Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Duh pole yake; ila pole nawe bwana Tenende maana naona umehamaki hadi umechapia na kuandika "Bonge" badala ya "Bunge"

Sijachapia mkuu... Lile si "BUNGE MAALUMU LA KATIBA!" kwakuwa halitatuletea katiba bali.. "BONGE" la KATIBA YA CCM!
 
Pole sana Rage. Swali kwa mleta mada. hizi number za gari ni za gari la wapi? DQS??

Herufi D hata kama imefikiwa labda DAA, au DAZ! DQS ni zaidi ya nusu ya D series ambazo kwa uzoefu ni zaidi ya miaka miwili! So sidhani kama DQS imefikiwa!
 
huyo mwanamama tambwe si ndo mdogo wake alishikwaga na unga eapoti? kha jamani nji hiiiii
 
watu wana hasira!!! na wananchi wa vijijini wangeichukia hivi ccm hakika tungepata uhuru wa kweli!!
 
Kisicho riziki hakiliki ukawa wamegomea bunge yeye alikuwa anafata nini dodoma ?
Halafu hao abiria watano ktk gari la mbunge ni kina nani? Ni nyumba ndogo ? Au aliwatoza nauli kwa mafuta ya walipa kodi ??
 
Huu ni wakati mzuri wa wote kumpokea Yesu kuwa BWANA NA MWOKOZI WETU. Ili kupata uzima wa milele. Uzima wa mwili tunaoumiliki ni wa muda mfupi, bali wa YESU NI WA MILELE.
Acha ujinga!
 
Yupo hospital gani wazee maana ndo nafika hapa four way! kama kalazwa nimkasaidie israel ! c mnajua tena uzembe wa mahospital yetu
 
Dr.W.Slaa ona vijana wako wanatoa ushahidi kuwa chadema na Ukawa huwa wanapenda wananchi wafe!

Kwa hali bila shaka chadema ndio wahusika wa bomu la soweto hii roho mbaya ya ajabu sana!
 
Last edited by a moderator:
Akifa mniambie nianze sherehe...Kwa sasa wacha
nifanye maandalizi madogomadogo...Hawa CCM ni wapumbavu-Prof. Kabudi
 
Na mimi nilikuwa nasikiliza kwa hamu kuubwa... Nilifikiri kafa!... Mnafiki na msaliti wa wananchi... Eeeh ISRAEL umeshindwaje kufanya mambo?!
Mkuu kwani akifa UKAWA ndio mtachukua nchi?
 
Back
Top Bottom