeye lakini ameamua kukisaliti kwa vipande vya pesa
 
Kwenye mgogoro wa zitto na chadema zipo taarifa kwamba zitto alikuwa analetwa mahakamani na walinzi wa Riziwani , lakini mwisho wa siku aliangukia pua .

Siku ukisikia Lipumba kapigwa chini na mahakama ndio mwisho wa hao wapambe ambao gharama yao ni Azam cola mojamoja , wengi wanatokea Temeke mikoroshini na Buguruni kwa Mnyamani , hayo ndio maeneo ya mwanzo kabisa kupata kipindu pindu kila mlipuko unapotokea Dsm .
Unamaanisha nn kipndupindu.?
 
Hizo Mbwembwe kwa Prof ni kawaida yake sana, Mwaka 2000 wakat wa Kampeni nikiwa hi kushuhudia Mtwara gari ya RPC ikipalazwa kwa Mapanga na Mashabiki wake eti akae Pembeni Msafara wa 'Rais' unaelekea Tandahimba .

Miongoni mwa Mambo yanayonichekeshaga shaga sana kwa Prof ni hizo Mbwembwe za Mapanga shaa na Misemo ya Lipumba Mwenyewe
Teh teh teh teh
 
Nilikuwa maeneo ya mahakama kuu leo mchana. Kwa kweli Le profesa ana mbwembe za kiulinzi na kiushabiki usipime. Yaani fuso limejaa wamama, halafu kuna gari ndogo kama nne zikiwa na makomandoo wa usalama kama anapita Obama vile, wanaruka kwenye gari kabla haijasimama vizuri kuchukua nafasi zao kumlinda prof.

Kwa haraka haraka ile ni gharama kubwa kuwaleta washabiki na walinzi wa aina ile. Ana hela sana Le profeseri! Hii dunia hii ni shida kwa kweli lakini tutakomaa nayo hivyo hivyo.

Sikuweza kipiga picha maana wale jamaa yawezekana wapo juu ya sheria, nimeona gari la magereza likiwapisha wapite kwanza.
Me professeri ktk ubora wake
 
niliona hayo magari wabandika stika zenye picture yake...nadhani mwisho wake utakuakm mrema
Mrema ana mwisho gan mbona mwenyekiti wa TAIFA WA PARLOLE

Mtoleeni UNAA mbona mbowe kafulia hamsemi mnaona Mrema tu, Waambieni ng'ombe ashindwi na Nundu take, ACHENI UNAA
 
Back
Top Bottom