Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

Mtangazaji wa WASAFI FM na Kada wa CCM Maulid Kitenge amedaiwa kufunga ndoa na mbunge wa viti Maalum ( Chadema) mh Nusrat Henje

Hongereni maharusi

Siasa siyo Uadui

Source Jambo TV

Nawatakia Dominica njema😂
Kama wamekula mshahara kwa kodi zetu muda wote huo anashindwaje kuomba michango ya kuolewa🤣
 
Back
Top Bottom