Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,844
- 15,360
Nani alizuia wasiwe na pesa yao?Ila pesa ya Tanganyika wanataka na kuitumia sana
Nani alizuia wasiwe na pesa yao?Ila pesa ya Tanganyika wanataka na kuitumia sana
Mbona vyako na kula, kwa nini vyangu ubague...Tushazoea kula ngisi na pweza
Kwenu mna bahari na maziwa. Kwetu kuna bahari tuMbona vyako na kula, kwa nini vyangu ubague...
Unahitaji viboko...Kwenu mna bahari na maziwa. Kwetu kuna bahari tu
Hawana rasilimali za maanaNani alizuia wasiwe na pesa yao?
Watanzania bara kuna hujuma tulikua tunaifanyia zenji, sasa mambo yana backfireHawana rasilimali za maana
Hujuma gani?Watanzania bara kuna hujuma tulikua tunaifanyia zenji, sasa mambo yana backfire
MAlalamiko ya wazenji ya muungano ushawahi yasikia?Hujuma gani?
Malalamiko ya watanganyika kuhusu muungano umeshayasikia?MAlalamiko ya wazenji ya muungano ushawahi yasikia?
Kwenye mgogoro ws kulalamika, nani alianza toa lawama ?Malalamiko ya watanganyika kuhusu muungano umeshayasikia?
Na bado, ngoja uhuru ukipatikana wageuzwe wilaya ya mkoa wa Pwani ili kufidia maovu waliyotenda BaraWatanzania bara kuna hujuma tulikua tunaifanyia zenji, sasa mambo yana backfire
Mi sio muumini wa miujizs mkuu --- hicho ulichoandika hapo ni mambo ya miujizaNa bado, ngoja uhuru ukipatikana wageuzwe wilaya ya mkoa wa Pwani ili kufidia maovu waliyotenda Bara
nshaliona hiloSasa hivi yanafaulishwa vizuri fuatilia matokeo toka aingie madarakani
Mungu aliamua kuiadhibu dunia kwa kuruhusu Uislam
We mwamba una chuki sana. Dah na nikikumbuka na ule uzi wako wa kuiga mila za waarabu?Hivyo vichwa vilivyobondwa utotoni ili kuvaa bagharashia haiwezekani kuwa na akili timamu
😂😂😂Samaki wagalatia😂