Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,863
- 93,648
Hoja ya Kishimba ina mashiko sn mkuu, kati ya Kishimba na Lipumba nani ana manufaa kwa jamii? Kishimba ameajiri watu kibao, Lipumba ameshindwa hata kuajiri house girl, ni aibu tupuHahahaha ndio maana nikasema awali wanaoponda hoja za mzee kishimba watakuwa on the advantaged side! Mtu yuko UDSM ana lecutre anapokea 2M au zaidi kwa mwezi lazma amuone kishimba mwehu flani! Degree inakuwa na maana kama unaifanyia kazi mahali na kulipwa pesa ya kuridhisha.
Ila wanaozunguka juani na bahasha for 4 years in a row na kazi hakuna! Wazazi wameuza asset wakijua wanakukomboa ni msiba kwa kweli. Hamna mzazi mwenye nia njema asiyependa mwanae aendeshwe kwenye STK. Hawa ndio wanamuelewa vizuri kishimba!