Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

Hahahaha ndio maana nikasema awali wanaoponda hoja za mzee kishimba watakuwa on the advantaged side! Mtu yuko UDSM ana lecutre anapokea 2M au zaidi kwa mwezi lazma amuone kishimba mwehu flani! Degree inakuwa na maana kama unaifanyia kazi mahali na kulipwa pesa ya kuridhisha.

Ila wanaozunguka juani na bahasha for 4 years in a row na kazi hakuna! Wazazi wameuza asset wakijua wanakukomboa ni msiba kwa kweli. Hamna mzazi mwenye nia njema asiyependa mwanae aendeshwe kwenye STK. Hawa ndio wanamuelewa vizuri kishimba!
Hoja ya Kishimba ina mashiko sn mkuu, kati ya Kishimba na Lipumba nani ana manufaa kwa jamii? Kishimba ameajiri watu kibao, Lipumba ameshindwa hata kuajiri house girl, ni aibu tupu
 
Kubishana na wewe ni kupoteza muda, wewe hiyo degree yako inamaanufaa gani kwa jamii? Msukuma na Lipumba nani mwenye manufaa kwa jamiii?
Kwahiyo watu wasipewe degree kwa sababu msukuma hana ila ana manufaa kwa jamii?
 
Au na cpa yake ni teller bank, inakatisha tamaa elimu yetu
Na mbali na yote elimu yetu inanunuliwa kwa gharama kubwa sana kiasi kwamba huoni mantiki kama ikifikia umetumia million 20 kusomesha kila mtoto kisha wote waje kuwa mzigo tena baada ya shulw kuisha!
 
At least sasa tunaongea lugha moja. Mpaka wakati wa JK Madaktari wote walikuwa wanaajiriwa na Seikali na Hospitali binafsi. Lakini Mwendazake miaka 5 hakuajiri, amaekazana na kununua bombardier na kununua wabunge! Still demand ya Madaktari nchini bado ni kubwa, Serikali haikuona kuwa ni priority

Leo tunasahau chanzo cha tatizo na tunaanza kuponda elimu yetu nzuri. Na tunamshangilia Msukuma wa Darasa la 7, eti ana point?? CRAZY
Inashangaza sana
 
Usomi wako ndio ule wa kuuliza watu unanijua Mimi...?

Unahamisha tu magoli
 
Hoja ya Kishimba ina mashiko sn mkuu, kati ya Kishimba na Lipumba nani ana manufaa kwa jamii? Kishimba ameajiri watu kibao, Lipumba ameshindwa hata kuajiri house girl, ni aibu tupu
Yeah hawa std 7 wengi wana mamiradi miradi huko mtaani na wameajiri watu wa kutosha! They are street smart guys! Kwa hapo lazma tukubaliane tu mkuu
 
Asamehemwe, hajui alisemalo. Yaani elimu ya miaka mitatu itolewe kwa miezi nane? Hayuko siriasi kabisa huyo Mbunge
Sijawahi kuona elimu ya Tanzania kama inafaida! Hili mimi nilishaliona nikiwa form three 1998 na nilipomaliza form four nilisusia hata cheti cha form four! Nilikuja kufundishwa na mzungu msouth afrika kuhusu uhifadhi kwa miezi mitatu na nikavolonteer ngorongoro walah MWEKA walikuwa wakija nawafundisha wakajua mimi professor!!!😂😂
Tatizo elimu ya Tanzania haikubali utashi wa mwanafunzi na inauwa vipaji na maono!
na hapa ninapoandika nina kampuni tokea 2007 na niliapa sitaajiri wasomi wa kitanzania ng’oo maana nothing new wataleta kwenye biashara yangu zaidi ya ujuaji na mengineyo ya ajabu! Nimeajiri la saba na wanapigwa msasa wa training tu na wazungu nakwambia hakuna hao graduate anawasogelea kwa lugha na utendaji Ukijumlisha na ubunifu!
Unasomea manunizi miaka mitatu kitu ambacho tulianza kujifunza tukiwa watoto tukitumwa dukani tena na jinsi ya kurudishiwa chenji na jinsi ya kuokoa muda mama akitema mate yasikauke uwe umesharudi!!?
 
Hatukatai degree lakini watu wapewe baada ya ku-deliver kitu fulani siyo hii kukaririshwa darasani bila sababu za msingi
Kwahiyo mwalimu apewe degree yake baada ya kufaulisha wanafunzi?
Na political scientist je ?

