Mbunge Tz ateta kuhusu maiti za waathirika wa Corona kuokotwa barabarani

Drone Camera mtajaza haya makaburi jameni...poleni sana kwa kweli, uuuuiiiiii Mungu wangu tusamehe waja wako, najua dunia tumeasi na tunatakiwa kuadhibiwa hata zaidi ya haya yanayotendeka, lakini neema zako Mungu turehemu, tuhurumie.
Jameni Kenya yetu haya yasitukute, rais wetu kuwa mkali usicheke na ngendere au kima, yeyote asiyetii kanuni elekezi afungwe jela.
Tufuate watu kitaani na kupima, pima pima mpaka mbwa na paka kitaani, toa habari, asifichwe hata mmoja.
 
Weka hata picha moja ya maiti zikiokotwa Kenya kama inavyotendeka Tanzania, uone watu wakifutwa kazi moja kwa moja kwa jinsi tutapigia makelele. Sisi hatutumii mfumo wa ujamaa ambao hupunguzia watu uwezo wa kutumia akili zao.
Kenya wagonjwa wafika 790 chini ya kapeti

Send by APOLO 1
 
Hiyo 790 ni kidogo maana tunafahamu kirusi kipo mtaani tayari, ila cha msingi na muhimu ni kwamba hatufichi, tunajaribu kila tuwezavyo kupima hata 1,000 kwa siku na kutangaza kila anayegunduliwa kuwa nacho.
Kwa Tanzania mkulu alikaripia nyote mkakunja mkia na kupiga kimya, mpaka hata Makonda aliyekua anasema mnavyokuputik Dar, naona naye kapiga kimya cha kufa mtu.
Mumeishia kutupia video kisiri za maiti zikitolewa kwenye nyumba za watu, kwa mwendo huo mtajaza makaburi.
 
Drone Camera mtajaza haya makaburi jameni...poleni sana kwa kweli, uuuuiiiiii Mungu wangu tusamehe waja wako, najua dunia tumeasi na tunatakiwa kuadhibiwa hata zaidi ya haya yanayotendeka, lakini neema zako Mungu turehemu, tuhurumie.
Jameni Kenya yetu haya yasitukute, rais wetu kuwa mkali usicheke na ngendere au kima, yeyote asiyetii kanuni elekezi afungwe jela.
Tufuate watu kitaani na kupima, pima pima mpaka mbwa na paka kitaani, toa habari, asifichwe hata mmoja.
Hehehe haya yapo hata kwenu mzee....Halafu si matukio yote ni kirusi.
 
Hiyo 790 ni kidogo maana tunafahamu kirusi kipo mtaani tayari, ila cha msingi na muhimu ni kwamba hatufichi, tunajaribu kila tuwezavyo kupima hata 1,000 kwa siku na kutangaza kila anayegunduliwa kuwa nacho.
Kwa Tanzania mkulu alikaripia nyote mkakunja mkia na kupiga kimya, mpaka hata Makonda aliyekua anasema mnavyokuputik Dar, naona naye kapiga kimya cha kufa mtu.
Mumeishia kutupia video kisiri za maiti zikitolewa kwenye nyumba za watu, kwa mwendo huo mtajaza makaburi.
Hao 790 ni waliogundulika na serikali yenu sasa amfichi VP?

Send by APOLO 1
 
Hao 790 ni waliogundulika na serikali yenu sasa amfichi VP?

Send by APOLO 1

Serikali yetu hutangaza kila siku, inakwenda kisayansi zaidi sio kwa hisia na mikwara ya mtu mmoja.
 
Pia ashauri Tanzania ianze kutumia mfumo wa majimbo kama ilivyo Kenya, ili serikali kuu iache kuhusishwa na vimiradi vidogo vidogo kama vle barabara za vijijini.

Meanwhile in Kenya all Corona death are reported!! Kwenye hili Janga hakuna mwenye afadhali sidhani kama ni busara kutucheka watanzania, Ni bora uongeze juhudi kupambana na hili huko kwenu
 
sasa kenyan news ndo mnakesha kutuandika vibaya na kutafuta changamoto za tz kutupaka matope wakati nyinyi mnashida na matatizo kibao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunatoa comments kwa yale mnaweka wenyewe kwenye mitandao, mkipandisha videos na mapicha dunia yote inakua huru kutolea neno.
 
Kenya hela Yenu inashuka tu..
Drone Camera mtajaza haya makaburi jameni...poleni sana kwa kweli, uuuuiiiiii Mungu wangu tusamehe waja wako, najua dunia tumeasi na tunatakiwa kuadhibiwa hata zaidi ya haya yanayotendeka, lakini neema zako Mungu turehemu, tuhurumie.
Jameni Kenya yetu haya yasitukute, rais wetu kuwa mkali usicheke na ngendere au kima, yeyote asiyetii kanuni elekezi afungwe jela.
Tufuate watu kitaani na kupima, pima pima mpaka mbwa na paka kitaani, toa habari, asifichwe hata mmoja.
Screenshot_20200429-124448.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua ni nyuzi ngapi zimefunguliwa na wenzako hapa kuzungumzia Kenya? Joto la jiwe na Geza Ulole wanazifungua kila siku ni kama wanalipwa na sisiemu
Kwanini unahisi ccm inawalipa, why should ccm be involved, sababu jubilee ishatuma watu wake ccm kuja kujifunza kurun chama.
I dont understand why wakenya mnahisi ccm inawawaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom