Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,845
God knows better!Kifo cha marehemu dikiteta magufuli happened for a good purpose.

Naunga mkono hoja mkuuKalemani ni Mbunge wa chato na Watu wa chato wanajulikana kwa upigaji wa pesa za walipa kodi? Kampuni ya nani hii yenye huu mkataba!? Usikute ni kampuni ya Jiwe? Na huu mkataba umesitishwa lini? Details ziwekwe hadharani tangu mwanzo wa mkataba hadi kusitishwa kwake.
Bibi Faiza tangu umeanza kutumika na mabeberu umekuwa mjeuri sanaTutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Hiyo kampuni huenda ina uhusiano na mwendazake, alikuwa fisadi mzalendoMbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiendelea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!
CCM kumejaa matapeli tupuMbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiendelea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Una uhakika?!Shabibi mwenyewe ni tapeli halipi kodi
NdiyoUna uhakika?!
Kwa nini mashujaa wa awamu ya tano hawakuuvunja kama walivyokurupuka na kuvunja ya madiniHuu mkataba utakuwa uliingiwa na serikali ya awamu ya 4!
Naona shujaa wa kiislamu umeibuka rasmi mwezi wa toba kuanza kumpambania ustadhat Suluhu...Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Kwanini?Huyu waziri huenda ni mhusika kwenye hili dili.
Katika Utawala wangu hakuna Hela ya Serikali itakayo LIWAMbunge wa Gairo mh Shabiby amesema kuna kampuni inalipwa kati ya sh bilioni 5 hadi 7 kila mwezi kwa kazi ya kuweka rangi kwenye mafuta yanayotumika nchini.
Shabiby amesema fee hizo ni nyingi mno kulinganisha na kazi ndogo sana inayofanywa na kwamba kazi hiyo ingeweza kufanywa bure na TBS
Shabiby kasema kazi hiyo wamepewa kampuni binafsi ambayo inatupiga haswa.
Waziri wa nishati mh Kalemani alitoa taarifa kwamba mkataba wa kampuni hiyo ya kifisadi ulishasitishwa lakini mh Shabiby aliikataa taarifa hiyo na kusema hata jana aliiwaona watendaji wa kampuni hiyo wakiendelea na kazi hiyo ya kitapeli
Source: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Ukisikiliza clip ya shabiby wakati anaongea Bungeni,utagundua ni vigogo wa ngazi za juu serikalini ndio wanahusika maana wanajiamini kiasi kwamba wanatishia hata watu waliokuwa wanajaribu ku-expose huu wizi.
Tena ni mengi!Dunia ina mambo
Jaribu kidogo kujiheshimu basi naweweShabibi mwenyewe ni tapeli halipi kodi
Ww huwa hupendi kiongozi asiye na doa usoni tunakujua.....Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Ni wewe Faiza?Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.