TUMUOMBE mag 3 ATUWEKEE HIYO PICHA .
Karibu sana Erythrocyte, picha kama kawa;
Kamanda Swai akipambana na Rage kuitetea bendera ya Chadema!
Kamanda Swai hakubali bendera ing'olewe! Mainterahamwe yaanza kuokota mawe!
Kamanda Swai ashtuka na kukitoa! Hawa watu vipi? Wauwaji wakubwa!
Mainterahamwe yajipongeza kwa kazi nzito!
CC: respect wa boda