Dogo unajadili jambo zito ambalo huna uelewa nalo. Nenda kajitafutie mkate tu
 
Yeah hawa std 7 wengi wana mamiradi miradi huko mtaani na wameajiri watu wa kutosha! They are street smart guys! Kwa hapo lazma tukubaliane tu mkuu
Mkuu degree zinapaswa zitolewe field kuwa mtu amefanya hiki hata kama ni kidogo lakini kina manufaa kwa jamii, kazi nyingi maofisini ni copy and paste hakuna ubunifu wowote, kuandika vocha kuna hitaji CPA? ni mambo ya hovyo kabisa kuna watu mtaani wamebuni umeme n.k hao ndiyo tulipaswa tuwape degree na siyo hizi za kukaririshana.
 
Acha wivu!

Kishimba kakupa mtihani wewe kama msomi, Umjibu kisomi, anauliza....!

Ni nani aliyesema Kwamba, ubongo wa Mwanadamu bila kufundishwa mwaka mmoja Kwa somo moja hauwezi kushika na kuelewa?

Je, kusomea manunuzi ni lazima iwe miaka mitatu?

Je, kuna aliyefanya liseach ya hayo akafahamu uwezo wa ubongo wa Mwanadamu kuwa masomo ya kusomea manunuzi, ili mtu aelewe inahitajika asomee miaka mitatu ni Nani huyo?

Acheni kubisha kila kitu, fanyieni kazi hayo wasomi wetu muone kama hatukingizwa chaka na mkoloni
Wewe Pslmp nawe ni Darasa la 7, usikurupuke kubisha hoja zangu huna uwezo huo. Acha nipambane na wenye Degree zao akina Extrovert na wengine

Uthibitisho kuwa wewe ni wa la 7 angalia ulivyoandika neno "liseach", na hii siyo typo error bali ni elimu duni. Usahihi ni "Research" au kwa Kiswahili "Utafiti"

Siwezi kukujibu tena nitakuwa nampigia mbuzi gitaa
 
At least sasa tunaongea lugha moja. Mpaka wakati wa JK Madaktari wote walikuwa wanaajiriwa na Seikali na Hospitali binafsi. Lakini Mwendazake miaka 5 hakuajiri, amaekazana na kununua bombardier na kununua wabunge! Still demand ya Madaktari nchini bado ni kubwa, Serikali haikuona kuwa ni priority

Leo tunasahau chanzo cha tatizo na tunaanza kuponda elimu yetu nzuri. Na tunamshangilia Msukuma wa Darasa la 7, eti ana point?? CRAZY
Uzembe unaweza kuwa ulifanyika mahali ila kumbuka pia kazi ya udaktari ni practical job! Wale jamaa wanaspend masaa mengi wodini kuliko darasani!

Huwezi fananisha na mtu mwenye degree ya HRM ambaye anashinda darasani kukariri ma theory na modules! Huyu mtu ili elimu yake iwe na maana ni lazma aajiriwe sasa what if ajira zikiwa hamna! Ina maana akaanze kukaanga mihogo WTF is this? Elimu za aina hii ndio hasa zinazoongelewa na kishimba!
 
Kwahiyo mwalimu apewe degree yake baada ya kufaulisha wanafunzi?
Na political scientist je ?

Dogo unajadili jambo zito ambalo huna uelewa nalo. Nenda kajitafutie mkate tu
Acha kuni-attack bila sababu za msingi twendeni kwenye hoja na siyo hii elimu yetu ambayo haina manufaa, mimi hata hii F4 yangu failure sijaitumia hata robo kabisa.
 
Huyu mbunge amekuwa akinifikirisha kwa hoja zake hasa katika sekta ya Elimu. Ninajifunza kuwa kwa namna unavyopanda daraja la kiellimu ndivyo unavyojitenga na natural intellegence na kuongeza artificial intellegence.

Mfumo wa Elimu yetu ni wa kucopy na kupaste ila hauzingatii context tuliyonayo. Ni kweli kuwa Elimu yetu inalenga kwenye progression kutoka education sub sector moja kwenda nyingine bila kuwa na picha kubwa kuhusu stadi zinazohitajika kwenye soko la ajira au kujiajiri.

Ni jambo la busara elimu yetu ika reapond market demand kutoka kwenye real business/working world. Kinyume cha hapo , utoaji wa elimu utakuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya raslimali.

Wito wangu ni huu, kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu utoaji wa elimu yetu kwa kuzingatia muktadha wetu wa sasa na ule ujao.

