Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

Aliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.

Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
naam uzi ufungwe
 
Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa

Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
View attachment 3546873
Si aache soko liamue? Anauhakika gani kama kila mtu huko Zenji (yaani pamoja na tourists na Watanganyika wote wanaoishi huko) hali hao samaki, au ndiyo chuki kwa Watanganyika wanaoishi huko wasipate samaki wanaowataka.
 
We ukiangalia unaona mzungumzaji huyo ana akili hata kidogo!?
Hajui kuwa Zanzibar Ina wahamiaji na watalii lukuki kutoka maeneo mbali mbali wanaokula hao samaki ye anendelee kula kobe na mwani
 
Aliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.

Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
Zanzibar kuna wageni kibao wanaohitaji hao samaki toka fresh water.
Rafiki yangu alikuwa ananiambia nimtafutie samaki wakavu toka bara akauze kwao Unguja mjini.
 
Aliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.

Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
Kama ni hivyo mbona bado samaki wa Mwanza wanapelekwa Zanzibar na wananunuliwa?
Mimi nimekulia ukanda wa Pwani nimezoea samaki wa baharini. Sasahivi niko Mbeya huku nakula samaki wa maji baridi fresh tu, ukileta wa baharini nakula na wa ziwani nakula. Your experience is not others' experience. Acha walaji wachague
 
Hiyo video clip ni ya zamani . Nadhani Ina zaidi ya mwaka 1.
 
Wazanzibar wako sahihi.sisi ndo atuna akili.
Kumlazimisha mtu urafiki mwenzio akawa anakataa wewe ndo utakuwa na matatizo
 
Ni kweli huwezi kumpelekea mzanzibary kambale, wa nini sasa???

Yaani hiyo ni sawa ununue godoro kijijini kulipeleka mjini.

Mimi mwenyewe nawaunga mkono
 
Back
Top Bottom