Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

HUYO NDIYO KAMANDA mag 3 HAJAWAHI KUSHINDWA KITU ! NADHANI UMEJIONEA MWENYEWE , LABDA NIKUTOE SHAKA , KAMANDA SWAI YUPO HAI ANAENDELEZA MAPAMBANO , TAARIFA ZINADOKEZA KWAMBA KESHO ANATINGA HOSPITALI KUMTEMBELEA RAGE !
Asante Erythrocyte kwa hiyo sifa ila naomba nitoe ufafanuzi kidogo...mimi si kamanda kwa maana ya Mwana Chadema. Sijawahi kuwa mwanachama au mfuasi wa chama chochote cha siasa toka nizaliwe ila naunga mkono juhudi zozote zile zinazotetea maslahi ya taifa letu. Nachukia, narudia nawachukia walafi, wanafiki, waongo, walaghai, wezi, mafisadi na watoa roho za watu kwa lengo la kuficha maovu yao. Kwangu CCM ni mfano halisi wa yote ninayoyachukia kwani ni hifadhi kuu kwa wote hao niliowataja. Adui wa adui yangu ni rafiki yangu...no more nor less.
 
nina hizi hapa mkuu historia haipoteagi cheki kiunoni jambazi kama hili si lingekufa tuu???
aden_rage.jpgView attachment 175205


mwenye ile picha ya wakati anagombea mlingoti wa bendera na wafuasi wa cdm atuwekee
 
asante erythrocyte kwa hiyo sifa ila naomba nitoe ufafanuzi kidogo...mimi si kamanda kwa maana ya mwana chadema. Sijawahi kuwa mwanachama au mfuasi wa chama chochote cha siasa toka nizaliwe ila naunga mkono juhudi zozote zile zinazotetea maslahi ya taifa letu. Nachukia, narudia nawachukia walafi, wanafiki, waongo, walaghai, wezi, mafisadi na watoa roho za watu kwa lengo la kuficha maovu yao. Kwangu ccm ni mfano halisi wa yote ninayoyachukia kwani ni hifadhi kuu kwa wote hao niliowataja. Adui wa adui yangu ni rafiki yangu...no more nor less.

asante mkuu umesomeka .
 
Daah! Israel alikuwa mitaa gani mtu wangu! maana angemtwaa tu! hizo laki tatu tatu anazofuata zingeokoa wa mama wajawazito kibao na watoto wao! kuliko hicho anachokifuata ambacho hakitakamilika ! rest in Hell Rage wa CCM
Mtengeti umenichekesha sana.....
 
israel amekosea step ndogo2.angeondoka nae2.
 
Karibu sana Erythrocyte, picha kama kawa;
​

aden_rage.jpg


Kamanda Swai akipambana na Rage kuitetea bendera ya Chadema!

3+Rage+akipambana+na+Chadema+A.jpg


Kamanda Swai hakubali bendera ing'olewe! Mainterahamwe yaanza kuokota mawe!

Kanda+wa+Chadema+akikimbizwa.jpg


Kamanda Swai ashtuka na kukitoa! Hawa watu vipi? Wauwaji wakubwa!

IMG_3661.JPG


Mainterahamwe yajipongeza kwa kazi nzito!
CC: respect wa boda​

Hivi angekuwa ni nduguyo ungesema haya!

Msalani, unayaona mambo ya kishetani ya mbunge wako na msomali mwenzio?

Ruttashobolwa, hata kama angekuwa ndugu yangu ningemuombea kifo tu!... Picha hapo zinajieleza yeye na wafuasi wa CCM wanataka kuigeuza Tanzania kuwa SOMALIA?
 
Tunampa pole Nd Rage japo siku moja baada ya Ukawa kususia bunge huyu jamaa ndiye aliyesema bora wametoka kwa kuwa sasa bunge limetulia. Aliendelea kusema kwamba afadhali hao jamaa waendelee kususa bunge ili "utulivu" uendelee kushamiri bungeni. Statement kama hizi ndo zinaleta haya mamikosi ya ajali!

Hapana Mkuu! Kwenye misiba tuyahurumie! Ingawa yalikuwa yanawahi posho zetu!

Mungu awaponye haraka ili waendelee na vikao vya bunge.

Huyu msomali hana uchungu na taifa letu... Hajali kitu. Hata Watanzania wakifa njaa, hajali ili mradi apate posho!
 
Nitamani angevunjika mgongo akae kitandani hadi muda wa katiba uishe. Na wengine kama 50 hivi nao wapate ajali....sheeenzyy zao!
 
[/CENTER]

Msalani, unayaona mambo ya kishetani ya mbunge wako na msomali mwenzio?

Ruttashobolwa, hata kama angekuwa ndugu yangu ningemuombea kifo tu!... Picha hapo zinajieleza yeye na wafuasi wa CCM wanataka kuigeuza Tanzania kuwa SOMALIA?

Huyo mchaga mwenzenu SWAI, hapo alikuwa anafanya nini? na alifuata nini?
 
Back
Top Bottom