Mbunge Shibuda wa Chadema amerudi CCM?

Mwonekano wa Mbunge huku katika nafasi ambayo waalikwa katika hafla na mkutano huo ni wabunge wa CCM, hali ikionyehsa Mbunge wa Chadema kuandamana na uongozi wa juu wa CCM makamu mwenyekiti bara Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCm inaweza kutoa tafsiri yenye tashwira ya Shibuda kuwa damudamu na CCM na kwamba amesharudi na hapo alikuwa anatambulishwa.
 
hii picha ya zamani sana.mia
d1.jpg

Mwenyeiti wa CCm Kikwete November 19,2011 akiwasili Dodoma
tayari kwa vikao vya CCM viinavyotanguliwa na mkutano wake na wabunge wa CCM

Picha ya Shibuda kusalimiana na Kikwqete jana usiku ni mwendelezo wa tukio la jana kama picha hiyo hapo juu alipotua uwanjwa wa ndege wa Dodoma
 
Hivi rais huwa anaenda na bodigadi wake hata kwenye vikao vya chama? Namuona nyuma hapo kwenye picha ya ndege
 
Hivi watu wasisalimiane kwa ajili ya siasa?

Hapa si suala la kusalimana bali ni kwenya ukumbi wa vikao vya wabunge wa CCM jana usiku ambapo ilitangazwa kwamba Kikwete atakutana na wabunge wa CCM sio wabungu wa bungge la Muungano wa Tanzania.
 
Hivi rais huwa anaenda na bodigadi wake hata kwenye vikao vya chama? Namuona nyuma hapo kwenye picha ya ndege
kwa katiba yetu ilivo ni ngumu kutofautisha ni lini rais anafanya kazi kama rais na ni lini anafanya kazi kama mwenyekiti wa chama!! sio body guard tu huwa anatumia resources nyingi sana kufanikisha mambo ya kichama kwa kutumia kofia ya urais,ni udhaifu mkubwa sana kwenye katiba yetu!!
 
mhhhhh Shibunda ..,.?


Kwa wanaotunza kumbukumbu, katika kikao cha CCM kilichopita mwaka huu Dodoma wakati wa kupanga mikakati ya kuvuana magamba, mwenyekiti wa Chadema Mbeya bwana Shitambala alienda dodoma kwa utaratibu huo huo kutangazi kujiunga na CCM.
 
shibuda mzee mwenzangu tumefanya nae kazi pale general tyre arusha sijui aliokota bonge la almasi?
 
Moyo wa Shibuda upo CCM kama ilivyo kwa asilimia kubwa ya wabunge wa CDM. Wametumia CDM kupata chance ya kuingia bungeni baada ya kukosa nafasi hiyo ndani ya CCM
 
d10.jpg

Mwenyekiti wa CCM Kikwete akipokelewa na safu ya uongozi wa Juu wa CCM
akiwapo Mbunge wa CCM John Shibuda, November 19, 2011 mjini DodomaKabla ya kuongea na wabunge wa CCm

Mbunge wa Chadema John Shibunda akisalimiana na Rais Kikwete alipofika Dodoma kuongea na wabunge wa CCM kabla ya vikao vya CCM kuanza. Mbunge Shibuda wa Chadema akiambatana na uongozi wa juu wa CCM akishirikishwa katika hafla hiyo. Je ni usaliti kwa chama chake cha Chadema? Haya yametokea jana usiku kama inavyoonekana katika picha.

Mbona maelezo chini ya hiyo picha yanasema "Mbunge wa CCM John Shibuda"? sasa tunajiuliza nini hapa?
 
CCM ilitaka Chadema wajichanganye kwa kumfukuza Shibuda, kinyume chake jeuri hiyo imeshindikana kwa Chadema kuamua ngano na magugu vikue pamoja hadi wakati wa mavuno ambayo magugu yatatenganishwa. Subira CCM imewashinda na hivi wameamua kufanya kweli walichokusudia.
 
d10.jpg

Mwenyekiti wa CCM Kikwete akipokelewa na safu ya uongozi wa Juu wa CCM
akiwapo Mbunge wa CCM John Shibuda, November 19, 2011 mjini DodomaKabla ya kuongea na wabunge wa CCm

Mbunge wa Chadema John Shibunda akisalimiana na Rais Kikwete alipofika Dodoma kuongea na wabunge wa CCM kabla ya vikao vya CCM kuanza. Mbunge ..., Kibuyu nikibuyu hata ukiweka hakiwezi kugeuka kuwa chupa ya chai.
 
Kuna ragiki yangu mnyalu aliniambia kwanva shibuda maana yake MUUAJI. Nadhani hulka yake haitofautiani sana na jina hilo. Huyu jamaa tangu day 1 nilijua kilichompeleka cdm siyo imani na kile kinachopiganiwa na chama hicho bali ni kuwa katika chama ili awe alligible kugombea ubunge basi. Ndiyo maana hata kauli zake zimeendelea na zitaendelea kuwa tata siku zote.
 
Back
Top Bottom