Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,240
- 7,773
Umenichekesha hapo kwa makomando wanaoruka kabla gari haijasimama nikavuta picha ni Spetsnaz ,Navy Seals ,Mossad Katsas au ni hawa wapiga karate wa Buguruni ?
Mi amenikumbusha hekaya za Chago Amboni na jinsi ma'soja' walivokuwa wanaruka kabla chopa hazijatua!