Mbunge Shibuda wa Chadema amerudi CCM?

Hiyo picha inaonekana Dr Dr hakupenda uwepo wake body language inajieleza
Mkuu tz1, umeongea point safi sana!! Dr Dr hajafurahia hata kidogo kwa huyu bwana kujipendekeza kwake hapo. Dr Dr mwenyewe ni CDM damu damu, nani asiyejua 2005 Dr Dr alikuwa atimkie CDM kama CCM wangemtosa kwenye kura za maoni? Ni muda tu ndo utasema yote.
 
Magamba kazini. Toka zamani sikuwa na imani na huyo bwana. HATA UVAAJI WAKE WA KOMBATI UPO TOFAUTI SANA NA MAKAMANDA ASILIA!
 
ccm ilitaka chadema wajichanganye kwa kumfukuza shibuda, kinyume chake jeuri hiyo imeshindikana kwa chadema kuamua ngano na magugu vikue pamoja hadi wakati wa mavuno ambayo magugu yatatenganishwa. Subira ccm imewashinda na hivi wameamua kufanya kweli walichokusudia.
inawezekana kweli ee!
 
Habari za uhakika zinasema jamaa alimpelekea rais mipango yote ya cdm kuhusu mpango wa kufanya maandamano na jinsi ujeruman, kanada, denmark na ujeruman walivyopanga kuisaidia hela cdm za kufanikisha maandamano. Shibuda amesema cdm ni chama kampun na chama saccos
 
Shibuda labda ametumwa na CDM kama shushu. Huoni jk anamwangalia kwa kutokumwamini?
 
Shıbuda alıenda kufuata Ucameroon wake hajaacha etı!
Kamchezo kabaya sana kale, ukıanza hutaacha aslanı!
CDM ınabd tumsomee Surat Mdungunyıko Mola anaweza kumnusuru mja wake Shıbuda!
 
Chama kilichoanzishwa mwaka 1977 bado kina behave kama CCJ!!! au kama chama kinachotarajia kusajiliwa na Tendwa hivi karibuni? Hivi uko wapi msimamo wa CCM ktk sera zake? kitu gani cha kuipa CCM thamani kam si dola wanaloshikiria? Hivi jeshi likiamua cha kuamua halafu wakashikiria nchi hii kwa muda halafu wakaitisha uchaguzi huru baada ya muda; CCm wataambulia chochote kweli? CCM should come back to their sense and live in reality
 
Habari za uhakika zinasema jamaa alimpelekea rais mipango yote ya cdm kuhusu mpango wa kufanya maandamano na jinsi ujeruman, kanada, denmark na ujeruman walivyopanga kuisaidia hela cdm za kufanikisha maandamano. Shibuda amesema cdm ni chama kampun na chama saccos
Katika hili dhambi yake nini? manake kwa mtaji huu wa vyama hata ikiwa ni CCM kama inafadhiliwa nje ya taratibu naamini hakuwa wa kutuokoa na janga litakalokuja.
 
Hivi kuna wangapi wanaoonana na viongozi wa CCM kwa vificho? Je hao sio wa hatari zaidi ya Shibuda?
 
kikwete ni rais wanchi na shibuda ni mbunge wa jimbo la maswa, wakisalimiana kuna ubaya gani, au kupeana mkono kunambadilisha kuwa ccm? Some times when you have nothing to say in your mind usilazimisha kuzungumza ulilonalo katika masaburi yako.
soma vizuri:
mbunge wa chadema john shibunda akisalimiana na rais kikwete alipofika dodoma kuongea na wabunge wa ccm kabla ya vikao vya ccm kuanza. Mbunge shibuda wa chadema akiambatana na uongozi wa juu wa ccm akishirikishwa katika hafla hiyo. Je ni usaliti kwa chama chake cha chadema? Haya yametokea jana usiku kama inavyoonekana katika picha.
 
amini usiamini,ni jana Kikwete alipotua Dom kwa ajili ya vikao vya NEC,alipokelewa na makada wa CCM na kusalimiana nao.Nilishanga uwepo na kusalimiana na shibuda wakati wote walokuwepo hapo ni kadas wa ccm na kikwete amekuja dom kwa vikao vya kichamaView attachment 41703

Chuki ziko kwenu washabiki wa vyama, kina Mbowe na Dr.Slaa wakikutana na vigogo wa CCM wanagonga za juu na kuenjoy life. Wapambe mnabakia kuwaza chuki tu kila wakati, pole sana.

Hii picha umecopy kwa michuzi blog, uwe unaweka source watu wamefanyia kazi hiyo picha
 
shibuda ndugu yangu haya yote unajadiliwa kwa ajili ya u-chamellion hebu jitazame usiwe topic
 
Back
Top Bottom