Hatujui ila tunaona videos mnazotupia kwenye mitandao, ona hii nyingine.
Wee hawa watu ni wabishi bana, watanzania kwa ubishi hoyeeHatujui ila tunaona videos mnazotupia kwenye mitandao, ona hii nyingine.
Hehehe!! Tuone wivu kwa mauti.
Sisi sio taifa la kijamaa, hatufichi maradhi au vifo, na tupo tayari kuvitangaza hata vikiwa 10,000
Hatutaki hayo mnayofanya, video mnatupia kwenye mitandao ilhali mkijiaminisha kwamba tatizo liliisha baada ya karipio la mkulu.
Pia ukiachana na corona kuna polisi pia mkuu.
Jamaa una moyo, huwa mara moja moja napitia kule jukwaa lenu la siasa na matukio, huwa nakuona unavyomjibu kila mmoja na kumbishia kila mtu humo siku yote inaisha huchoki wala kupumzika, hehehe hongera sana maana ni kazi kweli kweli...
Mbili
Wagonjwa wanaweza kuwa nao wengi wa kutangazwa ila kiuhalisia kwetu wapo wengi sana huku mitaani
Unasubiri ziokotwe maiti 2,000 ndiyo akili yako iwe timamu?
Jamaa una moyo, huwa mara moja moja napitia kule jukwaa lenu la siasa na matukio, huwa nakuona unavyomjibu kila mmoja na kumbishia kila mtu humo siku yote inaisha huchoki wala kupumzika, hehehe hongera sana maana ni kazi kweli kweli...
Hatujui ila tunaona videos mnazotupia kwenye mitandao, ona hii nyingine.
unamtusi mange kimambi kwa kuwa anawaumbua nyinyi waimba mapambio! mbona usipinge madai yake na facts zako??Mange Kimambi.
The bitch named above lives in LA, USA.
Where does she get these videos and pictures which are not easily obtainable by ordinary Tanzanians who live there?
The fact, or a very simple exercise in logic is: the pictures and videos are inauthentic reason why neither reputable member of opposition parties can ever use his(her) account to post them.
You are doing what you do for entertainment purposes only.