Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

Kama kuna Hila utapeli na kweli Hapo na mambo Kama hayo Basi Mwenyezi Mungu Ingilia Kati ili!

Zaburi 109:8-16
8Siku za maisha yake ziwe chache,
mtu mwingine na achukue kazi yake!

9Watoto wake wawe yatima,
na mke wake awe mjane!

10Watoto wake watangetange na kuombaomba;
wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!

11Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote;

na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!

12Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma,
au Kuwatunza watoto wake yatima!

13Wazawa wake wote wafe;
jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!

14Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake,
dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!

15Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima;
lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.

16Mwovu huyo hakujali kabisa kuwa na huruma,
ila aliwadhulumu maskini na fukara,
kadhalika na watu wanyonge mpaka kifo

Watu wote Waseme AMINA


Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Sijui uko wapi. Wewe unajua ulipo ?
Najuwa 👇🏾

 
Unasema ili kumchafua Samia? Kwamba yeye hana akili? Why alikubali? Watanzania wengi wenu ni wanyama.
 
Unasema ili kumchafua Samia? Kwamba yeye hana akili? Why alikubali? Watanzania wengi wenu ni wanyama.
 
Kuna ubaya gani kuileta kampuni ya DPworld Tanganyika?

Mkataba ufanyiwe marekebisho.

Hii ni Dubai 1960 bandari yao ilikuwa ya Mitumbwi na Majahazi wakati huo sisi tulikuwa tumeachiwa Bandari kubwa na Mkoloni
 
Baada ya JPM kuondoka Kingmakers wote washajikusanya + Deal Makers; na ni kweli ni ubunifu wa hali ya juu, maana Bandari ni moneymaker; kashelf company kameanzishwa Mauritius hao wote wamepata Share zao watakula mgao milele - SASA ndiyo mtajua yule bwana alikuwa katili kwa nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…