Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Nitamani angevunjika mgongo akae kitandani hadi muda wa katiba uishe. Na wengine kama 50 hivi nao wapate ajali....sheeenzyy zao!

huwa siwaombei mazuri hawa mafisadi tuzidishe kilio chetu kwa mungu atatuskia bunge likiisha na mkatiba wao wa ccm tutashuhudia mengi inshaalah. haf tungepitia upya uraia wa watu hawa wasomali ndo wanaingiza mabomu na siraha kutoka kwao
 
Halafu mbona wako pea?
Wanaume wawili na wanawake wawili!
Ukute walienda kujivinjari kiharamu,!
 
Pay time ............

1359959925mtz1.jpg
 
Kwa kifupi pole zake ila tunaomba wajue katiba sio ya CCM ni ya Watanzania wote wapenda maendeleo
 
Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, amenusurika kifo na kuumia bega la Kushoto akiwa na watu wengine watatu baada ya gari alilokuwa akitumia kusafiria aina ya Toyota Lund Cruser T 845 DQS (gari binafsi) kuacha njia na kuanguka katika eneo la Chigongwe wakati akiwa njiani kuelekea mjini Dodoma kuanza vikao vya Bunge la Katiba hapo kesho.

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, David Misime, amesema ajali hiyo imetokea leo Agost 4, 2014 na kuwa imetokea katika eneo la Njia panda ya Kigwe katika barabara ya Singida Dodoma, wakati mbunge huyo akielekea mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza vikao vya Bunge Maalum la katiba.

Amesema Rage, ameumia katika bega la kushoto na mgongoni huku Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora, Munde Abdalla Tambwe, akiumia sehemu za kichwani na kuwa majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.

Amesema watu wengine waliokuwepo katika gari hilo ni pamoja na Mwanahamis Athumani, John Hoya ambao wote kwa pamoja wanaendelea na matibabu katika hospitali hiyo.

Hata hivyo amesema chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, na kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi ili kujua chanzo cha ajali hiyo.

Taarifa nilizozipata no kuwa Rage na Munde wamelazwa agan khan hospital,jana usiku majira ya saa nne ndio waliwasili katika hosptali hiyo.
 
Back
Top Bottom