chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,136
.....4. Siyo Yanga Afrika...hanihusu hata chembe
1. Siyo mtanganyika
2. Siyo Mtanzania ni msomali
3. Siyo UKAWA
......5. Siyo Mbeya Siti...
.......6.......
.....4. Siyo Yanga Afrika...hanihusu hata chembe
1. Siyo mtanganyika
2. Siyo Mtanzania ni msomali
3. Siyo UKAWA
Hayo maccm ni BORA yangekufa tu...
Tumeyachoka
huyo mwanamama tambwe si ndo mdogo wake alishikwaga na unga eapoti? kha jamani nji hiiiii
Hawa ndio wanachama wa UKAWA
Mungu hana makosa ila kwa kumbakisha huyu gamba ni kosa atakuwa iziraeli kachemka kidogo he should go to hell kabisaaaaa good for nothing mp
Juhudi za ukawa kukwamisha katiba zinaendelea
Mungu awaponye haraka ili waendelee na vikao vya bunge.
Karibu sana Erythrocyte, picha kama kawa;
![]()
Kamanda Swai akipambana na Rage kuitetea bendera ya Chadema!
![]()
Kamanda Swai hakubali bendera ing'olewe! Mainterahamwe yaanza kuokota mawe!
![]()
Kamanda Swai ashtuka na kukitoa! Hawa watu vipi? Wauwaji wakubwa!
![]()
Mainterahamwe yajipongeza kwa kazi nzito!
CC: respect wa boda

Mkuu Mag3 with all due respect Nikushukuru sana kwa kutunza kumbukumbu hizi muhimu kwa kizazi kijacho ili waje kusoma historia ngumu jinsi vyama vya upinzani vilivyopitia harakati ngumu za mauaji,vipigo,na hata kubambikiwa kesi kiasi magereza na mahabusu zote kujaa Makamanda wa Chadema
Mkuu ubalikiwe sana.....dah hivi huyu Kamanda mpambanaji wa mstari wa mbele yupo kweli mkuu?
BACK TANGANYIKA
Rage Angekufa Tu Kwani Ameifilisi Klabu Ya Simba Na Ameacha Deni La Milion 500, Bado Lukumvi Atakuwa Kama Mdhihr
mwenye ile picha ya wakati anagombea mlingoti wa bendera na wafuasi wa CDM atuwekee

Ahhh mleta hoja kanirusha stimu nilijua kafa kuona kajeruhiwa hata pozi la ku comment sina tena wacha nipite hivi bora angevuta tuu kabla hajaenda kuiba 300.000 zetu kesho ni good for nothing MP