Mbunge Tz ateta kuhusu maiti za waathirika wa Corona kuokotwa barabarani

Nyie semeni mnaona wivu
Mna wagonjwa wengi na mauti pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe!! Tuone wivu kwa mauti.

Sisi sio taifa la kijamaa, hatufichi maradhi au vifo, na tupo tayari kuvitangaza hata vikiwa 10,000. Hatutaki hayo mnayofanya, video mnatupia kwenye mitandao ilhali mkijiaminisha kwamba tatizo liliisha baada ya karipio la mkulu.
 
Nimekuuliza Tanzania wamekufa watu wangapi?
Hehehe!! Tuone wivu kwa mauti.

Sisi sio taifa la kijamaa, hatufichi maradhi au vifo, na tupo tayari kuvitangaza hata vikiwa 10,000

Hatutaki hayo mnayofanya, video mnatupia kwenye mitandao ilhali mkijiaminisha kwamba tatizo liliisha baada ya karipio la mkulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujajibu swali Tanzania wamekufa watu wangapi?.

alafu mimi sio fuata mkumbo.
KWAMBA UNACHOAMINI WEWE NA MIMI NIAMINI HICHO HICHO.
nina AKILI HURU.
sio ya kushikiwa.
Jamaa una moyo, huwa mara moja moja napitia kule jukwaa lenu la siasa na matukio, huwa nakuona unavyomjibu kila mmoja na kumbishia kila mtu humo siku yote inaisha huchoki wala kupumzika, hehehe hongera sana maana ni kazi kweli kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali au data hazipo Kwenye Google maana wakenya wameathirika kissikolojia kwa Google
Jamaa una moyo, huwa mara moja moja napitia kule jukwaa lenu la siasa na matukio, huwa nakuona unavyomjibu kila mmoja na kumbishia kila mtu humo siku yote inaisha huchoki wala kupumzika, hehehe hongera sana maana ni kazi kweli kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujui ila tunaona videos mnazotupia kwenye mitandao, ona hii nyingine.

Mange Kimambi.

The bitch named above lives in LA, USA.

Where does she get these videos and pictures which are not easily obtainable by ordinary Tanzanians who live there?

The fact, or a very simple exercise in logic is: the pictures and videos are inauthentic reason why neither reputable member of opposition parties can ever use his(her) account to post them.

You are doing what you do for entertainment purposes only.
 
unamtusi mange kimambi kwa kuwa anawaumbua nyinyi waimba mapambio! mbona usipinge madai yake na facts zako??
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom