Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage apata ajali Dodoma

Eti anawahi Dodoma utadhani kuna la maana kumbe wanaenda kufanya dhuruma tu,Interahamwe team"Wafe tu maana tumewachoka"
 
Duuu wananchi wana hasiraaaa...magamba yanachukiwaaa duuu!
 
Naona mnawaombea watu Vigo, ongera yenu kwa kupewa na mungu amri ya kuukumu,

Na laana hiyo unayoitamka ikurudie!... Nawe yakupate kwa kushabikia mateso ya watanzania na ukaidi wa LUKUVI na wenzake!
 
Mkuu Ruttashobolwa Sasa nimeelewa kwanini kila mkusanyiko wa CHADEMA lazima uendane na umwagaji wa damu! Kumbe hawa watu hawathamini uhai wa binadamu wenzao!
 
Last edited by a moderator:
Tunachokifanya ni kusherehekea kama wao wanavyosherehekea vifo vya watanzania!

Laana hii haitakuacha bure! lazima siku mbili tatu hizi utasheherekea pia msiba wa mtu wako wa karibu!

Huyu Rage naye ana ndugu na marafiki, wakisoma comment zenu za kijinga hivi wanahuzunika sana!
 
Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, amenusurika kifo na kuumia bega la Kushoto akiwa na watu wengine watatu baada ya gari alilokuwa akitumia kusafiria aina ya Toyota Lund Cruser T 845 DQS (gari binafsi) kuacha njia na kuanguka katika eneo la Chigongwe wakati akiwa njiani kuelekea mjini Dodoma kuanza vikao vya Bunge la Katiba hapo kesho.

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, David Misime, amesema ajali hiyo imetokea leo Agost 4, 2014 na kuwa imetokea katika eneo la Njia panda ya Kigwe katika barabara ya Singida Dodoma, wakati mbunge huyo akielekea mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza vikao vya Bunge Maalum la katiba.

Amesema Rage, ameumia katika bega la kushoto na mgongoni huku Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Tabora, Munde Abdalla Tambwe, akiumia sehemu za kichwani na kuwa majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.

Amesema watu wengine waliokuwepo katika gari hilo ni pamoja na Mwanahamis Athumani, John Hoya ambao wote kwa pamoja wanaendelea na matibabu katika hospitali hiyo.

Hata hivyo amesema chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika, na kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi ili kujua chanzo cha ajali hiyo.

Yawezekana Ikawa Ni Laana Ya Wanasimba Kwa Kuwadanganya Kuhusu Kuacha Pesa Wakati Kumbe Kaacha Hasara Na Madeni Kwa Klabu. Pole Zake ila Anatakiwa Kuwaomba Radhi Wanasimba Kwani Midomo Ya Watu Ni Laana Tosha.
 
Laana hii haitakuacha bure! lazima siku mbili tatu hizi utasheherekea pia msiba wa mtu wako wa karibu!

Huyu Rage naye ana ndugu na marafiki, wakisoma comment zenu za kijinga hivi wanahuzunika sana!

Msomali anayeshabikia mateso ya watanzania? Hana maana!.. Alipigwa risasi ALI SINGANO Morogoro akasherehekea bungeni; Akauawa Mwangosi, akapongeza polisi; Akateswa ULIMBOKA - akafagilia sana!... Ukinilaani kwa ajili ya Msomali huyu, nawe ULAANIWE!
 
Laana hii haitakuacha bure! lazima siku mbili tatu hizi utasheherekea pia msiba wa mtu wako wa karibu!

Huyu Rage naye ana ndugu na marafiki, wakisoma comment zenu za kijinga hivi wanahuzunika sana!
Unafuga majini kama shehe Yahaya?
 
Back
Top Bottom