Mbunge Tz ateta kuhusu maiti za waathirika wa Corona kuokotwa barabarani

Sema tu siruhusiwi kuweka link za keny#talk humu

Kuna jamaa zenu kule tweeter sijui kagogo na mange yaani wanatupia videos na mapicha hadi inatia huruma, naomba zisiwe za kweli, iwe tu wanatengeneza tu.
 
poleni tz mazeee dahhhh....za kuambiwa ongezeni za zenuuu mchukue tahadharii!!
 
Back
Top Bottom