Kasanzu The Great
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 309
- 226
Nasikia kishavuta
naomba waongeze wengine zaidi. Kigwangalla asikosekane
Nasikia kishavuta
komenti za uzii huu,sina hamu.
Kwa nini hajapelekwa hospital ya serekali?
Akiwa msomali ndio iweje sasa,
Huyo mchaga mwenzenu SWAI, hapo alikuwa anafanya nini? na alifuata nini?
Sioni wanasimba wakitoa pole
Angekufa Tu Huyu Msomali.
Sioni wanasimba wakitoa pole
BABU atakufa atamuacha huyu mzalendo akiendelea kuwatumikia wananchi!
Mzalendo wapi huyo wakati mwizi tu mwambie arudishe hela zetu za simba mwizi huyo ila kwa ccm kua mwizi niuzalendo.