Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

Mbunge, Zanzibar: Msituletee samaki kutoka bara, sie hatuli

Nimekutana na hii video on social media hadi nimeshangaa
Kwani samaki wetu wana shida gani 😳
View attachment 3546873
Huyu mtwana hana akili ya kufikiri, kama hataki Sato, perege, kambale si wengine wanakula....kwani lazima ale yeye huyu fala? Haya ni mambo ya soko, kama hazinunuliwi mbona bado zinasafirishwa ZNZ?. Tatizo la hawa wenzetu akili zao zipo makalioni. Huyu shoga ana shida kichwani, na wengine wanachekelea upuuzi. Hivi hili ni bunge au baraza la kahawa?
 
Hii ndo hoja hakuna kngne hapo zaid ya udini
his tank is clean mashalla 🐠🇸🇦🕋.jpeg
 
Aliyezoea kula samaki chumvi toka utotoni ukimletea samaki baridi kiuhalisia huona hawafai.
Vivyohivyo kwa sisi tuliozaliwa na kukulia mwambao wa ziwa victoria, samaki wa baharini huwa tunaona jau sana ile radha na shombo lake pale unapoanza kuwala.

Ni mazoea tu, naamini hata leo hii ukimpelekea Mama yangu aliyepo Mwanza samaki wa baharini sidhani kama atapendezwa nao make kazoea wa ziwani toka kuzaliwa kwake.
 
Soko huria, walaji ndio wanaochagua, sasa kama wewe huli, unawakataza wengine kula? Jaribuni kufikiri kwa kutumia akili. Suala si la kuzoea, kama mama yako hali, wengine tunakula. Sasa unatupangia vitu vya kula?
 
Back
Top Bottom