Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Sasa hivi kalala peke yake mbwembwe kwishney Mungu fundi jamani hapa ndio unaona faida ya kifo imagine tungekuwa hatufi huyu mtu angeumiza wangapi na walishaanza kumuimbia upuuzi wao wa mitano Tena na kutawala milele pumbavu kabisa.
Kuwa mzalendo wewe
 
Hili ndilo neno kila mtu anayehitaji alijenge sanamu na aliweke nyumbani kwake.

Tupo awamu ya 6, mama kishateua baraza huko, aliyekwenda ameshakwenda. Maisha yaendelee..

Ukitaka public holiday ya mwendazake basi nimetoa wazo uamuliwe mwezi mmoja uwe wa kuwaenzi maraisi wote wa nchi hii bara na visiwani.. Huo mwezi tuwe tu likizo nchi nzima, kuenzi viongozi.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Yeye kafanya zaidi ukumbuke hilo
 

Tatizo lilianzia hapa. Acha uchawi mkuu.
 
Yeye kafanya zaidi ukumbuke hilo
Yepi zaidi?? Muache hizi mambo za kuaminisha watu, maendeleo ni fadhila hisani na siyo wajibu.
Nyie ndiyo mlimpotosha mwendazake..
Aliomba uraisi afanye kazi. Kwa kutumia kodi zetu watanzania, hata wenzake walitumia kodi zetu kwa maendeleo yetu.
Hajawahi kuacha kupokea mshahara wala kuzuia lile fungu la ikulu lisipelekwe ikulu bali liende kwenye miradi ya maendeleo. Hata hela alizokuwa anagawa mitaani, hazikuwa zake bali kodi za watanzania.

Kama kuita wazungu beberu hakuanza yeye.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom