Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

Yuko sahih
Sato za makafiri zinavuliwa na sumu
Na kambare sio samaki, ni nyoka
 
Watanzania bara kuna hujuma tulikua tunaifanyia zenji, sasa mambo yana backfire
Na bado, ngoja uhuru ukipatikana wageuzwe wilaya ya mkoa wa Pwani ili kufidia maovu waliyotenda Bara
 
Na bado, ngoja uhuru ukipatikana wageuzwe wilaya ya mkoa wa Pwani ili kufidia maovu waliyotenda Bara
Mi sio muumini wa miujizs mkuu --- hicho ulichoandika hapo ni mambo ya miujiza
 
Back
Top Bottom