April 29, 2020
Dodoma, Tanzania
Live / mubashara
Mbowe anaongea na waandishi wa habari
Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) na mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Mh. Freeman Aikael Mbowe mbunge wa jimbo la Hai anaongea na taifa
Mh. Freeman Mbowe aililia nchi yetu Tanzania kutokana na serikali kukosa mikakati kukabiliana na gonjwa la Covid-19
Mbowe aishauri Tanzania ijitokeze kimataifa na kikanda ikiongozwa moja kwa moja na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Rais wa Serikali ya Mapunduzi Zanzibar kuongoza majadiliano na Mataifa mengine, vyombo kama WHO, SADC badala ya kuwaachia mawaziri kuongoza vita dhidi ya Covid-19
Source : millard ayo
c.c : johnthebaptist