Mheshimiwa Jumanne Kishimba ana hoja asibezwe kutokana na namna anavyowasilisha kwa sababu logical thinking yake iko driven na natural intellegence.
 
Mkuu degree zinapaswa zitolewe field kuwa mtu amefanya hiki hata kama ni kidogo lakini kina manufaa kwa jamii, kazi nyingi maofisini ni copy and paste hakuna ubunifu wowote, kuandika vocha kuna hitaji CPA? ni mambo ya hovyo kabisa kuna watu mtaani wamebuni umeme n.k hao ndiyo tulipaswa tuwape degree na siyo hizi za kukaririshana.
Af mtu anakwambia unahitajika uzoefu wa miaka mitano!😂😂😂

Im like what tha Fukk yani miaka mitano ya kuongea na watu kwenye simu? Namiliki simcard ya tigo for 18 years now! Hapo kazi ni ya customer service call centre!

Sasa mtu unahitaji degree kweli kwa kazi ya kupokea simu na kuongea na wateja!?
 
Ni mambo ya hovyo sn mkuu tuna tia aibu kabisa
 
Huyu mbunge amekuwa akinifikirisha kwa hoja zake hasa katika sekta ya Elimu. Ninajifunza kuwa kwa namna unavyopanda daraja la kiellimu ndivyo unavyojitenga na natural intellegence na kuongeza artificial intellegence.

Mfumo wa Elimu yetu ni wa kucopy na kupaste ila hauzingatii context tuliyonayo. Ni kweli kuwa Elimu yetu inalenga kwenye progression kutoka education sub sector moja kwenda nyingine bila kuwa na picha kubwa kuhusu stadi zinazohitajika kwenye soko la ajira au kujiajiri.

Ni jambo la busara elimu yetu ika reapond market demand kutoka kwenye real business/working world. Kinyume cha hapo , utoaji wa elimu utakuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya raslimali.

Wito wangu ni huu, kuwe na mjadala wa kitaifa kuhusu utoaji wa elimu yetu kwa kuzingatia muktadha wetu wa sasa na ule ujao.

Mheshimiwa Jumanne Kishimba ana hoja asibezwe kutokana na namna anavyowasilisha kwa sababu logical thinking yake iko driven na natural intellegence.
Mi nakwambia maofisi yetu haya mengi ukiacha yale ya watu wa medical environment na engineers wanaotumia mihesabu migumu, au watu wa actuarial science basi kazi nyingi zinafanyika tu tena kwa training ya muda mfupi tu!

Mi huwa nawakubali sana wazungu, yeye anapotaka kukupa kazi anakuuliza tu utaiweza ukimjibu ndio anakupa hints tunatakiwa kufanya hivi na vile tu kama ni taarifa basi utakusanya hizi na zile ukipata changamoto utaniuliza! Kisha anakusainisha contract unaanza kazi hamna mambo ya CV sijui vyeti na kusumbuana!

Na anakulipa vizuri mno on hourly basis kuliko hawa wakirtimba wenzetu weusi ngozi ya ma..pu..mbu akunyanyase na interview zisizo na idadi yani kisha akupe mkataba wa kinyonyaji akufuje tu na mikwara mingi!
 
Uzembe unaweza kuwa ulifanyika mahali ila kumbuka pia kazi ya udaktari ni practical job! Wale jamaa wanaspend masaa mengi wodini kuliko darasani!

Huwezi fananisha na mtu mwenye degree ya HRM ambaye anashinda darasani kukariri ma theory na modules! Huyu mtu ili elimu yake iwe na maana ni lazma aajiriwe sasa what if ajira zikiwa hamna! Ina maana akaanze kukaanga mihogo WTF is this? Elimu za aina hii ndio hasa zinazoongelewa na kishimba!
Kuna suala la supply and demand hapo sasa ndiyo suala la Serikali tena ambapo wamekosea. I hope TCU ndiyo wana approve mitaala ya kufundishwa vyuoni. Kwa course kama HRM in the past ungeikuta UDSM, Mzumbe, CBE na UDOM.

Siku hizi course kama HRM, Accounting, Business Administration utazikuta vyuo vyote mpaka Ardhi, TIA, AIA na SUA. Kwa hiyo supply ya wataalamu wa fani hizi imekuwa kubwa kuliko mahitaji. Kwa hiyo naiona kama issue ya tamaa za vyuo kuongeza udahili ili wapate mapato yatokanayo na ada
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom