Mbunge Tz ateta kuhusu maiti za waathirika wa Corona kuokotwa barabarani

Mange Kimambi.

The bitch named above lives in LA, USA.

Where does she get these videos and pictures which are not easily obtainable by ordinary Tanzanians who live there?

The fact, or a very simple exercise in logic is: the pictures and videos are inauthentic reason why neither reputable member of opposition parties can ever use his(her) account to post them.

You are doing what you do for entertainment purposes only.
Wewe ni CCM propaganda machine, watu wafe bora jina ya CCM isichafuke, CCM hoyeee, makaburini hoyeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unamtusi mange kimambi kwa kuwa anawaumbua nyinyi waimba mapambio! mbona usipinge madai yake na facts zako??

Facts can never be facts simply because you and your silly Kenyan friends call them facts, nor can't they be inauthentic due to our disapproval.

The question is, why do Tanzanians who live in the area disapprove her pictures and videos?
 
Wewe ni kuleta habari mbaya za TZ tu wakati kwenu kayole na kibera maiti kila siku zinaokotwa na haujawahi kuweka humu.

Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
 
Wewe ni CCM propaganda machine, watu wafe bora jina ya CCM isichafuke, CCM hoyeee, makaburini hoyeee

Sent using Jamii Forums mobile app

A state of extreme stupidity is when: a logical consistency or absence of self-contradiction becomes a fact in the face of evidence(s) that suggest(s) otherwise.

Kenyans are stupid by choice -- choosing their corrupt and incompetent leaders under the influence of tribalism.
 
Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.

Hivi wewe mbona kila wakati kuanzisha thread kuhusu Tanzania tuuuu? Kwanini usihangaike na kunya country wananchi wake wanakufa kwa njaa? Naona wewe ni wale mlifurushwa kufanyakazi TZ kwa kunyimwa vibali ndiyo maana kila wakati akili yako ipo TZ!
 
Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Hangaika na kunya country yako tumekuchoka. Huna kazi za kufanya huko kwenu?
 
A state of extreme stupidity is when: a logical consistency or absence of self-contradiction becomes a fact in the face of evidence(s) that suggest(s) otherwise.

Kenyans are stupid by choice -- choosing their corrupt and incompetent leaders under the influence of tribalism.
CCM Hoyeee, propaganda machine wewe
Screenshot_20200428-145151_Facebook.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Kwa hiyo maiti ikiokotwa basi ni directly maiti ya corona???..utumiege kichwa kufikiri maiti huku bongo zimeanza kuokotwa kitambo tu
 
Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Sawa mkuu!
 
Jamaa una moyo, huwa mara moja moja napitia kule jukwaa lenu la siasa na matukio, huwa nakuona unavyomjibu kila mmoja na kumbishia kila mtu humo siku yote inaisha huchoki wala kupumzika, hehehe hongera sana maana ni kazi kweli kweli...
Mbona wewe kucha kutwa kuishindia Tanzania utafikiri inakulipa?
 
Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.

Amejuaje kama alikufa na korona ambayo lazima uwe mahututi kabla ya kufariki? Uzushi huo unachafua nchi yetu siyo rais tu.
 
Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
LOL walifutwa wangapi baada ya hii shuruba?
EULhPsvXgAAAsRf.jpg
EUL0UwCXsAAeV9u.jpg
 
Back
Top Bottom