Maumivu ya bega?! Wacha utani.Nasikia kishavuta
Tayari....rip.mheshimiwa.Nasikia kishavuta
Pole sana Rage. Swali kwa mleta mada. hizi number za gari ni za gari la wapi? DQS??
Hata Mie nimeshangaa hapo.Hivi ni kweli kuwa magari yameisha CZZ na kufikia namba ya DAA kisha kuvuka kuwa DQS mara hii kabla "hatujayaona huku kwetu Milimani!" Kweli?
Hata mimi Mkuu bado nawaza! Hivi tayari D imeshafika na QS? Na imeanza lini? Au jamaa yetu kasoma vibaya ilikuwa BQS?
Pole sana Rage. Swali kwa mleta mada. hizi number za gari ni za gari la wapi? DQS??
- Agakhan Hospital leo asubuhi
Le Mutuz
- Agakhan Hospital leo asubuhi
Le Mutuz
Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, amenusurika kifo na kuumia bega la Kushoto akiwa na watu wengine watatu baada ya gari alilokuwa akitumia kusafiria aina ya Toyota Lund Cruser T 845 DQS (gari binafsi) kuacha njia na kuanguka katika eneo la Chigongwe wakati akiwa njiani kuelekea mjini Dodoma
Hata hivyo amesema chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, na kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi ili kujua chanzo cha ajali hiyo.

Tayari....rip.mheshimiwa.
- Agakhan Hospital leo asubuhi
Le Mutuz
Nani kashavuta?